Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,329
- 4,198
Yani hii Tanzania sio kabisa ukiambiwa miaka mitano nyuma tulikuwa tunateleza tu hutaamini barabara ni mbovu sana.
Watu wamegoma kusafiri bila emergency payment maana wanajua hali ikibadilika, safari ya siku 3 itakuwa ya week.
This is shameful, hatuna highway hata moja nzima, ni potholes Na kuna mikoa uwezi kwenda in 2025.
Maji shida, umeme shida in 2025, really? 2025 dunia ya ai
This is 2025 tuna ishi hivi,
Wabunge kimya, kama wote akili zimewatoka .