UKAWA wengi wamekuwa wakilinganisha mambo ya kisiasa ya Burkina Faso na Tanzania.Niwasaidie tu
1.Burkina faso KUNA UKABILA NA UDINI wakati Tanzania hakuna.
2.Rais aliyeondoka madarakani hakuingia kidemokrasia aliua mwenzie tena rafiki yake mkubwa (THOMAS sankara) kwa mapinduzi ya Kijeshi .Tanzania Rais alichaguliwa kwa kura kidemokrasia.
3.Burkina FASO jeshi halina nidhamu na ni moja ya majeshi yasiyo na nidhamu Afrika likishika nafasi ya pili Africa kwa ukosefu wa nidhamu baada ya yale ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo yakifuatiwa na majeshi ya nchi zinazoongea kifaransa Afrika na yale ya nchi za Kaskazini mwa Afrika kule kulikotokea Arab SPRINGS.Tanzania ni jeshi lenye nidhamu ya hali ya juu mno Afrika na highly organized.
4.Majeshi ya BURKINA FASO hayana nguvu za kudhibiti waandamanaji au waasi maruhuni. Tanzania POLISI TU wanatosha hamna haja ya kuita jeshi kushughulikia waandamanaji maruhuni.Uwezo wa polisi na jeshi pia hupimwa kwa uwezo wake wa kudhibiti organized crimes kupitia CIVIL STRIFES zinazoweza fanywa na raia wahuni waliojipanga kuharibu utengamano katika nchi kwa sababu zozote.
5.Raia wengi wa Burkina FASO NI WAHUNI WASIOPENDA kutii sheria.Ni kama wafuasi wa CHADEMA.Tanzania ni tofauti raia wengi ni watii wa sheria bila shuruti.
Kifupi BURKINA FASO na TANZANIA ni nchi tofauti,zenye majina tofauti,watu tofauti na siasa tofauti.Kulinganisha nchi hizi mbili si sahihi.

Tanzania hakuna ukabila wala udini...? Kwahiyo ule wa CHADEMA na CUF mara vyama vya Kikiristo au kiilamu, ukabila mara hoo ukanda kumbe unathibitisha huwa mnapiga mayowe ya kimapepo tu....?
Halafu unaposema jeshi letu linanidhamu. Umeshawahi kufikiria hili: Inajulikana wazi kuwa wakuu wa mikoa na wilaya ni makada wa Chama Tawala. Sasa twende ...hapa: wanateuliwa na mwenyekiti wa CCM kwa kutumia mwamvuli wa Urais.
wengi ni maafisa wastaafu wa majeshi.
Sasa swali hawa makuu wa mikoa na wilaya hata wenye vyeo vingine vinavyotokana na ukada wa chama Walianza lini uanachama huo hata wakaaminiwa kuwa wanatosha kushika nyadhifa za kikada kama za ukuu wa mikoa na wilaya?
Obviously walikuwa wanachama na walijipambanua vilivyo tangu wakiwa watumishi wa vyombo hivyo vya dola. How? Wote tunashuhudia vyombo vyetu vya dola jinsi vinavyorumiwa kisiasa kulinda maslahi ya chama tawala na kukandamiza upinzani
So si nidhamu hiyo maslahi
Tofautisha kuweko ukabila na udini katika nchi na katika vyama.Tanzania kama nchi udini na ukabila haupo.
Lakini vyama viko vyenye udini na ukabila.CHADEMA kabila dominant katika chama ni Wachaga na kidini ni cha wakristo tena waprotestant hasa walutheri na walokole wakati CUF kabila dominant lililojaa ni Wapemba na kidini ni waislamu wa itikadi kali.
tofauti kubwa ya Tanzania na Bukinafaso ni Kuwa Bukinafaso idadi ya raia ni kubwa kuliko idadi ya watu while Tz idadi ya watu ni kubwa kuliko raiaUKAWA wengi wamekuwa wakilinganisha mambo ya kisiasa ya Burkina Faso na Tanzania.Niwasaidie tu
1.Burkina faso KUNA UKABILA NA UDINI wakati Tanzania hakuna.
2.Rais aliyeondoka madarakani hakuingia kidemokrasia aliua mwenzie tena rafiki yake mkubwa (THOMAS sankara) kwa mapinduzi ya Kijeshi .Tanzania Rais alichaguliwa kwa kura kidemokrasia.
3.Burkina FASO jeshi halina nidhamu na ni moja ya majeshi yasiyo na nidhamu Afrika likishika nafasi ya pili Africa kwa ukosefu wa nidhamu baada ya yale ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo yakifuatiwa na majeshi ya nchi zinazoongea kifaransa Afrika na yale ya nchi za Kaskazini mwa Afrika kule kulikotokea Arab SPRINGS.Tanzania ni jeshi lenye nidhamu ya hali ya juu mno Afrika na highly organized.
4.Majeshi ya BURKINA FASO hayana nguvu za kudhibiti waandamanaji au waasi maruhuni. Tanzania POLISI TU wanatosha hamna haja ya kuita jeshi kushughulikia waandamanaji maruhuni.Uwezo wa polisi na jeshi pia hupimwa kwa uwezo wake wa kudhibiti organized crimes kupitia CIVIL STRIFES zinazoweza fanywa na raia wahuni waliojipanga kuharibu utengamano katika nchi kwa sababu zozote.
5.Raia wengi wa Burkina FASO NI WAHUNI WASIOPENDA kutii sheria.Ni kama wafuasi wa CHADEMA.Tanzania ni tofauti raia wengi ni watii wa sheria bila shuruti.
Kifupi BURKINA FASO na TANZANIA ni nchi tofauti,zenye majina tofauti,watu tofauti na siasa tofauti.Kulinganisha nchi hizi mbili si sahihi.
Mkuu hapo namba 5.kuna tofauti kubwa Kati ya Raia na watu.Watanzania ni watu sio Raia.raia anajua haki na wajibu wake kwa Taifa.watu wanafikiria serikali inafanyika kwa Hisani na si wajibu4.Majeshi ya BURKINA FASO hayana nguvu za kudhibiti waandamanaji au waasi maruhuni. Tanzania POLISI TU wanatosha hamna haja ya kuita jeshi kushughulikia waandamanaji maruhuni.Uwezo wa polisi na jeshi pia hupimwa kwa uwezo wake wa kudhibiti organized crimes kupitia CIVIL STRIFES zinazoweza fanywa na raia wahuni waliojipanga kuharibu utengamano katika nchi kwa sababu zozote.
5.Raia wengi wa Burkina FASO NI WAHUNI WASIOPENDA kutii sheria.Ni kama wafuasi wa CHADEMA.Tanzania ni tofauti raia wengi ni watii wa sheria bila shuruti.
east african eagle usiishi kwa kujidanganya ishi kwa ukweli kuhusu uwezo wa polisi lbd ulikuwa mdogo kuona kilichotokea huko mtwara wakati wa gesi haitoki usitegemee kutotenda haki na ukaona amani inaendelea kuwapo, amani ni tunda la haki, hao waarabu usidhani hawaogopi kufa lakini walichokifanya ni baada ya kuona hawana cha kupoteza.
unatumia masikio kufikiri au? unajua faida na hasara za ushindani? ukizika upinzani ndo ndo utatawala kiufanisi? ebu tumia ubongo wako kufikiri!Ningekuwa na TIME ACCELERATING MACHINE, ningeupeleka muda mbele kwa kasi ili 2015 muone tunavyouzika upinzani hususan CDM. nina hofu huenda wengine hamtafika mwakani. Tuna plan za miaka 50 ijayo kwa ajili ya taifa letu na katika plan hizo Chadema haipo.
We are born to lead and you are born to follow
UKAWA wengi wamekuwa wakilinganisha mambo ya kisiasa ya Burkina Faso na Tanzania.Niwasaidie tu
1.Burkina faso KUNA UKABILA NA UDINI wakati Tanzania hakuna.
2.Rais aliyeondoka madarakani hakuingia kidemokrasia aliua mwenzie tena rafiki yake mkubwa (THOMAS sankara) kwa mapinduzi ya Kijeshi .Tanzania Rais alichaguliwa kwa kura kidemokrasia.
3.Burkina FASO jeshi halina nidhamu na ni moja ya majeshi yasiyo na nidhamu Afrika likishika nafasi ya pili Africa kwa ukosefu wa nidhamu baada ya yale ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo yakifuatiwa na majeshi ya nchi zinazoongea kifaransa Afrika na yale ya nchi za Kaskazini mwa Afrika kule kulikotokea Arab SPRINGS.Tanzania ni jeshi lenye nidhamu ya hali ya juu mno Afrika na highly organized.
4.Majeshi ya BURKINA FASO hayana nguvu za kudhibiti waandamanaji au waasi maruhuni. Tanzania POLISI TU wanatosha hamna haja ya kuita jeshi kushughulikia waandamanaji maruhuni.Uwezo wa polisi na jeshi pia hupimwa kwa uwezo wake wa kudhibiti organized crimes kupitia CIVIL STRIFES zinazoweza fanywa na raia wahuni waliojipanga kuharibu utengamano katika nchi kwa sababu zozote.
5.Raia wengi wa Burkina FASO NI WAHUNI WASIOPENDA kutii sheria.Ni kama wafuasi wa CHADEMA.Tanzania ni tofauti raia wengi ni watii wa sheria bila shuruti.
Kifupi BURKINA FASO na TANZANIA ni nchi tofauti,zenye majina tofauti,watu tofauti na siasa tofauti.Kulinganisha nchi hizi mbili si sahihi.
Hakuna tofauti kubwa kati ya Burkinafaso na Tanzania; kwa sasa wananchi wanaamini vyama vya siasa vitawasimamia katika kuipata haki yao ya maisha kitu ambacho sio sahihi sana. Ndio unaona kuna utulivu watu wakiamini kuwa mabadiliko yatafanyika kupitia mlango wa demokrasia mfu iliyopo. Lkn watakapoelewa kuwa hawawezi kufanya mabadiliko kupitia njia hiyo, ndipo yaliyotokea Burkinafaso au kwingineko duniani yatakuja.
Wewe mleta mada una akili zile za binaadamu na kifo. Akisikia mtu amekufa, anaona huyo aliyekufa kuna kanuni fulani za maisha hakuzifuata ndio sababu ya kifo chake kutokea na kwamba yeye yuko "free" na kifo(yaani haamini kama kufa yake iko karibu sana). Atakwambia, jamaa alikuwa anapenda kuendesha gari spidi; alikuwa anakunywa sana, nk.
Ukweli ni kwamba hali ya kutoridhishwa kwa wananchi iliyopo ni kubwa sana, na hii ndio itakaoleta ya Burkinafaso Tanzania na si polisi wala jeshi wataoweza kuzuia na pindipo wakizuia, ya Gbabo na Kenyata yatatokea.
Tanzania si nchi salama kuishi kwa watu wa rika zote na kipato chochote. Kwa mfano,
1. Ukiwa mzee, utauawa kwamba mchawi
2. Ukiwa albino utauawa,
3. Ukiwa kijana na maskini utateseka na life ngumu iliyopo
4. Ukiwa mmachinga, kutwa kukimbizana na mgambo wa jiji
5. Ukiwa mwanafunzi, mikopo hakuna au haiko 'norma'
6. Ukiwa una vijisenti vyako umejenga kijumba chako chanika huko, majambazi ndio wageni wako kila uchao;
7. Ukiwa huna gari, usafiri wa daladala ni sheeeeeedah,
8. Ukiwa na gari, kero za foleni na trafiki ni full stress,
9. Miji mingi michafu hususan Dar na viongozi wako comfortable na uchafu huo,
10. Ukiwa mkulima, bei za mazao zimekufa,
11. Ukiwa mwajiriwa wa serikali, mshahara hautoshi huku kila siku unasoma nyuzi jamaa wanapiga mabilioni ya umma-full stress,
Kwa kweli maisha ya Tanzania huenda hata burkinafaso ni nafuu maana unaweza kujifundisha mpira ukaenda cheza ulaya. Hapa hata....
UKAWA wengi wamekuwa wakilinganisha mambo ya kisiasa ya Burkina Faso na Tanzania.Niwasaidie tu
1.Burkina faso KUNA UKABILA NA UDINI wakati Tanzania hakuna.
2.Rais aliyeondoka madarakani hakuingia kidemokrasia aliua mwenzie tena rafiki yake mkubwa (THOMAS sankara) kwa mapinduzi ya Kijeshi .Tanzania Rais alichaguliwa kwa kura kidemokrasia.
3.Burkina FASO jeshi halina nidhamu na ni moja ya majeshi yasiyo na nidhamu Afrika likishika nafasi ya pili Africa kwa ukosefu wa nidhamu baada ya yale ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo yakifuatiwa na majeshi ya nchi zinazoongea kifaransa Afrika na yale ya nchi za Kaskazini mwa Afrika kule kulikotokea Arab SPRINGS.Tanzania ni jeshi lenye nidhamu ya hali ya juu mno Afrika na highly organized.
4.Majeshi ya BURKINA FASO hayana nguvu za kudhibiti waandamanaji au waasi maruhuni. Tanzania POLISI TU wanatosha hamna haja ya kuita jeshi kushughulikia waandamanaji maruhuni.Uwezo wa polisi na jeshi pia hupimwa kwa uwezo wake wa kudhibiti organized crimes kupitia CIVIL STRIFES zinazoweza fanywa na raia wahuni waliojipanga kuharibu utengamano katika nchi kwa sababu zozote.
5.Raia wengi wa Burkina FASO NI WAHUNI WASIOPENDA kutii sheria.Ni kama wafuasi wa CHADEMA.Tanzania ni tofauti raia wengi ni watii wa sheria bila shuruti.
Kifupi BURKINA FASO na TANZANIA ni nchi tofauti,zenye majina tofauti,watu tofauti na siasa tofauti.Kulinganisha nchi hizi mbili si sahihi.
kumbe ndivyo mnavyo jidanganya mkiwa kwenye vikao vyenu?? Baadae utasema nigeria, kenya ,burundi, uganda,somalia siyo kama tanzania tulivyo. Kwa taarifa yako watu wenye hasira na hii ccm yako ni wengi kuliko unavyo dhani. Iko siku wala haiko mbali uvumilivu utaisha.ukawa wengi wamekuwa wakilinganisha mambo ya kisiasa ya burkina faso na tanzania.niwasaidie tu
1.burkina faso kuna ukabila na udini wakati tanzania hakuna.
2.rais aliyeondoka madarakani hakuingia kidemokrasia aliua mwenzie tena rafiki yake mkubwa (thomas sankara) kwa mapinduzi ya kijeshi .tanzania rais alichaguliwa kwa kura kidemokrasia.
3.burkina faso jeshi halina nidhamu na ni moja ya majeshi yasiyo na nidhamu afrika likishika nafasi ya pili africa kwa ukosefu wa nidhamu baada ya yale ya jamhuri ya kidemokrasia ya kongo yakifuatiwa na majeshi ya nchi zinazoongea kifaransa afrika na yale ya nchi za kaskazini mwa afrika kule kulikotokea arab springs.tanzania ni jeshi lenye nidhamu ya hali ya juu mno afrika na highly organized.
4.majeshi ya burkina faso hayana nguvu za kudhibiti waandamanaji au waasi maruhuni. Tanzania polisi tu wanatosha hamna haja ya kuita jeshi kushughulikia waandamanaji maruhuni.uwezo wa polisi na jeshi pia hupimwa kwa uwezo wake wa kudhibiti organized crimes kupitia civil strifes zinazoweza fanywa na raia wahuni waliojipanga kuharibu utengamano katika nchi kwa sababu zozote.
5.raia wengi wa burkina faso ni wahuni wasiopenda kutii sheria.ni kama wafuasi wa chadema.tanzania ni tofauti raia wengi ni watii wa sheria bila shuruti.
Kifupi burkina faso na tanzania ni nchi tofauti,zenye majina tofauti,watu tofauti na siasa tofauti.kulinganisha nchi hizi mbili si sahihi.