Tanzania: Serikali yaagiza faru toka Uingereza!

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
serikali imeagiza faru wawili kutoka uk kupelekwa kwenye mbunga za mkomazi.
swali faru asili yao ulaya au africa?
 
Hii ina maana gani?

Ina maana faru wameisha kabisa kwenye mbuga zetu? au
Hao faru ni aina nzuri zaidi?

Isije ikawa kama samaki wa ziwa victoria ambao wamemaliza aina za samaki wengine!
 
wazazi wa hao faru walitokea africa na waliwachukua bure,na sasa tunauziwa wstoto wao.
si shangai wa afrika tunapo dharauliwa.
 
Wao wanaleta faru kisha wao wataondoka na dhahabu na gesi wazungu wajanja
 
ni kweli faru kwenye hifadhi zetu wamepungua sana kiasi kuwa lazima hatua za dharura zinahitajika ku replace..lakini tatizo unaeza sikia tena wako QATAR.......
 
katika hali ya taharuki nimeshangazwa na habari niliyoiona star t.v eti serikali ya Tanzania imepokea msaada wa wanyama aina ya vifaru kutoka uingereza.
Hivi hii serikali ya ccm mbona haiishiwi na vituko?
 
Kwa mtindo huu wa ndege za kuvita kutua na kuchukua wanyama sasa hivi tutasikia Qartar nayo inatoa msaada wa twiga! silly!

Hii ni scandal.
 
katika hali ya taharuki nimeshangazwa na habari niliyoiona star t.v eti serikali ya Tanzania imepokea msaada wa wanyama aina ya vifaru kutoka uingereza.
Hivi hii serikali ya ccm mbona haiishiwi na vituko?

Hao faru watatu lazima hao waingereza waondoke na madini ya kutosha sababu akili za viongozi wetu walishaziweka mfukoni mwao siku nyingi,anaebisha aniambie ile ndege ya Qtar ilituaje hapa kwetu Tanzania na kuondoka na raslimali zetu?
 
utakuja kusikia baada ya vifaru kuwasili wameibiwa na kupelekwa uarabuni
 
Nina hofu sana vifaru hao wana maambukizi ya kuwaua wanyama wetu kwenye hifadhi. Hii si kawaida kuchota maji mtoni na kupeleka baharini. Kagasheki naye ndio pozi gani hilo kaanzisha?
 
katika hali ya taharuki nimeshangazwa na habari niliyoiona star t.v eti serikali ya Tanzania imepokea msaada wa wanyama aina ya vifaru kutoka uingereza.
Hivi hii serikali ya ccm mbona haiishiwi na vituko?

Mh...........,!!?

Wadau labda vifaru wa kidhungu, tuwe na subra!
 
Hapana. Hao wanyama ni wetu. Waingereza waliwakodisha na sasa wamewarudisha. Hatujapewa zawadi.
iweje tuwakodishe wakati hawa wanyama ni adimu?huoni serikali ilikosa mapato kwa wanyama hao kukaa uk?nani aliidhinisha ukodishaji huo?je wanyama wangapi tumewakodisha nje ya nchi na kwa idhini/maslahi ya nani?
 
Kweli Tz gvt, imechoka leo uingereza imetoa msaada wa Faru3 kwa hifadhi ya Mkomazi. Je ni kweli Tz hatuna Faru mpaka tupiwe msaada? Nimechoka. Wadau nawasilisha! Source: Michuzi.
 
faru

SGR_Jan11_hero.jpg

Vifaru

vifaruvyakijeshi.jpg
 
Back
Top Bottom