Tanzania tuitakayo! Oh my God!

Na ni hao ndiyo waliyetuletea huyu, hapo unasemaje?


Wametulia kwa sababu hakuna aliyethubutu kuwahukumu kwani katiba na chama ndicho kinawalinda. Hawa watu ni adui wakubwa wa hili taifa. Kwa yeyote anayejuwa maendeleo ya nchi hawezi kumpinga rais Magufuli hata kidogo kwani Mh. rais analeta heshima nchini kwanza kwa kuwawajibisha vihiyo serikalini, kuziba mianya ya wizi serikalini, na kuweka nchi sawa. Huwezi kuleta maendeleo katika nchi yeyote duniani bila kusafisha nchi, haiwezekani kamwe. Usipende kumsikiliza Kikwete ama kuigiza matendo yake utaumbuka, si unaona jinsi nchi ilivyomshinda. Wafanyakazi wake ndiyo walikuwa mabosi wake, yaani he never cared for Tanzania but for himself and his friends. Very useless man.
 
Back
Top Bottom