Tanzania yaweza kukosa Mkopo wa Dola Milioni 500 kutoka Benki ya Dunia

Kisa choote hicho ni: wanafunzi waoneshane "show" za ngono watungishane mimba na waruhusiwe kuendelea na masomo ambayo serikali inatoa bure kwa kodi za wananchi.

Pamoja na kuruhusu mambo ya ushoga! Huo ni mkopo na utalipwa tena kwa riba na kutolewa kwenyewe sidhani kunatakiwa kuambatana na masharti mengine zaidi ya riba! Huu sio msaada ni mkopo! Kama ni msaada kwa gharama za ngono kwa watoto wa shule na ushoga bora waache!
 
Hela ya elimu mnalilia mkopeshwe.

Hela ya ndege mnayo mnanunua cash.

Mna akili au mavi vichwani mwenu?
 
Zito anaroho ya kichawi sana ,kwani misaada ikija yeye anakosa nini?

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi tena,inakuwaje donor country tena tunaowakebehi kila siku mabeberu kwamba wanatuonea wivu kwa kujenga miradi mikubwa ambayo haijawahi kujengwa duniani kote tena tunatumia pesa zetu za ndani,tunaanza tena kulilia misaada?
 
Huu sio msaada ni mkopo tena tunakopesheka! Wewe benki hata mkopo wa buku hupewi!
 
Wangezuia kingine lakini kwa hili mungu awalaani. Tungependa kuona watoto wetu wakisoma mazingira mazuri. Hata Kama mtu ana chuki binafsi na jpm lakini kwa hili hatutawaelewa. Tumeletewa elimu bure maana yake huko tuendapo madarasa na vifaa havitatosha. Watanzania tuandamaneni kuwapinga Hawa. Hawa ni wachawi wa maendeleo.
 
Hii ni moja ya sheria dume na kandamizi ,nikipewa Urais kwa siku moja ikifika saa 9am sheria hii nitakuwa nimeifutilia mbali,mtoto wa kike na kiume wote wana haki sawa,why anaadhibiwa motto wa kike tu kwa kufukuzwa shule?wakati wa kiume anaendelea na masomo?,mwanafunzi mwenye ujauzito ataendelea na masomo hadi siku ya mwisho atakayoenda kujifungua,na akishajifungua anarudi shule na kuendelea na masomo na kama kichanga chake kipo jirani watapewa muda maalum(lunch time)kwa ajili ya kuwanyonyesha.social workers watapewa maarifa zaidi ya kuifanya kazi yao,elimu ya uzazi itatolewa mashuleni ili wanafunzi wajitambue,condoms na njia zingine za kuzuia STDs na mimba zitasogezwa zaidi kwa wanafunzi.

I wish nirudi kusoma kipindi chako ukiwa Rais.. Ni mwendo wa ku***bana tuu hakuna kusoma.. Yaani vibinti ni kuliwa, kuzaa tuu na kusoma. Yaani vitoto vikipevuka vinavyopenda kufanya aisee itakuwa UTAMU kamili. Maana hii elimu sikupata kabisa hadi nafika la saba nilijua watoto wananunuliwa Serengeti kule. Siku hizi watoto wanaishi kwa Hofu kubwa.. Kipapa kikiwasha wanakikemea
 
Zito anaroho ya kichawi sana ,kwani misaada ikija yeye anakosa nini?

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app

1580032002988.jpeg
 
Back
Top Bottom