TANZIA: Aliyekuwa RC Ruvuma, Said Mwambungu afariki dunia katika Hospitali ya Muhimbili

Alianzia umoja wa vijana na kina lukuvi,mohamedi sefu khatibu,nurdin babu,ambae sasa dc wa serengeti,
akaja kuwa katibu wa ccm mkoa singida
dc kibaha
dc moro
rc ruvuma na mwisho ofisi ya waziri mkuu.
Aliwahi kuwa katibu mtendaji wa matembezi ya mshikamano.enzi za chama kimoja(wa juzi juzi hamuwezi jua)
alisomea ualimu wa grade A pale chuo cha ualimu mpwapwa 1976.(hii aliniambia yeye mwenyewe)
hakua na elimu kuuuuuubwa lakini alikuepo kwenye system.
 
Raha ya milelr umpe Ee Bwana,
na mwanaga wa milele umuangazie,
apumzike kwa amani.
Amina.

R.I.P mzee Mwambungu

upload_2017-5-12_13-48-59.jpeg
upload_2017-5-12_13-50-18.jpeg
 
Back
Top Bottom