Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Status
Not open for further replies.
Nimekuwekea mzungu aliyefanya utafiti akiwa huru, sasa kama hata huyu unampinga tutkusaidieje?
Tanzania beberu hatuwamini....niwaongo, wanafuata utajiri wetu, hawatupendi, chanjo zao ni Hatari na barakoa zao zimebeba virusi 🦠 . Ziwesi msikiza mie. Pili Tanzania hamna rona ni changamoto ya nimonia ya kawaida tu maombi yetu ya siku tatu kwa mpigo inatosha😳!
 
Tanzania beberu hatuwamini....niwaongo, wanafuata utajiri wetu, hawatupendi, chanjo zao ni Hatari na barakoa zao zimebeba virusi . Ziwesi msikiza mie. Pili Tanzania hamna rona ni changamoto ya nimonia ya kawaida tu maombi yetu ya siku tatu kwa mpigo inatosha!
Ninyi watumwa ndio mnaoamini mabeberu ndio sababu nimekuwekea, ninyi mnaamini wazungu zaidi ya Mungu
 
Mtanzania leo kaleta utafiti kutoka kw beberu km source
 
Ninyi watumwa ndio mnaoamini mabeberu ndio sababu nimekuwekea, ninyi mnaamini wazungu zaidi ya Mungu
Tupo imara tanzania. changamoto ya kupumua iwepo isiwepo tupo ngangari! Rona tu ndio hatuna :p :p :):):):)😂😂😂!!

1614021597153.png

Ati mabeberu sie tanzania hatuwafahamu! mnyama gani huyu?

Aneth Stanley

@AnethStanley

Huyu anakuwa na akili akiwa abroad tu, akifika Tanzania tu, anavua Barakoa. Halafu anatukana mabeberu, mtaona nyie tulieni, na ndo mtajua kuwa NJAA HUPOFUSHA FIKRA/AKILI.
Translate Tweet

Image

BARAKOA ni Ufaransa, TUKIFIKA DAR ni waste bin ya kwanza tupaaaa kinyamwezi!!!
 
Tupo imara tanzania. changamoto ya kupumua iwepo isiwepo tupo ngangari! Rona tu ndio hatuna :):):):)!!

View attachment 1709411
Ati mabeberu sie tanzania hatuwafahamu! mnyama gani huyu?

Aneth Stanley

@AnethStanley

Huyu anakuwa na akili akiwa abroad tu, akifika Tanzania tu, anavua Barakoa. Halafu anatukana mabeberu, mtaona nyie tulieni, na ndo mtajua kuwa NJAA HUPOFUSHA FIKRA/AKILI.
Translate Tweet

Image

BARAKOA ni Ufaransa, TUKIFIKA DAR ni waste bin ya kwanza tupaaaa kinyamwezi!!!
Kumbe kw mabeberu kavaa wakati katika mkutano flani sijui wa SADC alikataa
 
Vp leo mmepima wangapii? Wangapi wamepata? Wangapi wamekufa?
Duh.....Ila sisi tanzania hatuna corona, kubanwa mapavu kiasi tu.....
Robert Alai, HSC
@RobertAlai

Tanzania authorities actually picked a COVID-19 patient and put him in a press conference to prove what point? See the two unprotected medics. Vodoo science is at its peak in TZ.
 
Ndio sababu Black Americans wameichagua Tanzania kuwa ndio nchi bora kwa wao kurudi Africa, tunajitawala kimawazo na fikra, hatuendeshwi na wazungu kama ninyi.
Tanzania sisi ni koloni la waarabu, ila waziri wetu kapotea njia ufaransa na bakuli letu la omba omba....
Aneth Stanley

@AnethStanley

Huyu anakuwa na akili akiwa abroad tu, akifika Tanzania tu, anavua Barakoa. Halafu anatukana mabeberu, mtaona nyie tulieni, na ndo mtajua kuwa NJAA HUPOFUSHA FIKRA/AKILI.
Translate Tweet

Image
 
Duh.....Ila sisi tanzania hatuna corona, kubanwa mapavu kiasi tu.....
Robert Alai, HSC
@RobertAlai

Tanzania authorities actually picked a COVID-19 patient and put him in a press conference to prove what point? See the two unprotected medics. Vodoo science is at its peak in TZ.

Sisi hatujashikiwa akili kama nyie ambao mzungu akisema basi ni kama sheria. Sisi wataalam wetu wanajua kwamba changamoto ya kupumua haisababishi na uviko-19 pekee. Kuna magonjwa mengi sana yanayosababisha changamoto za upumuaji, na ndiyo maana ventilator hazijaanza kipindi cha uviko-19. zilianza muda mrefu. Ukitaka kujua magonjwa nitafute kwa muda wako.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom