Tanzania's Foreign Policy

Watu wanataka kuongea mambo ya uanachama, kwa hiyo angalau sina chama i just got to go with Muungwana. Mie binafsi naona kasema maneno mazuri ndio mwenyekiti wa chama tawala !kaongea yote mazuri na hajakosea hata moja !
 
Watu wanataka kuongea mambo ya uanachama, kwa hiyo angalau sina chama i just got to go with Muungwana. Mie binafsi naona kasema maneno mazuri ndio mwenyekiti wa chama tawala !kaongea yote mazuri na hajakosea hata moja !

Shekhe unauhakika na unayosema maana wasije watu humu wakaichambua kama makaratasi na kuitupilia mbali


sijui Ktoma yuko wapi au akina Tafiti Jadili
 
nina uhakika na nilichosema, now i understand sio lazima JK aweke kila kitu hadharani kabla ya muda atakaooona unafaa ! na wanaomchambua JK/EL kila siku bila ya kuwapa props kwa kuangalia mema wanafanya hivyo kwa manufaa ya vyama vyao since they are more interested na vyama vyao kuliko nchi yao ! let them come here, na waichambue ndio wanahitajika hapa ! si wanataka watu waongee siasa za vyama !
 
kwa hiyo haogopwi mtu hapa, acha waje waongee yao then namie nitaongea yangu ! JF is free, right ? hhaaaa, so i'll be here to say anything i can !
 
I hope ma brazameni mnaikumbuka ALBUM YA KWANZA YA JAY. sasa ukisikia hiii ishu ya JK na speech ina REASONABLE DOUBT THEN MSIPAYUKE TUU


 
Muungwana kaongea maneno Mazuri, lakini kuna mambo ambayo hajayuzungumzia ambayo ni ya msingi sana ,Muungwana hajazungumzia UMASIKINI, hajagusia "gap" iliyopo na inayozidi kukua kati ya mataifa masikini na Tajiri, Muungwana hajagusia hata kidogo uhusiano uliopo kati "Global warming" na Umasikini.

Muungwana hajagusia kiundani tatizo kubwa la Maradhi,suala la UKIMWI na MARALIA nadhani ni ishu ambayo alitakiwa kuigusia
UKIMWI ni tatizo kubwa sana katika Tanzania na nchi za Kiafrika kiujumla, UKIMWI unaua uchumi wa nchi zetu,

Muungwana hajagusia msimamo wa Tanzania juu ya kuunga mkono "peaceful use of nuclear energy". kwa mujibu wa kanuni zote ndani ya framework ya AIEA.Hii nayo ni muhimu kuizungumzia

Suala la Zimbabwe kaliacha, JK ni Mwenyekiti wa kamati ya usalama ya SADC(kama sijakosea).alitakiwa kuibrief UN nini kinaendelea.

kiufupi JK amegusia yale ambayo Wakubwa wametia mkono moja kwa moja, mfano darfur, palestine, lakini yale yanayowakera wakubwa kama suala la Zimbabwe, haki ya Irani kuwa na "peacefull nuclear technology" hajayagusia kabisa, nadhani hapa hataki kuwaudhi wakubwa.

lakini kwa mtizamo wangu ninadhani pamoja na umasikini wetu lazima tuwe na ishu tunazoziamini na tuko tayari kuzitetea kwa nguvu zote.
 
Muungwana ni muumini wa Iran na madhara ya kuigusia matumizi ya Nuclear kule anayajua maana ni mpiga debe mkubwa wa Iran. Hawezi kugusia swala la Zimbabwe maana huko ataangukia kwenye Good governance amabko kuna issue za usawa mbele ya sheria na rushwa nk . Sasa TZ wako akina Kaka Ditto na marushwa makubwa hawezi kabisa .
 

Kusema kuwa Rais kasema uwongo nadhani unamzulia lakini kuna mambo humo katika speech yake ambayo alitakiwa yeye mwenyewe ayafanyie kazi badala ya kumwachia speech writer wake kila kitu

Anyway nitaichambua vizuri baadae
 
siuoni uongo wowote kwa kweli..the speech could have been better though
 
..hakukuwa na haja Raisi kwenda UN kutoa hotuba NYEPESI kama hiyo.

..nadhani tumerudi kwenye zama ambazo RAISI WA TANZANIA
akihutubia basi watu huona ni BUSARA kutumia muda huo kutoka nje ya ukumbi na KUVUTA SIGARA!!
 
SPOILA

Senior Member Join Date: Mon Jun 2007

JK alivyosema UWONGO kule UN


Game Theory

Kusema kuwa Rais kasema uwongo nadhani unamzulia lakini kuna mambo humo katika speech yake ambayo alitakiwa yeye mwenyewe ayafanyie kazi badala ya kumwachia speech writer wake kila kitu

Anyway nitaichambua vizuri baadae

Mhhhhh! very interesting, mkuu tunasubiri uchambuzi kwa hamu kubwa sana!
 
sasa nyinyi mnaoiona hotuba ni nyepesi leteni basi hizo hoja zenu? chambueni tuangalie hayo mapungufu.

au ndio la kila CCM baya?
 
hotuba haikuwa nyepesi, watu watadharau kwa kuwa ni mwenyekiti wa chama cha mapinduzi na definitely people will be after party attacks (ccm) na never expect watu kumpa props JK maana wengi wapo after cheap talks za vyama vya siasa !

Mheshimiwa JK hongera kwa speech yako angalau kuna makosa yanahitajika kurekebishwa, kidogo mnafaa kusemwa na kazi ifanyike. Speech nzuri umetoa pale UN !
 
Wana Jambo Forum naomba kuchukua nafasi hii kwa kuweka wazi kuwa hata ni mawazo yangu ambayo yanatokana na mtazamao wangu wa masuala ya kidunia ambao ni wa ki neo realism lakini nitakaribisha watu ambao watakuwa wako tayari ku counter arguments zangu on this thread





STATEMENT BY H. E. JAKAYA MRISHO KIKWETE, PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA,
AT THE 62ND SESSION OF THE UNITED NATIONS

.



We congratulate Mr. Ban Ki-moon for his unanimous election as the eighth Secretary General of the United Nations, which reflects his distinguished diplomatic track record, integrity and commitment to international diplomacy.

Mr President, isn't it too soon to give props to Ban Ki Moon? I think this is not the right time but there you go. By the way this is the same man who sang BAN IS COMING TO TOWN in front of journalists in New York but couldn't bring the so called integrity and commitment to intl diplomacy when i came to Saddam Hussein's execution! may i just remind wana JF that Mr Ban Ki Moon said that the decision of whether to invoke the death penalty is a matter for each U.N. member state to decide for itself. In fact its fair to argue that Ban's comments on that subject amounted to a retreat from Kofi Annan's public outspokenness for the U.N. position. and to prove his loosely credentials few days later he looked shaken by the world reaction to his words,he backed down later, urging the Iraqi government to stay the execution of the two men sentenced to death along with Hussein....not sure where JK saw integrity in this man but thats JK for you



Another out of place comment. Dr Migiro's election has not and will not bring us anything. She got her job because she fits the profile and yes she has the credentials that "they" were looking for so Mr President this was unnecessary especially at this time when your government is trying to save face in the light of Buzwagi and other countless corruption scandals!






Mr President, there is no quick and easy solution to warming. The only possible solutions require a truly ambitious long-term strategy for the research and development of clean-energy technologies,One cost-effective option: Simply impose a modest tax on carbon emissions. The revenues could be invested in climate-related R&D—or returned to the taxpayers in Tanzania.







If what you say is to be believed then Kilimanjaro would not be in its current state.We have been planting trees for as long as i remember but not much difference has been made.There are many examples of African solutions to the energy crisis that need to be imported to Tanzania. In Kenya and Zimbabwe for instance low-cost and low-energy building blocks are being made from stabilised soil. Sun-dried, they can be made on or close to the building site, so no energy is used in transport. The other advantage is that the people engaged in production gain a livelihood, and can afford to build decent homes and community buildings. The technology is simple. Soil dug on-site, if suitable, is mixed with a small amount of cement. People are trained in soil-testing techniques to determine the best mix. Water is added and the mixture is placed in block press.The bricks require cement, which often has to be imported, so there is an external energy input cost. However, the bricks offer an alternative to locally made baked-earth bricks, which are fired over2-3 days in kilns burning fuelwood; this local industry has contributed to deforestation and is inefficient in energy use. The approach has helped to provide legal affordable housing in low-income neighborhoods because the stabilised soil blocks compete favourably on cost with commercially made clay bricks. The technology uses little water, and produces no waste.How about you give go ahed of the current carbon offsetting project in Kisarawe district?





KYOTO is the catchphrase here but lets get real,Kyoto Protocol has been a colossal failure.America and Australia refused to ratify it, citing the exorbitant costs of compliance. The developing world—including economic giants such as China, India, and Brazil—was exempt from it. Russia and other Eastern European economies were given allowances greater than their actual emissions. And even the Western European countries that agreed to its emission-reduction targets have been largely unable to meet them. More importantly, even if the Kyoto targets were met, their effect on the global environment would be inconsequential: Driven by skyrocketing emissions from the developing world, warming would continue at nearly the same pace.For once Mr President stop being used by these environmental imperialists such as Green peace, WWF, and their lobby groups who want nothing but export their unfair methods on poor countries like Tanzania in Tackling the environmental disaster.I will answer your CDM point below


Looks like your speech writers or researchers did not read this on CDM please take a minute and read this article from a reputable environmental magazine."Nature" which argued that: "This scheme allows investors in countries that have Kyoto Protocol targets to buy carbon credits by investing in projects that reduce emissions in developing countries. The credits are essentially permits to pollute in their own countries."

http://environment.newscientist.com/article/dn11155-kyoto-protocol
-loophole-has-cost-6-billion.html


Mr President may i remind you that Climate change is a problem of unparalleled complexity; a one-size-fits-all approach to it will never succeed in a country like Tanzania and a serious effort to stop warming will require true global participation—but each nation needs to be free to set its own emissions targets and choose the means of reaching them. We would do better if each nation set more realistic targets—and then met them.Now for once stop being bulldozed by these wazungus on what targets we should have and look at the bigger picture here.For now, we should focus on achieving cost-effective emissions reductions like the current proposed project in Kisarawe





I agree with you on this one but be careful on where you are taking us on this one.Tanzanian's want greater access to energy. The continent has abundant natural resources but these are often under-used, badly exploited or exported to richer countries. Tanzanians need the means to develop local solutions using local resources to meet local needs, and increase access to clean, sustainable energy to support health and education services, households and enterprise instead of the imported techniques and proposals like those president MKAPA and TIBAIJUKA blindly acceped in the BLAIR backed "commission for Africa" report


I will come back to other issues that you mentioned in your speech later
 

Muungwana,if you ask my honest opinion on this so called "United Nations Human Rights Council" I would tell you that it is a bitter disappointment to friends of democracy and allies in the international protection of human rights. First of all there are no criteria for membership on the Council.It just merely suggests a state’s human rights record be “taken into account” “when electing members.”


Even states under Security Council sanction would not automatically be excluded. While there is a provision for suspending a Council member that commits gross and systematic violations of human rights, the step can be taken only with the agreement of two-thirds of the members of the General Assembly. Not even 50 percent of the General Assembly could agree that Sudan is and has been guilty of human rights violations now tell me what has this so called human rights commission done?




Again you are partly right but don't you think UN reforms need to start from within? after all accountability should begins with transparency, and within the U.N. system, the secretary general is especially well-placed to lead by example, yeah i know Ban's decision when announced that he will make public his financial disclosure report, the first U.N. secretary general ever to do so -- and something that Ghanaian Annan repeatedly refused to do but dont fool yourself because as a longtime civil servant in South Korea, Ban is likely to offer a short and boring financial report, as one may have also expected from Annan, a longtime U.N. civil servant. In fact, Annan could go a long way toward regaining trust and confidence even now by disclosing his U.N.-era finances but then again we shouldnt expect anything from him after all his son KOJO probably bought his a proper crib overlooking Lake Geneva through COTECNA...yeah they have a branch in Tanzania...



The catchphrase here is MDG in which i will answer you in depth later




Yes Secretary-General Ban should be commended for his willingness to acknowledge the need for reform in his endorsement of Delivering as One, but muungwana i beg to correct you that in my opinion Secretary-General made a mistake in endorsing the entire report.

As with most U.N. reform proposals, the report is mixed, containing good and bad recommendations and one of the most egregious mistakes was the recommendation to place overall responsibility for U.N. country coordination with the United Nations Development Programme (UNDP). Mind you,recent months have revealed significant flaws, weaknesses, and misjudgments by UNDP that should have disqualified the organization from such a prominent and important role.

I can give you an example:


GAMBIA:Since January this year (2007), President Yahya Jammeh has touted his discovery of a cure for HIV/AIDS involving applying a green paste to an infected individual, splashing them with a gray-colored solution, and giving them a yellowish tea-like liquid to drink.

check Jambo forum reference on this story and if you cant find anything on this plse check this link:




http://news.bbc.co.uk/1/hi/world/africa/6323449.stm

And accoding to the news above this YAHYA JAMMEH cure also requires an HIV-positive person to stop taking antiretroviral drugs.Although the HIV infection rate in the Gambia is low compared to Tanzania, at only 1.3 percent of the population of nearly 1.6 million, a concerted policy of encouraging infected individuals to reject medical treatment could have significant consequences. When the chief envoy for the UNDP in the Gambia, voiced doubt over the cure and criticized the president for urging people to halt their medication, President Jammeh ordered her to leave the country. Despite a clear statement in support of that lady's position by UNAIDS and the World Health Organization, UNDP capitulated and appointed a new chief envoy for Gambia. Presumably, the new chief envoy will not criticize Jammeh even if his policies threaten the health of thousands of Gambians....

evidence? dont worry just click these links:


"UNAIDS and WHO underline importance of evidence based approaches to treatment in response to AIDS," Press Statement,

http://data.unaids.org/pub/PressStatement/2007/070316_gambia_statement_en.pdf.


"UNDP Names New Chief Envoy for Gambia After Former Envoy Expelled for Questioning President Jammeh's Claims of Cure for HIV/AIDS,"

www.kaisernetwork.org/daily_reports/rep_index.cfm?DR_ID=44229.

Of course there are countless Utumbos from this UN brainchild in North Korea, Burma, Thailand and many others.

Since there are significant flaws, weaknesses, and misjudgments by UNDP that should have disqualified the organization from such a prominent and important role.And once again we Tanzania are now among those pilot with Albania, Cape Verde, Mozambique, Pakistan, Rwanda, Uruguay, and Vietnam. we will be closely monitored and i am not sure if IKULU YAKO tukufu mtapindua kwa hao jamaa wa UNDP Dar even though in my opinion i think UN should ensure that the UNDP is not given authority over U.N. country operations. Anyway kazi kwako




JK you cant be serious about MDG wakati najua fika kuwa we wont achieve those goals even though UN wameamua kumchukua LIPUMBA huko...sikulaumu wewe personally lakini SWAHIBA YAKO MKAPA ndiye aliharibu kila kitu.

Since i am so passionate on this MGD subject i will give you a small example on how your friend MKAPA screwed us Tanzanians through his UBINAFSISHAJI WA DAWASA.

Last time i checked the UN Millenium Development Goals (MDGs) include a target for water and sanitation: to cut in half by 2015, the proportion of people without sustainable access to safe drinking water and basic sanitation. There are also other MDGs and targets that indirectly concern safe water and adequate sanitation:


Under Goal 3 (to promote gender equality and empowerment among
women) there are two targets that depend on providing adequate
sanitation and better access to an improved water source: 1) the ratio of girls to boys in education; and 2) the ratio of men to women in wage employment in the non-agricultural sector. Studies indicate that enrollment of girls in education rises with the provision of latrines in schools. And the improvement of safe water sources frees women from spending hours every day drawing and carrying water home.


SOURCE:UN Millennium Project. (2005). Health, Dignity, and Development: What Will it Take? Task Force on Water and Sanitation. Earthscan
http://www.unmillenniumproject.org/documents/WaterComplete-lowres.pdf



Hivi leo hii tutakuelewaje wakati rafikizake Gordon Brown wa ADAM SMITH instutute mliwalipa mamilioni ya paundi kama ma consultants huku wao nao wakatoa pesa ili itungwe nyimbo inyoitwa "Ubinafsishaji" ili ku wa persuade a sceptical Tanzanian population about the benefits of the donor-driven privatisation
programme. Last time nimecheki link ya ASI wametoa poor translation of this song by describing
“how the world is getting smaller, how we are all more dependent on one another, and how privatisation completes a three-way partnership of government regulation, private sector expertise and investment, and consumers reaping the benefits”.

SOURCE:http://www.adamsmithinternational.com/services_eur_cpa.html


So far the contract has been cancelled and strange enough one of the reasons cited by our humble JAMHURI YA MUUNGANO YA WATANZANIA at the time of the cancellation of the contract was the failure of City Water to meet its full investment commitments of US$8.5 million in the first two years.Furthermore,it was said that this funding was to mostly cover removable assets and the rest of
the project to rehabilitate the network was to be funded through
substantial loans totalling US$143 million from the World Bank, the African Development Bank, and the European Investment Bank, plus a
further US$12.5 million from DAWASA


kama utahitaji sources za hii contract then naomba mnitumie PM


Now tell me Mr President je kuna dalili za sisi kutimiza hizo MDG's at this rate?


Hoja zingine nitaendelea kukujibu as time goes by na nadhani ni muhimu kuwaachia wana JF wengine waendelee kuchangia..naona next itakuwa mambo yetu ya FOREIGN POLICY so stay tuned!
 
Naam kumekucha na baadae nitaendelea kluifanyia uchambuzi
 
I wonder whether the President of Gambia is a scientist, i mean really scientist, or it is another thing like "i took shower afterwars" of Mr J Zuma, or similar to that of South African health minister who thinks that HIV can be cured by onions.
 
Kwa jinsi nilivo isoma fasta, naungana na gamba la nyoka kuwa bosi hajagusia the most africa as far as tanzania we are concerned pressing issues, ameongelea yale tuu ambayo "wakubwa" wanataka na wanapenda kuyasikia,nahisi ile ka ile tuu angetaja Zimbambwe,weee jamaa waangeenda short call fasta, all in all kwa yale aliyosema amejitahidi,hotuba nzuri infact!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…