Tanzania Now Faces Sanctions & Diplomatic Crisis Over Iran

Status
Not open for further replies.
Tanzania kama nchi ina haki ya kujichagulia marafiki na maadui. America na Ulaya hawana haki hata chembe ya kutuchagulia marafiki na maadui. Misaada wanayotupatia kamwe isiwe kigezo cha kututawala kwani tukiamua tunaweza kuishi bila kutegemea misaada yao. Tanzania ni taifa huru na hatufungamani na upande wowote. Mungu ibariki Tanzania.

Nakuunga mkono kabisa hawa jamaa hawawezi kutuchagulia marafiki japo hizo pesa wanaozila ni magamba. Zingekuwa zinafanywa kwa ajili ya maendeleo ya watanzania hawa US na UK hana sababu ya kutwambia kitu. Misaada ambayo wamekuwa wakiitoa imesaidia nini kama si wao wamekuwa wanafaidi zaidi kutoka bara la Africa? Sema ni ujinga wa waafrica tu ilikuwa ni muda wetu kuwatoka nakuwa kama Uchina. Sasa hivi mavi ndoo nzima kwasababu hawana say tena kwa uchina. Wakeup Africa achaneni na hawa mabeberu Mungu kishaadhibu
 
hapa ndipo ninapo ona umhimu wa serikali moja au serikali tatu..sheria za znz zinaruhusu kwanini hawakutumia bendera zao kushirikiana na magaidi wenzao..
 
Wacha watuwekee vikwazo ili tupate akili. Nchi yetu ina kila kitu ,lakini bado tuna omba omba kama matonya.

Mimi nataka hasa watuwekee vikwazo, ili hizi rasilimali zetu tuzitumie wenyewe, mi nashangaa sana, sijui kwanini tunapapatikia watu wenye kutunyonya, watatuvua mpaka nguo kwa kujipendekeza kwao, sasa wao mbina wanayo Nuclear weapon hao US na hakuna sanctions zozote? Katika wamiliki wote wa nuclear duniani US tayari ameshatumia na kupiga Hiroshima effect zake bado zipo lakini still hajapigwa sanctions bado anaendelea kuwa nazo!! Tuache Ujinga wa kupumbazwa nao hawa mashoga ya US! The time has come kila taifa lioneshe ubabe na uwezo ili kuhakikisha ubeberu unapotea!
 
huyu mtu hovyo kweli. sijui mwaka huu kichwa chake atakificha wapi. Kila siku marekani, marekani, sasa aibu hiyo inamkuta. ***** kweli... hata na mimi mwanamke ntamuita dhaifu.. Dhaifuuuuuuuuu.... mfyuuuuuuuu

Weeeee! labda unapaswa kumwita hivyo akiwa ofisini tu bali sio kwenye majamboooozii,
 
Tuwekewe tu vikwazo maana tuna rais dhaifu na hana muda wa ku scrutinize vitu.yaani yupouupo tu..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nataka nikijibu pointi yako ya 6 uloihusisha zanzibar. Eti kwanini zanzibar wanatumia hilo jina la Tanzania katika kifanya biashara hatarishi kama hiyo, ndugu nieleze hasa Zanzibar imehusika vipi, ni nani hasa anahusika na bendera ya TZ? Ni nani waziri wa mambo ya nje kwani? Waziri wa biashara ni nani? Maana sijakuelewa zanzibar imehusika vipi hapo? Yaani wabongo kama wewe wataka kwenye mazuri to exclude zanzibar kwenye mabaya ambayo haihusiki ndo una include!!! :D huna point! Endelea kupewa misaada na bwana wenu US, subirini basi aje aweke sanctions kwa kuukata na kutesa mashoga TZ!!
 
Hivi ni nani anayeamua kuhusu mashirikiano yetu ya nje? Wizara ya nje, rais au bunge la JMT? Maana kila kitu ni UDHAIFU tu!
 
huyu mtu hovyo kweli. sijui mwaka huu kichwa chake atakificha wapi. Kila siku marekani, marekani, sasa aibu hiyo inamkuta. ***** kweli... hata na mimi mwanamke ntamuita dhaifu.. Dhaifuuuuuuuuu.... mfyuuuuuuuu

Sijui ataanzisha route ipi sasa? sababu ninauhakika awezi kuwa na confidence ya kujipelekapeleka huko tena.
 
Nataka nikijibu pointi yako ya 6 uloihusisha zanzibar. Eti kwanini zanzibar wanatumia hilo jina la Tanzania katika kifanya biashara hatarishi kama hiyo, ndugu nieleze hasa Zanzibar imehusika vipi, ni nani hasa anahusika na bendera ya TZ? Ni nani waziri wa mambo ya nje kwani? Waziri wa biashara ni nani? Maana sijakuelewa zanzibar imehusika vipi hapo? Yaani wabongo kama wewe wataka kwenye mazuri to exclude zanzibar kwenye mabaya ambayo haihusiki ndo una include!!! :D huna point! Endelea kupewa misaada na bwana wenu US, subirini basi aje aweke sanctions kwa kuukata na kutesa mashoga TZ!!

Inafahamika walio reflag hizo meli za Iran ni Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ).
Nijuavyo mimi huwa wanayo bendera yao!
Sasa, ni kwanini watumie bendera ya Jamhuri ya Muungano?
 
Nimecheka hadi basi.

Zanzibar ni taifa huru ndani ya jamhuri ya muungano, haipaswi kuanzia rais wa muungano, wazir wa muungano na viongozi wengine wowote kuingilia zanzibar kwenye mambo yake kama imesajili meli ndio ni haki yake. mambo haya ya kuendeleza kuendeshwa na wakoloni yamepitwa na wakati, kwa ushaur ningependa kumskia rais wetu akitoa tamko kwa hili.
 
This is the most disgusting government and president we have ever had. Angekuwa rais mwingine angepitisha fimbo hadi kieleweke. Slaa au Nyerere angewachapa hawa watu viboko au kuwatia ndani, lakini hili zezeta atacheka tu nao hao mafisadi kama kawaida yake

Unakumbuka Nyerere na Lonrho, Tiny Rowlands au unasema tu?
 
Huyo Mmerekani hajui kuwa Tanzania kuna nchi mbili zenye sheria tofauti kuhusu usajili wa meli?

Inafaa apewe darsa huyo.
 
Huyo Mmerekani hajui kuwa Tanzania kuna nchi mbili zenye sheria tofauti kuhusu usajili wa meli?

Inafaa apewe darsa huyo.

Hivi bendera iliyotumika katika hiyo reflagging scandal ni ya Zanzibar?!
 
Duu Dili imesanuka!!!!!!! Lakini mgao nusu washachukua wajanja hapa bongo!!!! Uza nchi kwani nini.. LIWALO na LIWE!!!!
 
Kazi ipo kubwa mbele ya JK na Govt kujitambua...,
CCM na Govt, wamezoea kukemewa ndiyo hupata ufahamu.
Nadhani ni wakati muafaka kwa hao aliokuwa anawaita marafiki wazuri wa nchi na Govt yake..., kumwonyesha wao ni watu dhaifu, bali ni watu wapo serious na makini. watu wasiopenda ubabaishaji na ujinga pale linapofika suala la National interest. Blan blaa hazina nafasi hata kidogo.
Wakiwa wakali kwake nadhani JK atajitambua yuu ktk uweledi wa aina gani..!

Bana masuala ya national interest ni nyeti kwa ustawi wa Taifa na watu wake, Govt ya CCM haina kabisa mapenzi na Watanzania, wao wana mapenzi na Hazina ya Taifa na ubinafsi....,
US, UK na washirika wenu kazeni buti ktk hilo suala ili CCM na Govt ibadilike, watanzania wafurahie Hazina yao.

Watanzania wanaipenda Tanzania.
 
Zanzibar government defends Iranian oil tankers` registration


The Zanzibar government yesterday defended its move to register Iranian oil tankers, saying it didn't break any laws as claimed by a section of the international media early this week.

Zanzibar Infrastructure and Communication minister Hamad Masoud Hamad refuted reports that the Isles government had registered Iranian oil tankers as reported by Bloomberg News Agency early this week.

The minister admitted however that the said Iranian oil tankers were previously registered in Cyprus and Malta islands.
Briefing the House of Representatives yesterday, Hamad said the registered oil tankers were not covered by international sanctions imposed on Iranian ships by the European Union and the United States.

The minister stated that according to the Zanzibar Marine Transport AuthorityAct, number 3 of 2009, and the Zanzibar Marine Transport Act of 2006, the Isles government had full autonomy to register international ships.

According to the minister, Zanzibar entered into an agreement with a Dubai-based company, Philtex Ltd, to act as its agent in the registration of all international ships, known in the shipping industry as ‘open registry'

The minister added that open registry had been in effect since 2009, whereby a number of international cargo ships, oil tankers and passenger vessels were registered in Zanzibar.

Contrary to the media reports, the minister said, the vessels claimed to belong to Iranian authorities were in fact owned by British nationals living in the Virgin Islands and the Seychelles. The minister warned against interference by the union government in the matter as promised by his counterpart, Dr Harrison Mwakyembe, saying marine transport in Zanzibar wasn't a union affair.

Citing relations between Iran and Zanzibar, the minister said the two countries had strong ties, adding that that was why Iran's vice-president recently visited the Indian Ocean archipelago to discuss how to strengthen the relations. He warned that Zanzibar wasn't ready to be dragged into the ongoing conflicts between Iran and Western countries.

Speaking about the Iranian tanker flying the Tanzanian flag, the minister said since Zanzibar was part of the union, there was nothing wrong for vessels registered in the Isles to fly the union flag.

"But if the Tanzanian government won't feel comfortable with the tankers flying the union flag we are ready to let them fly the Zanzibar flag. This is no big deal and it should not be blown out of proportion," the minister said.

On Monday, Bloomberg News Agency reported that NITC, an oil-tanker company owned by Iranian pension funds, renamed at least 10 of its vessels and switched them to flying the Tanzanian flag amid increasing curbs on transactions with the Persian Gulf nation.

NITC renamed five large crude oil carriers, each with a capacity to hold about 2 million barrels of oil, and five Suezmaxes, hauling 1 million barrels each, according to the Equasis shipping database maintained by the European Commission, Bloomberg reported.

Ownership was switched from NITC to new companies operating from the same address in Tehran and NITC remains the operator, the data show. All the ships were previously registered in Malta or Cyprus.

A European embargo on Iranian crude exports, which comes into effect on July 1, extends to insuring vessels that carry oil. Twenty-five NITC tankers are being used to store crude, the Paris-based International Energy Agency said on June 13, this year.

The US and Europe said Iran's nuclear programme was aimed at developing atomic weapons while the government in Tehran says it is for civilian purposes.

Habibolah Seyedan, NITC's commercial director, was unavailable for comment, said a person who answered a call to his office yesterday. The company lists 39 tankers on its website. Philtex Corp. operates the administrative office of the Tanzania Zanzibar International Register of Shipping from Dubai, according to the register's website.

SOURCE: THE GUARDIAN




 
Status
Not open for further replies.
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom