Tanzania tuitakayo! Oh my God!

Tanzania tuitakayo! Oh my God!

Watoto kama huyu ni wakutandikwa bakora za kutosha wazazi wamenunua sare za shule wao wanaenda kuchezea kwenye mavumbi sisi wenyewe wazazi tumesoma shule hizo hizo lakini tulikuwa haturudi nyumbani tuko kama vinyago!

-Nyerere-
Sasa ndugu yangu, Mtoto wa chifu na huyu wapi na wapi .Hapo bingwa katoka shule na analala nazo asubuhi anatinga nazo tena shule .
 
Tatizo hakuna mwanasiasa anayejua kipaumbele cha wananchi. Hivyo wanaguess tu! Mara labda wanataka fly over, au wanataka ndege, mara wanataka viwanda, oh no wanataka reli ya kati wakati huo huo wanadhan tunataka madawati but ukweli ni kwamba hawajui kipaumbele cha mwananchi wa kawaida
 
Wengine tulitokea huko.. hapo ndo utajua formula ya maisha ni ya ajabu
 
Unaweza kukuta hapo ni saa moja kasoro anawahi kuhesabu namba sasa ikifika saa sita nadhani hata kumuona itakuwa kazi wazee wa zamani wana neno lao "upo chwee"
 
Kwa hivyo wajibu wa mzazi ni kuzaa tu....
Hata usafi wa mwanae serikali ya CCM imfanyie?
Watanzania ama kweli katika wanne............ Kichaa
 
Tatizo hakuna mwanasiasa anayejua kipaumbele cha wananchi. Hivyo wanaguess tu! Mara labda wanataka fly over, au wanataka ndege, mara wanataka viwanda, oh no wanataka reli ya kati wakati huo huo wanadhan tunataka madawati but ukweli ni kwamba hawajui kipaumbele cha mwananchi wa kawaida
Kwa hivyo unataka kutuaminisha kuwa jukumu la kumfanya mwanao kuwa msafi na mtanashati ni la serikali?
Huyo mtoto kufundishwa usafi wake Binafsi tunahitaji serikali ya CCM?
Ule utafiti wa wanne kwa mmoja Unaweza kuwa una kuhusu bila shaka.
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Watanzania wanaojua kulaumu hata uzembe wao wa kutotimiza wajibu.
Ukombozi wa fikra unahitajika ktk hii Jamii kuliko kitu chochote.
 
Sasa ndugu yangu, Mtoto wa chifu na huyu wapi na wapi .Hapo bingwa katoka shule na analala nazo asubuhi anatinga nazo tena shule .
Uzembe WA wazazi wake kutokujali mahitaji ya watoto.
Haiwezekani mzazi anaejitambua hata awe na umaskini gani akashindwa msafisha huyo mtoto. Serikali imfuate kila mmoja sasa kumfanyia usafi?
 
Kwa hivyo wajibu wa mzazi ni kuzaa tu....
Hata usafi wa mwanae serikali ya CCM imfanyie?
Watanzania ama kweli katika wanne............ Kichaa
Kama ukishindwa kuelekea muktadha wa kitu unauliza utajibiwa tu vizuri! Hapo sio suala la usafi bali umaskini uliotopea, umaskini sio tabia uchafu ni tabia
 
Kama ukishindwa kuelekea muktadha wa kitu unauliza utajibiwa tu vizuri! Hapo sio suala la usafi bali umaskini uliotopea, umaskini sio tabia uchafu ni tabia
Huyo mtoto ana uchafu uliokithiri pia mbali na huo umaskini.
So tuisubiri serikali ukawafanyie usafi bila shaka.
 
..haha!!kama hio picha Moja ndo itatumika kudefine tanzania tunayoitaka bhasi mimi ntakua nmeruka madarasa,ivii nyie utoto wenu ulkuaje???we were like that hapo dogo kacheza kachafuka,sasa mnataka avalishwe uniform mpya kila siku au????? Ebu acheni kufananisha tanzania na mambo Ya kijinga
 
Huyo mtoto ana uchafu uliokithiri pia mbali na huo umaskini.
So tuisubiri serikali ukawafanyie usafi bila shaka.
Hii ni habari picha ina mitazamo ndani yake heading iko huru bila kuilenga hiyo ccm yako kwahiyo automatically umejiegemeza kwenye mtazamo wa kile unachodhani ndio kinachoendelea
 
..haha!!kama hio picha Moja ndo itatumika kudefine tanzania tunayoitaka bhasi mimi ntakua nmeruka madarasa,ivii nyie utoto wenu ulkuaje???we were like that hapo dogo kacheza kachafuka,sasa mnataka avalishwe uniform mpya kila siku au????? Ebu acheni kufananisha tanzania na mambo Ya kijinga
Huu ni mtazamo wako kwenye hii picha kwahiyo si vema kutaka kutuaminisha kuwa wewe ndio unajua zaidi au uko sahihi kuliko wengine
Na kama ulikuwa mchafu kuliko huyu mtoto basi una haki ya kumtetea
 
Back
Top Bottom