Nimeona kwenye club house watu wengi wanaochochea watu kuandamana na kuichoma Tanzania ni Watanzania wanaoishi nje tena wengi wakiongea vingereza vyao vya kuokota okota na kutafuta via accent vya kuibia
NAISHAURI SERIKALI IFUTE KABISA ULE MPANGO WA URAIA PACHA, PILI HATA HADHI MAALUM IACHANE NAYO Hawa wajinga ikitokea wamerudi Tz kwa njia halali au haramu maana wengine wanaingilia boda kienyeji wakamatwe wafanyieni utafiti kwenye cm zao kama mhusika wa huu uhalifu huyo asirudi aneneeshe samaki kama hausiki aachiwe
Lakini ifike mahali wajue Tanzania sio choo cha mavi ni nchi imara