Tanzania tuitakayo! Oh my God!

Tanzania tuitakayo! Oh my God!

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,517
Reaction score
860,567
1476960742522.jpg
 
Namuonea huruma sana dogo, yaani bila msaada dogo hata ndoto za kuendesha ka bmw hana. Ni rahisi tajiri kuendelea kua tajiri zaidi, ila maskini wa kutupa kua tajiri ni next to impossible, wachache sana hua wanachomoka kwa bahati.
 
Wanaomlea wanajikwamua weee, anafaulu kwenda chuo kikuu..
ndoto zake zinakwamishwa na wanasiasa uchwara wa xm ananyimwa boom n.k!
[emoji25] [emoji25] [emoji25] that's why I hate politik
 
Namuonea sana huruma huyo bwana mdogo,huko kijijini huduma za matibabu na shule ni majaliwa
 
Back
Top Bottom