Nisaidieni kazi ndugu zangu, najikuta kama sitaweza kuiona kesho

NUHWAHI

JF-Expert Member
Jan 23, 2014
304
463
Mungu, majirani na members nisaidieni. Msinipe hela bali kazi

Ni miaka 8 tu toka nihitimu chuo, pinch nayopitia si mchezo utadhani nimekaa miaka 20. Naombeni mnishike mkono nitoke kwenye hali hii. NAJIKUTA KAMA SITAIONA KESHO HIVI.

Nalima kwa bidii, private schools nimefundisha. Kwa sasa napambana kupika na kuuza vyakula (mgahawa) lakini..

Nivuteni mwanenu. CHONDE!
 
Pole mkuu,hiyo kazi ya upikaji vipi haikulipi vizuri?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom