Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,033
- 9,920
Ripoti ya 2021 ya Inter Parliamentary Union imeaonesha Tanzania inongoza kwa kuwa na wabunge wanawake ukilinganisha na Kenya na Uganda. Tanzania ina wanawake 36.7% ya bunge hivyo iko nafasi ya 34 kidunia.
Aidha Uganda imeonekana kuwa na wabunge wanawake 34.9% na iko nafasi ya 37 kidunia huku Kenya ikiwa na wanawake 21.6% na hivyo kuwa ya 107.
Aidha Rwanda na Burundi wako nafasi nzuri zaidi katika ukanda wa Afrika Mashariki, kwani Rwanda ina wanawake 61.3% bungeni ambapo ni ya kwanza kwa kuwa na wanawake wengi duniani.
Burundi ina wanawake 38.2% bungeni ambapo iko nafasi moja juu ya Tanzania.