Tanzania Now Faces Sanctions & Diplomatic Crisis Over Iran

Status
Not open for further replies.
man nilisikia BBC hizo meli zilisajiliwa na serikali ya mapinduzi zanzibar !.... labda swali ungelugueza kwanini itumike bendera ya muungano na si ya zanzibar ..?!

hapo zanzbar inaamsha akili za watanganyika kwamba wao wanamamlaka ni inchi kamili! .... huu muungano unatakiwa uangaliwe kwa jicho la pili una viraka vingi sana na matundu
Usiwazingizie wazanzibar hawana roho za kizandiki namna hiyo. Hii ni JK na udini wake, wale ndugu zetu kule znz hawawezi fanya kitu chochote kimataifa bila kupitia kwenye Muungano ,kumbuka waziri wa mambo ya nje ni mmoja tu TZ , znz haina.Hii ni JK atakuwa amewaambia atawasaidia lakini kwa mgongo wa znz ili mataifa mengine yasijue ujanja wake.
HUU UDINI VIONGOZI WANAOENDEKEZA UTATUMALIZA.
 
Rais wa Tanzania ni mungu mtu, katiba haimlazimishi Rais au Serikali kuomba ushauri wa Bunge kwenye suala la mikata, hiyo haiko kwa Rais tu, madaraka ya kuingiza serikali kwenye mikataba hata Mawaziri wanayo na wamefanya mara nyingi na kuingizia nchi hasara kubwa sana.
Hujiulizi kwa nini Bunge hunywea mbele ya Serikali hata kama Serikali imefanya madudu?
 
Mikataba mingapi ameshaisaini bila idhini ya bunge unashangaa nini hatuna bunge kwa mfumo uliopo
 
Nadhani hili JK litaja mtokea puani!
Its a matter of time tuu!
 
hapo zanzbar inaamsha akili za watanganyika kwamba wao wanamamlaka ni inchi kamili! .... huu muungano unatakiwa uangaliwe kwa jicho la pili una viraka vingi sana na matundu

Waziri wa uchukuzi Zanzibar alishamwambia Mwakyembe kwamba kama mkitaka tubadili hizo meli zipeperushe bendera ya Zanzibar semeni, tutafanya hivyo.

Naamini mara nyingine sarcastic comment inastahili sarcastic response (yale ya Nyerere kumuuliza mwandishi wa habari Kenya ukisikia mtu anasema mie baba yako utaamini?). Mwakyembe na amwambie huyu Waziri wa Zanzibar kwamba sawa, zile Meli zipeperushe bendera ya Zanzibar. Halafu tuone zitafika wapi, maana kimataifa hakuna kitu kinaitwa bendera ya Zanzibar katika masuala ya usajiri wa meli.
 
man nilisikia BBC hizo meli zilisajiliwa na serikali ya mapinduzi zanzibar !.... labda swali ungelugueza kwanini itumike bendera ya muungano na si ya zanzibar ..?!

hapo zanzbar inaamsha akili za watanganyika kwamba wao wanamamlaka ni inchi kamili! .... huu muungano unatakiwa uangaliwe kwa jicho la pili una viraka vingi sana na matundu

Mikataba ya kimataifa iko chini ya mambo ya nje wizara ambayo ni ya muungano.kwa hiyo zanzibar imemzunguka JK
 
Mikataba mingapi ameshaisaini bila idhini ya bunge unashangaa nini hatuna bunge kwa mfumo uliopo

Kaka nakubaliana na wewe-Hili swala linaingia zaidi kwenye intrest za kimataifa. Naushasikia WANYAMWEZI wame tupa warning. Hawa jamaa hawana longonlongo ktk security.
 
Ni kawaida kwa CCM kuendesha mambo kizima moto. Tuwaachia watatuuza hata CCM. 2015 lazima wake pembeni. Tumewachoka.
Swala la JK kuingia mkataba na Iran bila kuwasiliana na bunge ili waweze kutumia bendela ya Tanzania ktk meli zao za mafuta ni la KIBABE, DICTETOR NA UBINAFSI. Hili swala ni la kitaifa, kwa mtazamo wangu-sidhani ni BUSARA mtu mmoja kufanya maamuzi peke yake bila kuwasiliana na wawakilishi wa wananchi (WABUNGE). Ni wazi JK amefanya hili kwa manufaa binafsi anayo yajua yeye.

NYEPESI NYEPESI;

CCM ipo kwenye mitambo ya kupumulia kwa sasa na 2015 kwa mambo ya nyakati KITANUKA. Hivyo basi JK kuogopa CCM kupoteza hatamu (KUFA) mikononi mwake yupo tayari kufanya lolote hata kuuza nchi. Inasemekana IRAN imemuahidi kuisaidia CCM kifedha, hali na mali ili ishinde 2015....Endelea.
 
Usiwazingizie wazanzibar hawana roho za kizandiki namna hiyo. Hii ni JK na udini wake, wale ndugu zetu kule znz hawawezi fanya kitu chochote kimataifa bila kupitia kwenye Muungano ,kumbuka waziri wa mambo ya nje ni mmoja tu TZ , znz haina.Hii ni JK atakuwa amewaambia atawasaidia lakini kwa mgongo wa znz ili mataifa mengine yasijue ujanja wake.
HUU UDINI VIONGOZI WANAOENDEKEZA UTATUMALIZA.

hapo kwenye RED ulisikiliza BBC swahili ...? zanzbar ndio waliohusika! wapeni nchi yao .. kwanini mnawang`ang`ania ..?

hapo kwenye black inamaana kuwa na ushirikiano na iran ni udini!..? dude kama fikra zako ni dhaifu kiasi hiki your life realy must be boring hebu tafuta passport toka nje ya bongo tembea utoe tongotongo uone inchi zenye ubalozi na iran !

nakushauri tafuta ile taarifa ya BBC walizungumzia ili jambo kwa undani..
 
Bunge hili ni aibu, heri angepeleka hoja mbele ya Baraza Kuu la Chama chenye UMMA
 
Waziri wa uchukuzi Zanzibar alishamwambia Mwakyembe kwamba kama mkitaka tubadili hizo meli zipeperushe bendera ya Zanzibar semeni, tutafanya hivyo.

.

hapo ndo patamu! mwakyembe alijibu nini...?!
 
sisi kama wazanzibari Irani ni kama nchi yeyote ile tuna haki ya kuwapokea kama tunavyowapokea USA na ASRAEL! wote ni rafiki zetu USA MALARIA! ISRAEL KILIMO NA IRAN UVUVI NA TECHNOLOGIA! kuna ubaya gani kama muna hofu vunja muungano! tunajiamini na tufanyalo! kwani munajua zaznzibar ilikombolewa na ASP kirefu chake ni AFRO SHIRAZ PART afro mae african shiraz mean people originated fron iran fanyeni utafiti! wamerekani ni watu kama wengine ! waache wazuiye hiyo misaada yao! mahasidi wakubwa! waache wende!
 
umasikini ni utumwa huna uhuru hata wa kutafuta rafiki ambaye ni adui wa anayekufadhiri! Poor serikali ya JK!
 
Waziri wa uchukuzi Zanzibar alishamwambia Mwakyembe kwamba kama mkitaka tubadili hizo meli zipeperushe bendera ya Zanzibar semeni, tutafanya hivyo.

Naamini mara nyingine sarcastic comment inastahili sarcastic response (yale ya Nyerere kumuuliza mwandishi wa habari Kenya ukisikia mtu anasema mie baba yako utaamini?). Mwakyembe na amwambie huyu Waziri wa Zanzibar kwamba sawa, zile Meli zipeperushe bendera ya Zanzibar. Halafu tuone zitafika wapi, maana kimataifa hakuna kitu kinaitwa bendera ya Zanzibar katika masuala ya usajiri wa meli.

Jamani tuvunje huu muungano
 
It's too late for recover. Hapa waanze kutafuta uraia nchi nyingine tu. Waambia CCM walafu bado miaka 2 tu.
 
Swala la JK kuingia mkataba na Iran bila kuwasiliana na bunge ili waweze kutumia bendela ya Tanzania ktk meli zao za mafuta ni la KIBABE, DICTETOR NA UBINAFSI. Hili swala ni la kitaifa, kwa mtazamo wangu-sidhani ni BUSARA mtu mmoja kufanya maamuzi peke yake bila kuwasiliana na wawakilishi wa wananchi (WABUNGE). Ni wazi JK amefanya hili kwa manufaa binafsi anayo yajua yeye.

NYEPESI NYEPESI;

CCM ipo kwenye mitambo ya kupumulia kwa sasa na 2015 kwa mambo ya nyakati KITANUKA. Hivyo basi JK kuogopa CCM kupoteza hatamu (KUFA) mikononi mwake yupo tayari kufanya lolote hata kuuza nchi. Inasemekana IRAN imemuahidi kuisaidia CCM kifedha, hali na mali ili ishinde 2015....Endelea.

Ya aina hiyo ya Iran imeshafanyika mingi tu hata hao wahusika wameshagundua wakipita katika njia sahihi za maamuzi yaan ikiwemo wataalam wanagonga mwamba walichoamua kwasasa ni kwenda direct kwa mkuu ambaye kusema hapa ni ngumu then wataalam wanashushiwa mkataba kwa utekelezaji tu.huo mkataba utafuatia na ziara ya mkuu wa kaya kwenda Iran.
 
Kaka nakubaliana na wewe-Hili swala linaingia zaidi kwenye intrest za kimataifa. Naushasikia WANYAMWEZI wame tupa warning. Hawa jamaa hawana longonlongo ktk security.

Natamani siku moja wapige tukombora angalau tuwili pale magogoni to bring point home!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom