Tanzania Safari Channel moja ya mafanikio makubwa sana Awamu ya Tano

Sep 27, 2017
25
21
Habari wanagenzi,

Nimekuwa mdau mkubwa sana wa kufuatilia hii channel namna 292 kwenye kisimbuzi cha DStv, nikiri kusema kwamba nchi yetu hii imebarikiwa vivutio vingi sana, Tanzania ni nzuri sana na inavutia sana, kupitia hii channel inaexpose uzuri wa hii nchi kwa kutuonyesha vivutio mbalimbali.

Binafsi kupitia channel hii, imeniongezea uzalendo wa kuipenda nchi yangu. Mwezi December nitahakikisha natembelea maeneo kama Iringa na Njombe nikajionee namna nchi yangu ilivyo nzuri,
nimeamua kabisa ku cancell trip yangu ya Santorino.

Nitaenda Njombe, na iringa then nitamalizia likizo yangu kwenye marashi ya Pemba .
 
Sijasoma uzi wako wote kwani naamini umeandika upuuzi. Ile channel ina kipi cha maana? Vipindi vile vile miaka na miaka mkuu.
 
Star times ilikuwa ni chaneli ya bure imefanywa ni ya kulipia, wamebakisha tbc1 tu ndiyo ya bure. Sasa ndiyo nini? Bora kusiwe na ya bure hata moja tujue ni kisimbusi gani kina chaneli nzuri kutazamwa
 
Vivutio ni vingi sana apa bongo...ila io channel ni inarudia vipindi si poa,yani kwa siku unaeza onyeshwa shamba la wanyama pori chato zaidi ata ya mara 5,ubunifu hakuna kwa hio channel... tuna makabila kibao yenye mila na desturi za kuvutia ila hatuonyeshwi,wamebase kwenye vivutio vinavyojulikana kama mbuga za wanyama na mlima angali huko mitaani kuna vivutio vingii tu ambavyo havijagundulika bado sasa badala wavivumbue wapo busy kutuonyesha vipepeo
 
Hii Kila mkoa una vivutio tatizo tumekalilishwa mbuga za wanyama na Zanzibar wajifunze kwa nchi zisizokuwa na mbuga za wanyama zinapataje watalii wengi kuliko sisi

Sent from my TECNO BF7 using JamiiForums mobile app
 
Vivutio ni vingi sana apa bongo...ila io channel ni inarudia vipindi si poa,yani kwa siku unaeza onyeshwa shamba la wanyama pori chato zaidi ata ya mara 5,ubunifu hakuna kwa hio channel... tuna makabila kibao yenye mila na desturi za kuvutia ila hatuonyeshwi,wamebase kwenye vivutio vinavyojulikana kama mbuga za wanyama na mlima angali huko mitaani kuna vivutio vingii tu ambavyo havijagundulika bado sasa badala wavivumbue wapo busy kutuonyesha vipepeo
Itakua wanachomeka flash na kwenda kulala
 
Karibu pia Arusha kuna kivutio kikubwa na cha kipekee na tunakitangaza kuliko kitu chochote tumeweka mabango yake kila baada ya mita kumi
Karibu sana ujionee maajabu.
 
Back
Top Bottom