Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,264
Kama hujanielewa kwa lugha hiyo fasaha basi nitakuandikia kinyakyusa au kirangi pengine utaelewa!!
kwa kile kingereza chako usingeeleweka ili upate cheo andika kiswahili au kinyumbani
Kama hujanielewa kwa lugha hiyo fasaha basi nitakuandikia kinyakyusa au kirangi pengine utaelewa!!
Tembea ujionee...! Maeneo mengine Tanzania hii hii maji ni majanga, kufua nguo ni anasa. Usimlaumu huyo mtoto, jilaumu mwenyewe kwa kutokuijua nchi yako.Watoto kama huyu ni wakutandikwa bakora za kutosha wazazi wamenunua sare za shule wao wanaenda kuchezea kwenye mavumbi sisi wenyewe wazazi tumesoma shule hizo hizo lakini tulikuwa haturudi nyumbani tuko kama vinyago!
-Nyerere-
kwa kile kingereza chako usingeeleweka ili upate cheo andika kiswahili au kinyumbani
kingereza kinamsumbua sana mkuu wako ndiyomaana nimekushauri utumie kiswahili.Ungekuwa unakijua kingereza ungenisahihisha kama afanyavyo FAIZA FOXY kwa kiswahili hapo ungeonesha umahili wako kuliko kulalama tu!! Hebu sahihisha pale nilipokosea!
Hii picha ina ujumbe mwingi
Nadhani wanasomea nje tu hawana madarasa maana hilo vumbi Shati kaptula vifungo hazina so sad Mungu ndie anaejua kwa kweliiii viatu Hakuna maji safi hakuna huduma ya afya ndo ivo tena Bado hali ni ngumu sanaImagine huyo mwalimu yukoje kwanza kama huyo ndio mwanafunzi
Imagine huyo mwalimu yukoje kwanza kama huyo ndio mwanafunzi
Laana ya Tangayika kutawala wamg'wana wanzanzibari.