Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Status
Not open for further replies.
Mbona hushangai nzige kuvamia nchi za EA kasoro Tanzania!

Mbona hushangai nchi za EA kuwa na ukabila kasoro Tanzania!
Mkuu, nzige wapo. Ulikataa Corona, ukaumbuka. Hao nzige sasa!
 
Kwa nini hamtangazi kama mashindano siku hizi?
Wewe nawe lipi huelewi? Data mbona ipo tu ukitaka? Ama hadi upikiwe na ulishwe?
Eu6Z1BzXMAIqoEg.jpeg

Meza basi. Kwa vile hutaki kuchoka.
 
Mara ya mwisho kusikia habari ya nzige Kenya ilikuwa mwaka jana..Sasa linajulikana na iko wazi ati nzige zimepiga kambi huko Tanzania..
 
Wee hizi data unafikiri mtu wa pokot au kibera ataziona hizi. Tunataka kuona yule aliyekuwa anasimama mbele ya makamera.
Ikiwa huzitaki kutoka kwenye tovuti, redio na runinga pia data unapata.
Fungulia chaneli ya Kenya leo saa moja jioni. As I told you earlier, every Kenyan has a right to information!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom