Tanzania Now Faces Sanctions & Diplomatic Crisis Over Iran

Tanzania Now Faces Sanctions & Diplomatic Crisis Over Iran

Status
Not open for further replies.
Aibu. Ni kama fumanizi vile, yaani huu ni ukahaba wa itikadi, sera na msimamo kwa JK na ccm.

Wapi Kurugenzi dhaifu ya Ikulu kukanusha hili?
 
Acheni woga na roho za kimaskini sana...Zipo nchi kibao zimepinga kufuata mashati ya sanction ya Jumuiya na nchi za Ulaya (EU) yaliyofanyika mwaka jana. India mojawapo na wanaagiza mafuta kutoka India kama kawaida na nchi kibao zimekataa kuweka saini sisi wamojawapo. Isipokuwa zile sanctions za UN zilizofanyika miaka ya 2007 na 2008 ndizo zilikubaliwa kimataifa. Meli kubeba bendera ya Tanzania ina tatizo gani mbona wao wenyewe wanatumia nchi nyinginezo ambazo sisi hatuna mahusiano nazo. Iraq, Lebanon, China, Russia wote bado mahusiano makubwa na Iran mbona hawasemwi? au kwa sababu sisi ombaomba!

Kama wanatishia kukata misaada wakate haraka sana maana kwanza tutakuwa tumeacha kutembelea magongo maana hatuna sababu kabisa ya kuchukua misaada. Tukinyimwa misaada nina hakika tutaanza kukabana sisi wenyewe mashati na ndio mwanya wa sisi pia kuwafukuza Barricks na wanyonyaji wote walikuja wekeza nchini wakituibia maliasili zetu na wathubutu, tutaanza upya!..
 
Serikali gani ya Tanzania yenye uwezo huo? Ya Kikwete? Huyu ambaye anataka kufukuza madaktari aagize kutoka nje au nyingine. Ile ya Shein ni kiinimacho, sio serikali. Serikali gani ya kumwambia mmarekani hivyo????
 
nimechoka! leo nimepata fursa ya kuongea na senior intelligence officers wa serikali ya uingereza wanasema wanafuatilia hili sakata kwa ukaribu zaidi na wakijiridisha bila shaka Tanzania itawekewa vikwazo vya kiuchumi pamoja na kufuta misaada yote. Pia jamaa wamenitonya hapa Washington DC kuwa wanafuatilia kwa ukaribu suala la Dr . Ulimboka na kusema endapo akifa tu na chanzo kuwa ni mateso aliyoyapata kuna kitu kikubwa chaja (kwa sasa ibaki siri).Nilipojitambulisha natoka tanzania mmoja wao amenijibu . nanukuu

"WE HATE CHAMA CHA MAPINDUZI"

mwisho wa kunukuu

I'm Thomaso to this!!
 
Hakuna shaka yeyote kwamba Rostam ndiye aliyemuingiza Vasco kwenye ujinga wa kuandikishwa kwa meli za mafuta za Iran.Nakupa pole Vasco,wewe humjui Rostam,mimi namjui vizuri sana.Jamaa huyo amefuzu vizuri kwenye maswala ya sabotage na conpiracies.Huyo ndiye pia anayesaidia Iran kupata Uranium,kutoka Congo,na nina hakika baadae Tanzania.Jamaa huyo noma Kikwete,humuwezi,QUOTE=Kuntakint;4166690]Rostam alishasema serikali ya Kikwete kaiweka mfukoni na wala haiwezi kumfanya kitu. Na akasema tena kuwa akikohoa tu asubui uchumi wa nchi inayumba sasa hapo unategemea Vasco Dagama atasema nn. Rostam atachangia pesa inayotakiwa kwenye bajeti badala ya nchi za ulaya. Rostam kamwingiza Vasco Dagama kwenye matatizo bila Vasco kujua. Hili linatokana na kuvua gamba sasa tuone nani zaidi. Rostam huyooo kwao Iran. Tulipokuwa tunasema Rostam ni Miran wengi walibisha sasa yametimia. Vasco Dagama ataanza safari zake za ugunduzi kwenye miamba ya Iran.[/QUOTE]
 
