USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 9,896
- 22,664
Mbona wewe unauza mbwa? Hujui kuwa mbwa ni kharamu?Ajabu Muislamu Zito Kabwe anapigania kuhalalisha Ushoga Tanzania, kafir Zito!
Zito anaroho ya kichawi sana ,kwani misaada ikija yeye anakosa nini?Ajabu Muislamu Zito Kabwe anapigania kuhalalisha Ushoga Tanzania, kafir Zito!
Zito anaroho ya kichawi sana ,kwani misaada ikija yeye anakosa nini?
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Hela ya elimu mnalilia mkopeshwe.Kisa choote hicho ni: wanafunzi waoneshane "show" za ngono watungishane mimba na waruhusiwe kuendelea na masomo ambayo serikali inatoa bure kwa kodi za wananchi.
Pamoja na kuruhusu mambo ya ushoga! Huo ni mkopo na utalipwa tena kwa riba na kutolewa kwenyewe sidhani kunatakiwa kuambatana na masharti mengine zaidi ya riba! Huu sio msaada ni mkopo! Kama ni msaada kwa gharama za ngono kwa watoto wa shule na ushoga bora waache!
Ushoga umeingiaje hapo?Ushoga hapana
Vipi tena,inakuwaje donor country tena tunaowakebehi kila siku mabeberu kwamba wanatuonea wivu kwa kujenga miradi mikubwa ambayo haijawahi kujengwa duniani kote tena tunatumia pesa zetu za ndani,tunaanza tena kulilia misaada?Zito anaroho ya kichawi sana ,kwani misaada ikija yeye anakosa nini?
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Kibaraka wa mabeberuHela ya elimu mnalilia mkopeshwe.
Hela ya ndege mnayo mnanunua cash.
Mna akili au mavi vichwani mwenu?
Waafrika akili zetu zina shida.
Ndege tunanunua cash ila elimu tunakopa.
Huu sio msaada ni mkopo tena tunakopesheka! Wewe benki hata mkopo wa buku hupewi!Vipi tena,inakuwaje donor country tena tunaowakebehi kila siku mabeberu kwamba wanatuonea wivu kwa kujenga miradi mikubwa ambayo haijawahi kujengwa duniani kote tena tunatumia pesa zetu za ndani,tunaanza tena kulilia misaada?
Hii ni moja ya sheria dume na kandamizi ,nikipewa Urais kwa siku moja ikifika saa 9am sheria hii nitakuwa nimeifutilia mbali,mtoto wa kike na kiume wote wana haki sawa,why anaadhibiwa motto wa kike tu kwa kufukuzwa shule?wakati wa kiume anaendelea na masomo?,mwanafunzi mwenye ujauzito ataendelea na masomo hadi siku ya mwisho atakayoenda kujifungua,na akishajifungua anarudi shule na kuendelea na masomo na kama kichanga chake kipo jirani watapewa muda maalum(lunch time)kwa ajili ya kuwanyonyesha.social workers watapewa maarifa zaidi ya kuifanya kazi yao,elimu ya uzazi itatolewa mashuleni ili wanafunzi wajitambue,condoms na njia zingine za kuzuia STDs na mimba zitasogezwa zaidi kwa wanafunzi.
Zito anaroho ya kichawi sana ,kwani misaada ikija yeye anakosa nini?
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app