Tanzania yetu ina majasusi wa aina gani?

Status
Not open for further replies.
majasusi wa hapo bongo ni political asset kazi zao kubwa na ya msingi ni kufuatilia na kulinda masirahi ya CCM ndani ya taifa, kuna mdogo wangu ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimoja cha umma hapa tz aliwawa kunitaarifu kuwa amaitwa na watu wa usalama wa taifa wa kamuhoji juu ya mwenendowake hasa harakati zake za kisiasa ndani yua chuo.
 
mimi thijui kuhuthu ujathuthi mwenye info pls apotht

nimemkumbuka sana jamaa waliyempa thumu kule moscow akafia uk.(kiriyenko)
 

hizi stori zimeishia wapi?..mbona zimezimika ghafla?
 
Ukifuatilia cables za wiki leaks utagudnua RUssia ilikuwa ina mpano wakunazisha Credit debitcard zake. Kwa sasa biashara ya za debit na credit card inamilikiwa kwa kiasi kikubwa VISA na Mastercard .

Kwa Russia kutakakuanzisha mfumo wake balozi wa marekani alituma ujumbe nyumbani na kupendekeza mambo ya ya kufanya ili ule mpango wa Russia usifanikiwe. Huu ni ujasui wa kiuchumi kwa manufaa ya nchi.

UkIsoma zile cable utangundua kuwa kuna mambo mengi sana yanafanyika kwa manufaa ya uchumi au teknolojia ya nchi.

  • Kampuniya shell nigeria
  • Kuna kampuni ya madawa ya marekani ilipeleka kufanya dawa majaribio Nigeria bila winegeria kujua ilikuwa iko kwenye majaribio. Hapa tanzania kuna watu wamewai kuadhirikana matumizi ya fansida . Je wamewahi kulipwa fidia
 

Political assets??????? Sema ni wachakachuaji wa matokeo ya uchaguzi. Mbona unatumia lugha yenye kuwainua hivyo.
 
Hivi mashushushu wa TZ kazi yao nini?..ukikaa hivi unasikIa mara fulani ni shushushu..mara taxi dreva fulani ni mtu wa system... mara mwanafunzi fulani naye yuko kwenye system....

kaaazi kweli kweli...
mashushushu wa TZ ndo kama hivyo ulivyosema hii system inatakiwa kufumuliwa au irekebishwe wapo wamejazana tu
kula pesa za kodi yetu tu ujasusi wa kimaendeleo ndo tunauhitaji na si wote lazima muibuke na sisi bar kusikiliza nini ni nini wengi wao ni kwa ajili ya kulinda utawala usibughudhiwe na wananchi
 
Je gaidi??maana ya gaidi lilikuwa neno ndani ya jasusi!kwani hata kwenye nyimbo za kumkashifu amini tulimuimba jasusi mkubwa!carlos alikuwa jasusi wala siyo gaidi gaidi nineno lilobadilishwa after sept,11
 
Kiwanda tunacho pale Iringa Tancut Almasi. Tunahitaji pesa kidogo tukikarabati mambo yawe mswano

Bado kipo kweli? sio pale kilipo pana jengo jipya linakandamiza kesi pale au ni jirani. Kingekuwa Arusha au Moshi kisingeuliwa mainformal walikitafiti na kusaidia kukizika.
 
Majasusi wetu ni wasiasa na sio kwa faida ya nchi wenyewe kazi yao kuchunguza viongozi wa siasa na si zaidi ya hilo
 
mie sijaisoma hii thread naomba uielekeze kwangu
 
Je gaidi??maana ya gaidi lilikuwa neno ndani ya jasusi!kwani hata kwenye nyimbo za kumkashifu amini tulimuimba jasusi mkubwa!carlos alikuwa jasusi wala siyo gaidi gaidi nineno lilobadilishwa after sept,11
Hapo ndipo mimi husema kwamba haya yote yanatokana na sisi wenyewe kushikiwa akili zetu na kutegemea maamuzi ya wengine! kisha tunaitika ndiyo mzee na zidumu fikra.... aaaargh! Hivi kutoka uhuru mpaka mwaka 1984 kuna mtu alishajiuliza ni kwa kiasi gani uchumi wetu uliporomoka wakati waganda na wakenya wakipanda? je walitujasusia vipi? Je kwanini kenya walitishia kupambana na tanzania kisha wakaacha ilikuwa kwa sababu gani?
 
Maamuzi mengi ya nchi hii yamekaa kisiasa zaidi sio kitaalam ndio maana kama sikosei Rais Mkapa aliwahi kushauriwa kuhusu utapeli ta TICS lakini akakaidi,Tics walikua Ghana wakatimuliwa kwaajili wa utendaji wao finyu na Ubathirifu usio na kikomo..
 
Hapa kuna kikundi cha kihuni kinachajaribu kulinda maslahi ya CCM!!

Hakuna tofauti ya kundi la Mafia ambao wapo kwenye nchi nyingi za kisoviet kwa ajili ya kulinda Maslahi ya watu flan hapa kwetu imeangukia kwa CCM...Wakati utafika watagawanyika wengine watalinda maslahi ya CCM-B, Chadema,CUF nk...
 
Taasisi yetu TISS kazi yake ni kushughurikia watu wanaojitoa bila woga kuikosoa serikali ya CCM,kuwabeba na kulinda Mafisadi,kutengeneza majungu,kutoa roho za watu ambao wangeiumbua serikali na CCM kama vile Kolimba,Gibbons Mwaikambo,Kombe,Balali,Sokoine,Mwaikusa etc,etc yaani hii taasisi haiko kwa maslahi ya umma ni genge la wahuni,wauaji na wezi kama Mungiki
 
Kazi yao kukaa bar na mikusanyiko ya watu kuchunguza nani kamsema mkwere na mkewe au rafiki zake, wakuwekee majungu na kufunga watu, akili zao mgando badala ya kuwa endelevu
 
TISS ni nn kirefu chake na ofisi zao ziko wapi?
 
mfano halisi ambapo watu kama TISS wangestahili kuwa makini ni kwenye issue kama hii ya barabara ya Serengeti...! Ukiangalia issue kama hii imekaa kijasusi (Economic/Enviromental Inteligence) kwa maana ya kujua impact behind the road constructions...! Hebu angalia hii issue halafu angalia huyu jamaa alifanya hii research...! Mysterious road threatens 'Great Migration' - Bing Videos

So far hawa TISS bado wapo kwenye mawazo mgando wa kufikiria kwamba usalama wa taifa ni zile zama za kupigana kareti, kubepa pistol every where na kutishia tishia watu na pistol ili uonekane wewe ni kigogo wa TISS. Utawakuta kule bungeni wakati wa vikao vya bunge wamebebana na ma-pistol yao as if hii nchi inawahalifu wa kupigana na bunduki kaisi hicho...!

Bado kuna tatizo kubwa sana kwa hawa watu wa TISS its high time wakabadilika kidogo na kuona ni jinsi gani wanaweza kubadilisha muenendo wao wa kazi....!
 
Hapa chini kuna mifano ya wenzetu wanavyofanya na kutumia ujasusi na ushusuahu wa uchumiak wa manufaa ya nchi yao. Mchango wa mabalozi wa US kuteteta kampuni zao unaonekana kwenye cable za wiki leaks.

  • je mabalozi wetu nje wa nchi wansaidia hata kutafutia soko la kuuza asali

 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…