Serikali gani ya Tanzania yenye uwezo huo? Ya Kikwete? Huyu ambaye anataka kufukuza madaktari aagize kutoka nje au nyingine. Ile ya Shein ni kiinimacho, sio serikali. Serikali gani ya kumwambia mmarekani hivyo????
Wapi umesikia serikali ya Marekani imeagiza hivyo?.. Sikia mawazo ya mbunge mmoja kuhusu Tanzania hayawezi kutuweka roho juu kwa sababu yeye ni Myahudi ana anatetea maslahi ya Uyahudi na sio Tanzania wala Marekani. Hakuna chombo hata kimoja hapa cha serikali kina laani kitendo cha bendera ya Tanzania juu ya meli za Iran.. Ni mawazo ya mtu mmoja kama huyo Stella Manyanya sijui wa CCM kazi kuropoka tuu..

Inashangaza sana watu mnaunga mkono kila kitu wakati Marekani wenyewe ndio wenye deposit ya neclear kubwa hapa duniani na wao ndio wameisha itumia kuua watu lakini hakuna hata mtu mmoja anmesimama kusema Marekani haitakiwi kuwa na Nuclear power. Kila siku wanajijenga ktk nuclear power na sii ajabu hata huko juu kwenye station yao wameweka mabomu ya Nuclear - who knows.

Kwetu tunaojua mchezo mzima wa vita ya kiuchumi tunaelewa haswa kinachofanyika. Iran walikuwa wakifuatwa hata kabla ya kuanza nuclear power project wakasakiziwa kina Saadam Hussein. Leo, hii mnaitaka dunia nzima isinunue mafuta ya Iran wakati wawekezaji wakubwa wa mafuta sehemu nyingine duniani ni wao.

Nchi zao zinayumba kiuchumi na hakuna njia isipokuwa kupunguza distribution ya mafuta kuindoa Iran, hivyo tuendelee kununua mafuta bei mbaya wakati wao wakitengeneza uchumi wao ulioharibika. Vita ya Syria, Afrika na Arabuni kote ni biashara ya silaha tunauziwa mijinga kujiua..Wanatuchonganisha wao halafu wanatuuzia silaha ati misaada maana Mchina kisha wazidi sehemu nyingine zote za uzalishaji.

Wewe Mmatumbi usokuwa na nyuma wala mbele unaingia mkenge kushabikia upuuzi huu. Wake up bro, watunyime hiyo misaada na JK huyu huyu awakatalie kama alivyomfanyia Cameron na Ushoga, mbona hatuzioni hizo sanctions..
 
Ulafi na ufisadi wa serikali ya Kikwete sasa unaliingiza taifa katika mgogoro wa kidiplomasia. Juzi tumeionya serikali, leo serikali ya Marekani inatoa onyo kwa Kikwete. Sababu IRAN. Watueleze ni kitu gani viongozi wa IRAN wamekuwa wakifuata Tanzania ! Mwakyembe, Membe Rostam na Kikwete Kazi Kwenu

Tanzania must stop re-flagging Iran tankers: U.S. lawmaker

WASHINGTON | Fri Jun 29, 2012 1:39pm EDT (Reuters) - Tanzania must stop the practice of "re-flagging" Iranian oil tankers or it will face the threat of U.S. sanctions and damage its ties with Washington, a U.S. lawmaker warned on Friday.

Howard Berman, the ranking member of the House Committee on Foreign Affairs, accused Tanzania of reflagging at least six and possibly as many at 10 tankers owned by the National Iranian Tanker Company.

"This action by your government has the effect of assisting the Iranian regime in evading U.S. and EU sanctions and generating additional revenues for its nuclear enrichment and weapons research program and its support for international terrorism,"

Berman said in a letter to President Jakaya Kikwete that was obtained by Reuters. Berman said if the tankers were allowed to continue sailing under the Tanzanian flag, Tanzania could face the sanctions that President Barack Obama signed into law.

He said Congress would also have "no choice" but to consider whether to continue the range of bilateral U.S. programs with Tanzania.Officials at Tanzania's embassy were not immediately available to comment on Berman's letter.

The sanctions, along with similar action by the European Union, are aimed at pressuring Iran to curb its nuclear program, which the West believes aims to develop nuclear weapons but which Tehran says is for peaceful purposes. The United States gave China a six-month reprieve from Iran financial sanctions on Thursday. The Obama administration has now spared all 20 of Iran's major oil buyers from its unilateral sanctions, rewarding them for cutting purchases of Iranian oil.

Below are some of the Super-Tankers that have been renamed, and flying the Tanzanian Flag:

Davar (previous name): Companion – Tanzania
Haraz: Freedom – Tanzania
Susangrid: Daisy – Tanzania

Barua yao hii hapa:

Dear President Kikwete,
I am writing to express my deep dismay that Tanzania has permitted the National Iranian Tanker Company (NITC), to reflag at least 6 and as many as 10 of its vessels under the Tanzanian ship registry, allowing them to remain under NITC ownership and continuing to transport Iran’s crude oil exports. This action by your government has the effect of assisting the Iranian regime in evading U.S. and EU sanctions and generating additional revenues for its nuclear enrichment and weapons research programs and its support for international terrorism.

It is profoundly disappointing to me to learn that your government has acted in contravention of the broad international coalition that is working together to use peaceful means, including economic sanctions, to change the threatening behavior of the Iranian regime. The decision to accept the re-flagging of NITC vessels casts a shadow over Tanzania’s international reputation.

I respectfully request that Tanzania cancel the re-flagging of the NITC vessels. Given the close and cooperative relationship that our two governments now enjoy, it would be unfortunate if this action were permitted to stand.

It would be preferable that Tanzania take this action of its own accord. However, your government should take note of President Obama’s Executive Order 13608, signed May 1, 2012, which provides for the imposition of sanctions on any entity worldwide, including foreign governments, that assists Iran in evading U.S. sanctions. In my view, reflagging Iranian oil tankers falls within the scope of sanctionable activity under that Executive Order. In addition, if Tanzania were to allow Iranian vessels to remain under Tanzanian registry, we in the Congress would have no choice but to consider whether to continue the range of bi-lateral U.S. programs with Tanzania.

Sincerely,

Howard Berman
Ranking Democrat, House Foreign Affairs Committee

this is just the stupid letter they should stop china not tz
 
Acheni woga na roho za kimaskini sana...Zipo nchi kibao zimepinga kufuata mashati ya sanction ya Jumuiya na nchi za Ulaya (EU) yaliyofanyika mwaka jana. India mojawapo na wanaagiza mafuta kutoka India kama kawaida na nchi kibao zimekataa kuweka saini sisi wamojawapo. Isipokuwa zile sanctions za UN zilizofanyika miaka ya 2007 na 2008 ndizo zilikubaliwa kimataifa. Meli kubeba bendera ya Tanzania ina tatizo gani mbona wao wenyewe wanatumia nchi nyinginezo ambazo sisi hatuna mahusiano nazo. Iraq, Lebanon, China, Russia wote bado mahusiano makubwa na Iran mbona hawasemwi? au kwa sababu sisi ombaomba!

Kama wanatishia kukata misaada wakate haraka sana maana kwanza tutakuwa tumeacha kutembelea magongo maana hatuna sababu kabisa ya kuchukua misaada. Tukinyimwa misaada nina hakika tutaanza kukabana sisi wenyewe mashati na ndio mwanya wa sisi pia kuwafukuza Barricks na wanyonyaji wote walikuja wekeza nchini wakituibia maliasili zetu na wathubutu, tutaanza upya!..
kwanza missada yao sio misaada bali ni mikopo ambayo inatufanya kuendelea kuwa masikini. shame on them tyrants afadhali wasitishe mikopo hiyo ili tujitegemee.
 
kwanza missada yao sio misaada bali ni mikopo ambayo inatufanya kuendelea kuwa masikini. shame on them tyrants afadhali wasitishe mikopo hiyo ili tujitegemee.
Hapana mkuu wangu lazima tukubali mkopo pia ni msaada..Kwa Wabongo tumezoea kupewa bure yaani mtu akiomba fedha basi maadam zinatakiwa kurudishwa basi sio msaada ila ile unayopewa bure kimaskini na ombaomba ndio msaada. Kifupi kama huna Mtaji ukikopeshwa umesaidiwa vile vile.
Sema tu hatuuhitaji, tunaweza kabisa kuendesha maisha yetu bila mikopo ya lazima na yenye masharti ya kisiasa kama hii.
 
Ndio maana wanasema, uamsho wa Z'bar unafadhiliwa na nchi za Mashariki ikiwano Iran, ili kujenga Z'bar huru itakayojiamulia mambo yake kama hayo makubaliano ya kibiashara.
 
Original
Tanzania ni taifa huru na hatufungamani na upande wowote.

Mkuu Original, hiyo ilikuwa ni sera ya Nyerere na aliweza kuisimamia kwa sababu alichukia ufisadi, ukoloni, uonezi na ubaguzi wa aina yeyote. Siku hizi ni ombaomba na kukubali masharti yote ya misaada kwa kwenda mbele! Kwani hujui kwamba mla cha wenzie, na chake huliwa? Hawa jamaa sera yao ni "Quid pro Quo" na ni papo kwa papo! Wanachotoa kwa mkono wa kushoto wanakichukua haraka kwa mkono wa kulia na ukisinzia tu wanachukua kingi kuliko walichotoa! Ni wachakachuaji wazuri sana! Mungu ibariki Tanzania!
 
Mkandara
Kama wanatishia kukata misaada wakate haraka sana maana kwanza tutakuwa tumeacha kutembelea magongo maana hatuna sababu kabisa ya kuchukua misaada. Tukinyimwa misaada nina hakika tutaanza kukabana sisi wenyewe mashati na ndio mwanya wa sisi pia kuwafukuza Barricks na wanyonyaji wote walikuja wekeza nchini wakituibia maliasili zetu na wathubutu, tutaanza upya!..

Mkuu Mkandara, huo mwekundu nimependa sana kwa sababu nasi tukiwaambia wao ni wezi tu kwa kuweka uwezekezaji wa masharti ya kukwepa kodi na papo hapo wanatunyima misaada au mikopo basi sisi tunawatafuta wawekezaji watakaolipa kodi ili tujikimu. Lakini wakubwa watathubutu kuchimba huo mkwara?
 
Wala hatuna haja ya kuweka mikwara sii wao wataanza kukata misaada. Wakikata misaada na kufunga balozi zao ina maana wawekezaji wote nchini wanakuwa hawana mdhamana wala sheria haipo tena. Hapo ndipo nasi tutalazimika kufuta mahusiano na kulamba dume kina Barrick..Mkuu hawawezi Sii umeona Marekani na Syria?.. wanashindwa nini kuingia pale wakashambulia kama sii kuogopa kuipoteza Iraq maana kule Mashia wote wataungana against America ndio maana wanatafuta mtu mwingine na Turkey seems to be the best bet!.. Mturuki naye chale zimemcheza..

Kwa hiyo hawa jamaa wanatazama kwanza maslahi yao, hivi vitisho ni kutikisa kiberiti waone kama kimejaa na tukikurupuka kuondoa hizo Bendera well and good tukiacha hawatafanya kitu. Ila tukiwafukuza kiuchumi na kuwaleta Wachina hapo tena utasikia Alqaeda imehamia Tanzania halafu tutakiona cha moto kweli.

As long as they have their interest secured hawana ujanja wowote hadi pale tutakapo watishia japokuwa nchi ni yetu na mali ni zetu wako radhi kutupora kinguvu kwa kutusingizia Ugaidi na ndio kinachowaweka hai.. Muingereza ana nini? ebu jiulize Muingereza ana nini hasa hadi kuwa Taifa kubw, hana kitu anaishi kiunjanja Ujanja tu kupora huku anapeleka kwake na vitisho sanaa hadi tunaamini kuwa wao ni matajiri wakati hawana chochote, tunawatajirisha sisi.
 
Jeuri bila support ya wananchi mliiona wapi? Mugabe anadunda kwsbb anaungwa mkono na wananchi wengi na nchi majirani pia!

Serikali ya sasa inayopingwa na wananchi na kuungwa mkono na wageni wezi, ikigeukwa na wageni haifiki 2015.

Hao wooote wanaounga mkono kukaidi, misaada ikikatwa tukatakiwa kulipa kodi kubwa zaidi ili serikali iweze kumudu garama za kuiendesha, wataandamana wakiwa wa kwanza!
 
Acheni woga na roho za kimaskini sana...Zipo nchi kibao zimepinga kufuata mashati ya sanction ya Jumuiya na nchi za Ulaya (EU) yaliyofanyika mwaka jana. India mojawapo na wanaagiza mafuta kutoka India kama kawaida na nchi kibao zimekataa kuweka saini sisi wamojawapo. Isipokuwa zile sanctions za UN zilizofanyika miaka ya 2007 na 2008 ndizo zilikubaliwa kimataifa. Meli kubeba bendera ya Tanzania ina tatizo gani mbona wao wenyewe wanatumia nchi nyinginezo ambazo sisi hatuna mahusiano nazo. Iraq, Lebanon, China, Russia wote bado mahusiano makubwa na Iran mbona hawasemwi? au kwa sababu sisi ombaomba!

Kama wanatishia kukata misaada wakate haraka sana maana kwanza tutakuwa tumeacha kutembelea magongo maana hatuna sababu kabisa ya kuchukua misaada. Tukinyimwa misaada nina hakika tutaanza kukabana sisi wenyewe mashati na ndio mwanya wa sisi pia kuwafukuza Barricks na wanyonyaji wote walikuja wekeza nchini wakituibia maliasili zetu na wathubutu, tutaanza upya!..

Mkandara, tatizo sio kuagiza mafuta au kufanya biashara yoyote na Iran, tatizo ni kuruhusu bendera ya Tanzania kutumia na meli za Iran. Kwa haraka haraka hili linaweza kuwa jambo dogo na hata tukasema kuwa sisi tuna uhuru wa kuchagua nani tunashirikiana naye. But think this, (kwa mtindo wa kivita) ingekuwa vita, marekani wakawa wanatafuta meli za Iran lakini wakagundua kwamba zinatumia bendera za Tanzania ni kwamba watapiga both meli za Iran na Tanzania, hata kama kuna meli zingine kweli ni za Tanzania. (hii kwa scenario ya vita).

Tukija kwenye swala la Iran, Tanzania tuna matatizo lukuki, kwanini tujiingize kwenye malumbano yasiyotuhusu?
 
Naona unatatafsiri vitu kwa jinsi unavyofiiria na sio sheria ya usajili wa Meli. Makampuni yote duniani husajili meli ktk nchi ambazo wanaona kuna nafuu ya ushuru na maswala mengineyo kiasi kwamba Meli tofauti na magari unaweza kuisajili nchi yoyote maadam unafuata sheria hata sisi Bakhresa anaweza kusajili meli yake Kenya, Amerika au Uingereza ili mradi amefuata sheria na anajua biashara zake zinahitaji bendera ya nchi gani ku cross borders or international water.

Hakuna sheria ya kimataifa inayokataza nchi moja kusajili meli za biashara za mtu mweye uraia wa nchi nyingine hata hao Marekani kuna mashirika yamesajili meli zao nchi nyingine au nchi nyingine kusajili Marekani ni kazi ya shirika hilo kutafuta wapi wanataka kufanya biashara. Jamani meli ni za watu sio za serikali wala za kivita ni meli za mizigo kama lorry la baharini tu. Halafu ni muhimu sana ufahamu ya kwamba Meli zinazochukua Mafuta ya Iran sio lazima kuwa ni meli za serikali ya Iran au Muiran ni mfanyabiashara yeyote aliyepata cointact ya kusafirisha mafuta hayo, nikiwa na maana kwamba Meli za Bakhresa maadam zina bendera ya Tanzania haina maana zina uhusiano na serikali au jeshi la Tanzania na wala kila meli yenye flag yetu mwenye meli hizo ni Mtanzania.

Biashara ya Meli hasa za ubebaji mafuta ni sawa na malorry tu kusambaza Mafuta nchini, hivyo hata kama lorry lina nembo ya Mkandara haina maana hilo lorry ni langu inaweza kuwa la mtu mwingine broker ambaye kwa masharti ya kikazi analazimika kuweka nembo yangu kwa sababu mimi ndiye mwenye contract ya biashara ya Usafirishaji. Risk ni ya mwenye kampuni ya meli sio nchi bendera inayopepea. Kwa hiyo, shirika la meli kubeba mafuta ya Iran haina maana shirika hilo asili yake ni Iran.

Kwa hiyo ukiona Malorry ya Kugi's Kagera njiani sii lazima malorry yale yote ni yake na hata kama Kugis ana tatizo la Ushuru, TRA haiwezi kushitaki Brokers ambao wao hulipa tax zao ati kwa sababu tu wanatumia nembo ya Kugis. TRA watatazama mahesabu ya Kugis tofauti na mahesabu ya brokers kila mmoja wao atakuwa na mahesabu yake na kodi zake. Pia dereva wa lorry akipewa Ticket inakwenda kwa dereva na kuharibu driving record yake sio au mwenye lorri lile na Insurance sio shirika la Kugis kwa sababu tu ya matumizi ya nembo yake.

Ni muhimu sana muelewe matumizi ya Flag kabla hamjaanza kukurupuka na kuhaha ovyo.. Najua Bongo wapo wataliani wanatumia flag yetu kutokana na shirika la Meli ambayo inaweza kuwa ya Myahudi, Mgiriki au Mtaliani ambaye ana contracty ya kusafirisha mafuta ya Iran I Think mwenye kampuni has to worry more than us..
Nashani nimeeleweka.
 
2011- 2012 Msaada Tshs 850,000,000,000.00 !!!!!!???
Wanajua Tshs ngapi zimerudishwa kwao kwa kupanga mipango dhaifu na kushindwa kutekeleza miradi???
kichwa cha punguani, yeyote anajifunzia kunyoa.

Marekani imetishia kuiwekea vikwazo vya kiuchumi Tanzania endapo itaiachia Iran kuendelea kutumia bendera ya Tanzania katika meli zake za mafuta. Tuhuma hizi zilizotawala katika vyombo vya habari vya kimataifa,zimetolewa na Howard Berman ambaye ni Seneta nchini marekani huku akiilaumu hatua hiyo kuwa inasaidia Iran kukwepa vikwazo vya kimataifa. Hata hivyo Hamad Masoud (waziri wa mawasiliano na uchukuzi,Zanzibar) amekiri kuwepo kwa usajili wa meli za kigeni ambazo ni za Marta na Citrus na siyo Iran kama inavyodaiwa na usajili umefuata taratibu zilizowekwa kisheria. Iwapo itabainika kwa namna moja ama nyingine kwamba Tanzania inaisaidia Iran basi itahatarisha uhusiano mzuri kati ya Tanzania na Marekani ambapo Tz inanufaika kwa misaada kwani 2011/2012 imepokea bilion 850 tsh.Marekani na baadhi ya nchi za ulaya ziliweka mpango wa kuiwekea vikwazo kiuchumi ili kuipunguzia nguvu ya kuendeleza mpango wa Nuclea, Iran imekuwa inakwepa mitego na kuongeza ugumu wa ufuatiliaji.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom