TANZIA: Aliyekuwa RC Ruvuma, Said Mwambungu afariki dunia katika Hospitali ya Muhimbili

One bright morning when man life is over man will fly from home to zion. May his soul rest in Peace
 
Enzi hizo Yuvisisimizi walikuwa na akili timamu sana. Siku hizi ni matusi tu mtandaoni, hoja nyepesi kama za cocochanel .Vijana Jazz aka Wana Air Pambamoto walitisha sana enzi hizo hasa kile kibao kuhusu safari yao ya Bujumbura ambako walikula wali na sombe.

Mohamed Seif Khatib leo hii

uzini.jpg
 
Poleni Wafiwa,
RIP Bw. S. Mwambungu.

Aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Ruvuma Bw.Said Mwambungu amefariki dunia katika hospitali ya Taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na matatizo ya figo.

Mwenyezi Mungu amlaze Mahala Pema,Amina.

View attachment 508155
View attachment 508162
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha na kumkabidhi vitendea kazi Ndg. Said Said Thabit Mwambungu kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Ikulu jijini Dar es salaam Marchi 15,2016.

Alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Bw. Said Thabit Mwambungu alihamishiwa Ofisi ya Waziri Mkuu Dar es salaam ambako Rais Magufuli alisema atapangiwa majukumu mengine. Nafasi yake ilijazwa na Dkt. Binilith Satano Mahenge.​
 
Enzi hizo Yuvisisimizi walikuwa na akili timamu sana. Siku hizi ni matusi tu mtandaoni, hoja nyepesi kama za cocochanel .Vijana Jazz aka Wana Air Pambamoto walitisha sana enzi hizo hasa kile kibao kuhusu safari yao ya Bujumbura ambako walikula wali na sombe.
Nakumbuka miaka ya 90 tulikua tunamaliza shule rafiki yangu akaniambia hii picha tulio piga ya pamoja miaka ijayo kama utakua nayo itakua imejaa X.
 
Enzi hizo Yuvisisimizi walikuwa na akili timamu sana. Siku hizi ni matusi tu mtandaoni, hoja nyepesi kama za cocochanel .Vijana Jazz aka Wana Air Pambamoto walitisha sana enzi hizo hasa kile kibao kuhusu safari yao ya Bujumbura ambako walikula wali na sombe.

Eti cocochanel na hoja nyepesi, zako wewe ndio nzito!? Kama uaandika humu kikazi andika wewe, niache mie niburudike na yangu...tena hayakuhusu...hampendi ukweli na mimi sibadili naloandika sio muoga kama nyie ambao hamjui hata moja wala mbili...kazi kutaka mtu awe mnavyotaka kama vile mlinisaidia kujoin JF...hii ni forum lolote mtu akitaka anakuwa... kama ndio unapima watu walivyo basi jua leo unachemsha na jicheke. Unabiquote kama vile unagombania cheo... mpite cocochanel usijitafutie kiki kwake. Kwanza ndio nafikiri leo nimejua kuna ID ya jina hili humu, sababu hata sikumbuki kuliona nikalikumbuka. Eeeh kituko eti ndani ya forum kutafuta kiki... badili ID tumia jina lako tukuone.

wivu.com
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom