Tanzania sio Burkina Faso

Tanzania sio Burkina Faso

East African Eagle

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
3,759
Reaction score
2,209
UKAWA wengi wamekuwa wakilinganisha mambo ya kisiasa ya Burkina Faso na Tanzania.Niwasaidie tu

1.Burkina faso KUNA UKABILA NA UDINI wakati Tanzania hakuna.

2.Rais aliyeondoka madarakani hakuingia kidemokrasia aliua mwenzie tena rafiki yake mkubwa (THOMAS sankara) kwa mapinduzi ya Kijeshi .Tanzania Rais alichaguliwa kwa kura kidemokrasia.

3.Burkina FASO jeshi halina nidhamu na ni moja ya majeshi yasiyo na nidhamu Afrika likishika nafasi ya pili Africa kwa ukosefu wa nidhamu baada ya yale ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo yakifuatiwa na majeshi ya nchi zinazoongea kifaransa Afrika na yale ya nchi za Kaskazini mwa Afrika kule kulikotokea Arab SPRINGS.Tanzania ni jeshi lenye nidhamu ya hali ya juu mno Afrika na highly organized.

4.Majeshi ya BURKINA FASO hayana nguvu za kudhibiti waandamanaji au waasi maruhuni. Tanzania POLISI TU wanatosha hamna haja ya kuita jeshi kushughulikia waandamanaji maruhuni.Uwezo wa polisi na jeshi pia hupimwa kwa uwezo wake wa kudhibiti organized crimes kupitia CIVIL STRIFES zinazoweza fanywa na raia wahuni waliojipanga kuharibu utengamano katika nchi kwa sababu zozote.

5.Raia wengi wa Burkina FASO NI WAHUNI WASIOPENDA kutii sheria.Ni kama wafuasi wa CHADEMA.Tanzania ni tofauti raia wengi ni watii wa sheria bila shuruti.

Kifupi BURKINA FASO na TANZANIA ni nchi tofauti,zenye majina tofauti,watu tofauti na siasa tofauti.Kulinganisha nchi hizi mbili si sahihi.
 
Tanzania hakuna ukabila wala udini...? Kwahiyo ule wa CHADEMA na CUF mara vyama vya Kikiristo au kiilamu, ukabila mara hoo ukanda kumbe unathibitisha huwa mnapiga mayowe ya kimapepo tu....?

Halafu unaposema jeshi letu linanidhamu. Umeshawahi kufikiria hili: Inajulikana wazi kuwa wakuu wa mikoa na wilaya ni makada wa Chama Tawala. Sasa twende ...hapa: wanateuliwa na mwenyekiti wa CCM kwa kutumia mwamvuli wa Urais.
wengi ni maafisa wastaafu wa majeshi.

Sasa swali hawa makuu wa mikoa na wilaya hata wenye vyeo vingine vinavyotokana na ukada wa chama Walianza lini uanachama huo hata wakaaminiwa kuwa wanatosha kushika nyadhifa za kikada kama za ukuu wa mikoa na wilaya?

Obviously walikuwa wanachama na walijipambanua vilivyo tangu wakiwa watumishi wa vyombo hivyo vya dola. How? Wote tunashuhudia vyombo vyetu vya dola jinsi vinavyorumiwa kisiasa kulinda maslahi ya chama tawala na kukandamiza upinzani

So si nidhamu hiyo maslahi
 
Hawa jamaa majinga sana,ukiwa muongo uwe unatunza kumbukumbu!mara kuna udini na ukanda mara hakuna,2waeleweje?
Poor you
 
Tanzania hakuna ukabila wala udini...? Kwahiyo ule wa CHADEMA na CUF mara vyama vya Kikiristo au kiilamu, ukabila mara hoo ukanda kumbe unathibitisha huwa mnapiga mayowe ya kimapepo tu....?

Tofautisha kuweko ukabila na udini katika nchi na katika vyama.Tanzania kama nchi udini na ukabila haupo.

Lakini vyama viko vyenye udini na ukabila.CHADEMA kabila dominant katika chama ni Wachaga na kidini ni cha wakristo tena waprotestant hasa walutheri na walokole wakati CUF kabila dominant lililojaa ni Wapemba na kidini ni waislamu wa itikadi kali.
 
Kumbe TZ hakuna ukabila wala udini? Duh.
 
Tofautisha kuweko ukabila na udini katika nchi na katika vyama.Tanzania kama nchi udini na ukabila haupo.

Lakini vyama viko vyenye udini na ukabila.CHADEMA kabila dominant katika chama ni Wachaga na kidini ni cha wakristo tena waprotestant hasa walutheri na walokole wakati CUF kabila dominant lililojaa ni Wapemba na kidini ni waislamu wa itikadi kali.

Sasa vyama hivyo viko mbinguni?
 
Et raia wa burkina faso ni wahuni!! Sijawah kuona uzi wa kisenge kama huu!! Hauna comparative analysis scientific ni uoga wa kuingia jamba jamba ya maandamano, unasema uite jeshi? Unasahau kule the hague siku hizi kunaogopeka! Thubutu chezea nguv ya uma wewe! Mtaisoma mwakat kitumbua chako kitakapoingia mchanga lumumba
 
Halafu umesahau, wapenda maandamano wengi wao wapo mitandaoni na hawapendi kujitokeza barabarani. Hivyo polisi wanapata urahisi wa kukamata vidagaa tu.
 
Hapa sisi hatuzungumzii kupindua Nchi kwa maana ya kumng'oa rais aliyeko madarakani NO. Ila tunataka kukipindua chama kilichotunyonya tangu 61 hadi leo na hili litafanyika kwa kupitia sanduku la kura. Ila wakileta uwizi wizi na kutokubali kushindwa ndio tutaelekea kufanya hayo yaliyotokea burkinabe. Tena wenzentu wamedili na mtu mmoja tu Rais. Lakini sisi tunawatamani viongozi wote wa ccm na wapambe wao.
 
Kama aliua hata TZ tumeona watu wakiuwawa na mambo yanafunikwa, ukabila na ubaguzi ndo usiseme, ufisadi unatisha, demicrasia gani ya wizi wa kura? Hata za katiba tu zinaibwa/chakachuliwa sembuse uchaguzi mkuu! Ni afadhali ya Waburkinabe!
 
Tofautisha kuweko ukabila na udini katika nchi na katika vyama.Tanzania kama nchi udini na ukabila haupo.

Lakini vyama viko vyenye udini na ukabila.CHADEMA kabila dominant katika chama ni Wachaga na kidini ni cha wakristo tena waprotestant hasa walutheri na walokole wakati CUF kabila dominant lililojaa ni Wapemba na kidini ni waislamu wa itikadi kali.

.... Hujitambui Na Wala Huna Kumbukumbu Nzuri
 
... Mbona Unaogopa Nguvu Ya Uma Mapema, Subiri Utaona Tu Mda Ukifika
 
Tofautisha kuweko ukabila na udini katika nchi na katika vyama.Tanzania kama nchi udini na ukabila haupo.

Lakini vyama viko vyenye udini na ukabila.CHADEMA kabila dominant katika chama ni Wachaga na kidini ni cha wakristo tena waprotestant hasa walutheri na walokole wakati CUF kabila dominant lililojaa ni Wapemba na kidini ni waislamu wa itikadi kali.

Hebu pitia ulichoandika hapo juu kisha angaliaulichoandika hapa chini..... Nidhahili huna unalolifahamu nikama juha.

UKAWA wengi wamekuwa wakilinganisha mambo ya kisiasa ya Burkina Faso na Tanzania.Niwasaidie tu

1.Burkina faso KUNA UKABILA NA UDINI wakati Tanzania hakuna.

2.Raisi aliyeondoka madarakani hakuingia kidemokrasia aliua mwenzie tena rafiki yake mkubwa (THOMAS sankara) kwa mapinduzi ya Kijeshi .Tanzania Raisi alichaguliwa kwa kura kidemokrasia.

3.Burkina FASO jeshi halina nidhamu na ni moja ya majeshi yasiyo na nidhamu Afrika likishika nafasi ya pili Africa kwa ukosefu wa nidhamu baada ya yale ya Jamhuri ya kidemokrasia ya kongo yakifuatiwa na majeshi ya nchi zinazoongea kifaranza afrika na yale ya nchi za kaskazini mwa afrika kule kulikotokea Arab SPRINGS.Tanzania ni jeshi lenye nidhamu ya hali ya juu mno Afrika na highly organized.

4.Majeshi ya BURKINA FASO hayana nguvu za kuthibiti waandamanaji au waasi maruhuni. Tanzania POILISI TU wanatosha hamna haja ya kuita jeshi kushughulikia waandamanaji maruhuni.Uwezo wa polisi na jeshi pia hupimwa kwa uwezo wake wa kuthibiti organized crimes kupitia CIVIL STRIFES zinazoweza fanywa na raia wahuni waliojipanga kuharibu utengamano katika nchi kwa sababu zozote.

5.Raia wengi wa Burkina FASO NI WAHUNI WASIOPENDA kutii sheria.Ni kama wafuasi wa CHADEMA.Tanzania ni tofauti raia wengi ni watii wa sheria bila shuruti.

Kifupi BURKINA FASO na TANZANIA ni nchi tofauti,zenye majina tofauti,watu tofauti na siasa tofauti.Kulinganisha nchi hizi mbili si sahihi.
 
Unajua matatizo ya BUKINAFASO yaliyopelekea kung'olewa Rais wao yanafanana na ya TANZANIA?

Matatizo tuliyoelezwa ni AJIRA, UMASKINI, UKOSEFU WA UTAWALA BORA NA DEMOKRASIA.

Sasa haya yote yapo Tanzania, na Mwakani CCM watang'oka ikiwa WIZI WA KURA NA UNG'ANG'ANIZI wa kutoachia MADARAKA utatokea.
 
Hebu pitia ulichoandika hapo juu kisha angaliaulichoandika hapa chini..... Nidhahili huna unalolifahamu nikama juha.

Hujasoma vizuri nilichaandika tulia usihemuke!!Tanzania kama nchi haina ukabila wala udini. Ila kuna vikundi vidogo vyenye UKABILA na udini vikundi hivyo ni CHADEMA na CUF ambavyo ni asilimia ndogo sana ya watanzania ambayo hai-justfy kusema nchi ina ukabila na udini kwa kuangalia tu vikundi hivyo.CHADEMA na CUF siyo NCHI ni sehemu ndogo tu ya nchi.
 
Mleta mada sio Mtanganyika.
Ni wazi kuwa ananufaika na system iliyoko madarakani. Siku zenu zinahesabika!
 
Hujasoma vizuri nilichaandika!Tanzania kama nchi haina ukabila wala udini. Ila kuna vikundi vidogo vyenye UKABILA vikundi hivyo ni CHADEMA na CUF ambavyo ni asilimia ndogo sana ya watanzania ambayo hai-justfy kusema nchi ina ukabila na udini kwa kuangalia tu vikundi hivyo.CHADEMA na CUF siyo ni sehemu ndogo tu ya nchi

kabla hatujaenda mbali Nini maana ya nchi? a. Watu + Ardhi b. Ardhi bila watu

halafu tuwekee idadi halisi ya wanachama na wapenzi wa CUF kisha chadema kama unaakili timam. ukishindwa kuweka idadi halisi kwa ushahidi jihesabu huna akili maana udogo au ukubwa wa vyama hivi huvifahamu.
 
Magamba naona POVU zimeshaanza kumwagika asante CHADEMA kwakuleta SIASA za kweli manake watawala wanaweweseka sana wakikumbuka dhurma wanawafanyia watanganyika Vinginevyo mtu alieanzisha hii thread cjui kutakuwa na Lugha gani nzuri yakusema zaidi ya WOGA wa kung"olewa,,,! Tutaheshimiana tu
 
Back
Top Bottom