124 Ali
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 7,802
- 5,494
mkuu!heshima sana!kuna baadhi ya maswali hujajibu.mfano,nani aliidhinisha wanyama hawa adimu kupelekwa uk?
Unataka kuniambia uingereza ndio sehemu salama ya kutunzia wadudu hawa?why not kenya au SA au zimbabwe?usalama unaosema ni dhidi ya majangili tu au mazingira?
This is too low!!kwa hiyo tumeshindwa kulinda wanyama wetu,ndivyo unavyotakaniamini!
Hebu acha ubishi wako bwana!hapa hakuna usalama si kwa wanyama tu hata binadamu pia wakitaka kuzaliana shughuli ,ndio maana watanzania wenzetu wako nje ya nchi endapo tutakufa kwa mijishida basi serikali itapewa msaada ya raia reserve kutoka ulaya!