Kufa kwa nyani, miti yote huteleza.
Naona unatatafsiri vitu kwa jinsi unavyofiiria na sio sheria ya usajili wa Meli. Makampuni yote duniani husajili meli ktk nchi ambazo wanaona kuna nafuu ya ushuru na maswala mengineyo kiasi kwamba Meli tofauti na magari unaweza kuisajili nchi yoyote maadam unafuata sheria hata sisi Bakhresa anaweza kusajili meli yake Kenya, Amerika au Uingereza ili mradi amefuata sheria na anajua biashara zake zinahitaji bendera ya nchi gani ku cross borders or international water.
Hakuna sheria ya kimataifa inayokataza nchi moja kusajili meli za biashara za mtu mweye uraia wa nchi nyingine hata hao Marekani kuna mashirika yamesajili meli zao nchi nyingine au nchi nyingine kusajili Marekani ni kazi ya shirika hilo kutafuta wapi wanataka kufanya biashara. Jamani meli ni za watu sio za serikali wala za kivita ni meli za mizigo kama lorry la baharini tu. Halafu ni muhimu sana ufahamu ya kwamba Meli zinazochukua Mafuta ya Iran sio lazima kuwa ni meli za serikali ya Iran au Muiran ni mfanyabiashara yeyote aliyepata cointact ya kusafirisha mafuta hayo, nikiwa na maana kwamba Meli za Bakhresa maadam zina bendera ya Tanzania haina maana zina uhusiano na serikali au jeshi la Tanzania na wala kila meli yenye flag yetu mwenye meli hizo ni Mtanzania.
Biashara ya Meli hasa za ubebaji mafuta ni sawa na malorry tu kusambaza Mafuta nchini, hivyo hata kama lorry lina nembo ya Mkandara haina maana hilo lorry ni langu inaweza kuwa la mtu mwingine broker ambaye kwa masharti ya kikazi analazimika kuweka nembo yangu kwa sababu mimi ndiye mwenye contract ya biashara ya Usafirishaji. Risk ni ya mwenye kampuni ya meli sio nchi bendera inayopepea. Kwa hiyo, shirika la meli kubeba mafuta ya Iran haina maana shirika hilo asili yake ni Iran.
Kwa hiyo ukiona Malorry ya Kugi's Kagera njiani sii lazima malorry yale yote ni yake na hata kama Kugis ana tatizo la Ushuru, TRA haiwezi kushitaki Brokers ambao wao hulipa tax zao ati kwa sababu tu wanatumia nembo ya Kugis. TRA watatazama mahesabu ya Kugis tofauti na mahesabu ya brokers kila mmoja wao atakuwa na mahesabu yake na kodi zake. Pia dereva wa lorry akipewa Ticket inakwenda kwa dereva na kuharibu driving record yake sio au mwenye lorri lile na Insurance sio shirika la Kugis kwa sababu tu ya matumizi ya nembo yake.
Ni muhimu sana muelewe matumizi ya Flag kabla hamjaanza kukurupuka na kuhaha ovyo.. Najua Bongo wapo wataliani wanatumia flag yetu kutokana na shirika la Meli ambayo inaweza kuwa ya Myahudi, Mgiriki au Mtaliani ambaye ana contracty ya kusafirisha mafuta ya Iran I Think mwenye kampuni has to worry more than us..
Nashani nimeeleweka.
Hatariiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!
Mtu dhaifu hutishiwa kunyimwa misaada pindi anapokosea,..mtu thabiti ushauriwa kwa busara pale anapopotoka,...vivyo hivyo kwa nchi dhaifu na hasa inayoongozwa na kiongozi dhaifu....poor tanzania
choveki wa iran ni waarabu bana au????
Dah! mkuu wangu weee! nimesema MAKAMPUNI duniani hufanya usajili nchi nyinginezo kutokana na sababu kibao moja wapo ikiwa Ushuru sikusema hiyo ndio sababu ya Iran kusajili Tanzania na kuitumia bendera yetu.Mkandara unataka kutuaminisha kuwa Iran inatumia bendera/kusajili Tanzania kwa sababu ya lower taxation rate? Na unataka kutuaminisha kuwa hii issue yote is purely based on business? Yaani Iran wame-shop around wakagundua Tanzania ndio wanatoza kodi ndogo na 'manufaa mengineyo'!
Kenya wananunua mafuta toka Iran, kwanini unafikiri hawakuruhusu bendera yao itumiwe? Au kwa nini India hawjaruhusu hilo? Or China & Russia ambao wameamua kusimama kidete na Iran kwa nini wasikubali bendera za nchi zao zitumike?
Hapana mkuu wangu lazima tukubali mkopo pia ni msaada..Kwa Wabongo tumezoea kupewa bure yaani mtu akiomba fedha basi maadam zinatakiwa kurudishwa basi sio msaada ila ile unayopewa bure kimaskini na ombaomba ndio msaada. Kifupi kama huna Mtaji ukikopeshwa umesaidiwa vile vile.
Sema tu hatuuhitaji, tunaweza kabisa kuendesha maisha yetu bila mikopo ya lazima na yenye masharti ya kisiasa kama hii.
Mkuu yale ya vita baridi yalisha kwisha siku nyingi siku hizi ni Biashara tu hakuna siasa. Iran inafungiwa na matatizo yote kwa sababu wamekataa kufungua milango yao kwa Marekani na nchi za jumuiya ya EU toka enzi za Ayatollah baada ya kumpindua Shah..Mkandara,
..sasa Iran anaweza kutupa hiyo mikopo??
..sakata hii inanikumbusha miaka ile tulipoiunga mkono China dhidi ya nchi za magharibi.
..malipo ya kuwaunga mkono China ilikuwa ni mradi wa reli ya Tazara.
..binafsi nasema kama Wairan wanataka tuwaunge mkono basi shurti "wapande dau."
NB:
..Wamarekani sasa hivi wanafadhili mradi wa miundo mbinu kusini mwa Tanzania.
Nairobi, Kenya.
Monday 2 July 2012.
Kenya agrees to buy Iran oil, silent on sactions:
Kenya has agreed to import 4 million tonnes of Iranian crude oil per year, a senior Kenyan energy official said on Monday.
Patrick Nyoike, permanent secretary at the energy ministry, said the two governments signed the memorandum of understanding on the oil last month. He did not say how many years the agreement covered.
"The details will come later," Nyoike told Reuters by telephone, declining to comment on how the deal sits with U.S. and European Union (EU) sanctions against Iranian oil exports.
Most other importers of Iranian crude oil have sharply reduced purchases to earn exemptions from U.S. financial sanctions.
The European sanctions - including a ban on imports of Iranian oil by EU states and measures that make it difficult for other countries to trade with Iran - came into effect on Sunday.
Lawmakers from the U.S. House of Representatives and Senate are meanwhile working to finalise a new package of sanctions aimed at further reducing oil and other revenues used by Iran to further its nuclear program.
Nyoike said the crude would total about 30 million barrels over one year, equivalent to around 80,000 barrels per day.
Kenya's only refinery said last month it would start buying its own crude oil. It processes 1.6 million tonnes a year.
Kenya has signed similar memorandums deals before.
Under President Mwai Kibaki, the east African nation has increasingly turned to new economic partners, forging close ties with nations like China and Libya under Muammar Gaddafi's leadership.
The shift in foreign policy stance has sometimes caused unease among its traditional western allies. Kenya is a key strategic ally in the U.S. led fight against militant Islam. (Reporting by Duncan Miriri; Editing by Richard Lough and Anthony Barker)
Source: Kenya agrees to buy Iran oil, silent on sanctions*- Corporate News*|businessdailyafrica.com
When is Tanzania going to backdown from re-flagging Iranian ships? Let's wait and see
Na zilizobaki sasa zinapeperusha bendera ya Tanzania.Iran tries to dodge oil sanctions
BBC, 29 June 2012
A complete European Union oil embargo on Iran over its nuclear programme comes into force on Sunday, but the Islamic Republic has already found some ways of circumventing the sanctions.
The Pacific islands of Tuvalu have some 11,000 inhabitants on a total of 26sq km (10 square miles) of land.
Few Iranians can find the tiny state on the map or have even heard of it, but out of a fleet of 39 Iranian oil tankers, 15 now fly the Tuvaluan flag.
In recent weeks, the National Iranian Tanker Company (NITC) has changed the names and flags of its fleet to try to avoid sanctions by the EU.
The EU will stop importing Iranian oil and ban insurance of vessels carrying the crude as of 1 July.