TANZIA: Aliyekuwa RC Ruvuma, Said Mwambungu afariki dunia katika Hospitali ya Muhimbili

R.I.P-Comrade Said Thabit Mwambungu-Baba,Rafiki na Mentor,-RC.Wa Zamani Mkoa wa Ruvum !!!-MUNGU AKUPOKEE KWENYE NURU YA USO WAKE-Hii Dunia tuu Wapitaji.
 
R.i.p mzee wetu
Mbele yako nyuma yetu baba yetu mkuuu

Pole sana Hamidu familia yote kwa ujumla
 
R.I.P-Comrade Said Thabit Mwambungu-Baba,Rafiki na Mentor,-RC.Wa Zamani Mkoa wa Ruvum !!!-MUNGU AKUPOKEE KWENYE NURU YA USO WAKE-Hii Dunia tuu Wapitaji.

Taarifa kama hizi ' Nyeti ' zingekuwa zinapendeza zaidi kama zingekuwa zinaambatana na ' Sura ' zao kuliko kuishia tu kututajia majina yao kwani wengine ' kumbukumbu ' zao zimeshatupotea siku nyingi sana.
 
Tukiwaambia JF Kuna Kaka Zenu Mtabwabwaja, Mzee Mwambungu Ni Maarufu Sana
 
Taarifa kama hizi ' Nyeti ' zingekuwa zinapendeza zaidi kama zingekuwa zinaambatana na ' Sura ' zao kuliko kuishia tu kututajia majina yao kwani wengine ' kumbukumbu ' zao zimeshatupotea siku nyingi sana.
punguza uvutaji ugoro Ona sasa unapoteza memory mwana CCM huwajui makada wenzio???
 
R.I.P-Comrade Said Thabit Mwambungu-Baba,Rafiki na Mentor,-RC.Wa Zamani Mkoa wa Ruvum !!!-MUNGU AKUPOKEE KWENYE NURU YA USO WAKE-Hii Dunia tuu Wapitaji.
Sielewi jamani, ni huyu said mwambungu, ninaemfahamu! RIP ndugu yangu
 
Taarifa kama hizi ' Nyeti ' zingekuwa zinapendeza zaidi kama zingekuwa zinaambatana na ' Sura ' zao kuliko kuishia tu kututajia majina yao kwani wengine ' kumbukumbu ' zao zimeshatupotea siku nyingi sana.
FB_IMG_1494658647405.jpg

cc: Gentamycin
 
sisi sote ni Wa Allah na kwake tutarejea. aisee sitakuja sahau hii Siku, ilikuwa ijumaa, nilikuwa field pale ofisini kwake kitengo cha planning. ilikuwa inakaribia muda Wa swala ya ijumaa kuanza. nilikuwa natoka zangu town narudi ofisini, nikamkuta akiwa na marehem captain john komba wanatoka ofisini, Mr Mwambungu alikuwa anaelekea msikitini. waliniuliza mbona hujaenda kuswali na shungi lako warudi ofsini, nikajichekesha tu sikuwa na jibu. wakaniambia swali ndugu dunia hii...... aaah KWELI DUNIA NI MAPITO. MSALIMIE MZEE KOMBA KAMA KUNA KUKUTANA HUKO TUENDAKO.
kesho yangu siijui, kesho yako huijui.
Tumche Mola Wetu ndugu zangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom