Tanzania ni ya pili kwa ushirikina baada ya cameroon

Kama Kigoma haipo taarifa hii naikataa!

Mikoa inayoongoza hapa Tz kwa Ushirikina (ulozi) ni Rukwa (sumbawanga), Kigoma (kasulu, kazuramimba, kakonko, ujiji, benako), Tanga (Handeni-kwamsisi, lushoto, Muheza, kilindi, Tanga mjini), Pwani (Bagamoyo , Rufiji,kisiju, Kibiti,Bungu, Mkuranga, Nyamisati). Kanda ya ziwa (Shinyanga,Mwanza, geita) Kanda ya kati Singida.Njombe(Kwa wakinga na wapangwa).

Kwanza Tanzania na Kongo (DRC) ,Kongo inaongoza, alafu uniambie eti Tanzania ni ya pili kuliko hata Nigeria?!

Hi ripoti ni ya kujifurahisha tu!

Tuwe serious basi!
Hata mm sijamuelewa mleta hoja imekuaje kacha kigoma
 
Kama kwenye list zenu Simiyu haipo nyie hizo data ni cooked au za mchongo.

Kumbukeni makao makuu ya Uchawi ni Gambosi na yapo Simiyu.

Kumbukeni wilaya ndogo ya Itilima Ina Waganga 7,000 walio sajiriwa na Serikari, Sasa jiulize WACHAWI wangapi?

N.B Kisiju hakuna Uchawi Ile ni michezo tu
Mkuu mm nimemsikiliza mtafiti tu Kisha nikaashare humu

Shinyanga na simiyu Ni ile ile tu
 
Nimepokea ripoti kutoka kwa naibu mkurugenzi mkuu wa radio safina fm mam Hellen lema kuwa Tanzania Ni nchi ya pili kwa ushirikina duniani baada ya Cameroon kuongoza kwa kushika nambari moja dunia Kisha Tanzania ikafata kwa ushirikina .

Aliendelea kwa kusema kuwa mikoa inayo ongoza kwa ushirikina na vitendo vya uchawi Ni Kama ifuatavyo
1. Shinyanga
2. Rukwa
3.Mtwara
4.Tabora
5.Tanga
6.katavi
7.songwe
8.Mbeya
9.dodoma
10 .mwanza

Awali mm binafsi nilikuwa naamini kuwa Nigeria ndio kinara wa uchawi na ushirikina ikifatwa na Kongo . Cameroon ,Ghana ,Lkn ajabu Cameron ndio kinara na Tanzania tunashika nafsi ya pili kwa ushirikina duniani ..je Kuna ukweli kwamba hili taifa vitendo vya ulozi Ni vingi Kia's hiki ?

Kama mkoaa wako haujatajwa hapa hongera San na Kama mkoa wako umetajwa kwa tafiti hizi pole sna na pamban na maombi sna .

Namuomba mlozi mwandamiz mstaafu bwana Mshana Jr kudhibitisha hoja hii Kam Ni kweli ...
Ya kwanza boss
 
Suluhisho la tatizo hili ni kipiga marufuku waganga wa jadi au kuwaangamiza kwa sumu au risasi, maana hao ni mawakala wa shetani.
 
Sijawahi kuona mchaga mjinga kama wewe.
Wachaga hawanaga udini wa kijinga kama huu wako.
Nahisi umezaliwa nje ya ndoa na baba yako atakuwa na asili ya mbeya.

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
kweli kabisa kwa jina lake Mmachame dada zake ndio washirikina mno kuloga waume zao au atakuwa anatoka Kirua Vunjo kwa wachaga washirikina kuliko wote na walio nyuma kimaendeleo kuliko wachaga wote.
 
Kigoma

Juzi tu watoto wakigoma walidhulumiwa na dogo mwenzao waliokuwa wanafanya kazi wote, wakamuomba awarudoshie mzigo wao dogo akagoma, wakashirikisha marafiki zake na Mimi nikiwepo, nikaenda kuongea na dogo akakataa na tukabishana nusu tugombane Coz dogo namjuaga mkorofi na nilikuwa na uhakika pesa alichukua kweli

Wakahaidi watamfanya kitu kibaya, na mikwara mingi sana full kuchukua unyayo wake yaani mchanga wa unyayo

Ulienda mwezi tu dogo akapagawa akili aisee sio mchezo si unajua na akili ikipagawa tena kukaa sawa sio rahisi itatulia tu kwa mda then unakuwa chizi smart

Jamaa tupo naye ule mzigo ndugu zake walilipa na jamaa wakategua tego

Sasa hivi ni chizi smart anafanya kazi zake lakini hayupo sawa

Kigoma ni nyoko kabsa et mwenye uzi ajawahorodhesha wa kigoma duuh
 
Nimepokea ripoti kutoka kwa naibu mkurugenzi mkuu wa radio safina fm mam Hellen lema kuwa Tanzania Ni nchi ya pili kwa ushirikina duniani baada ya Cameroon kuongoza kwa kushika nambari moja dunia Kisha Tanzania ikafata kwa ushirikina .

Aliendelea kwa kusema kuwa mikoa inayo ongoza kwa ushirikina na vitendo vya uchawi Ni Kama ifuatavyo
1. Shinyanga
2. Rukwa
3.Mtwara
4.Tabora
5.Tanga
6.katavi
7.songwe
8.Mbeya
9.dodoma
10 .mwanza

Awali mm binafsi nilikuwa naamini kuwa Nigeria ndio kinara wa uchawi na ushirikina ikifatwa na Kongo . Cameroon ,Ghana ,Lkn ajabu Cameron ndio kinara na Tanzania tunashika nafsi ya pili kwa ushirikina duniani ..je Kuna ukweli kwamba hili taifa vitendo vya ulozi Ni vingi Kia's hiki ?

Kama mkoaa wako haujatajwa hapa hongera San na Kama mkoa wako umetajwa kwa tafiti hizi pole sna na pamban na maombi sna .

Namuomba mlozi mwandamiz mstaafu bwana Mshana Jr kudhibitisha hoja hii Kam Ni kweli ...
Huwajui wa Nigeria wewe.
 
Back
Top Bottom