BlietzKrieg
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 2,828
- 2,196
Si huwa tunaambiwa tz watu Ni warembo!
Mbona Hawa Ni kienyeji kama sokwe...
Si huwa tunaambiwa tz watu Ni warembo!
Per each REPORTED death. That's the word you are trying to run away fromPer each one Tanzanian death, there are twenty Kenyans deaths
Tanzania beberu hatuwamini....niwaongo, wanafuata utajiri wetu, hawatupendi, chanjo zao ni Hatari na barakoa zao zimebeba virusi 🦠 . Ziwesi msikiza mie. Pili Tanzania hamna rona ni changamoto ya nimonia ya kawaida tu maombi yetu ya siku tatu kwa mpigo inatosha😳!Nimekuwekea mzungu aliyefanya utafiti akiwa huru, sasa kama hata huyu unampinga tutkusaidieje?
Ninyi watumwa ndio mnaoamini mabeberu ndio sababu nimekuwekea, ninyi mnaamini wazungu zaidi ya MunguTanzania beberu hatuwamini....niwaongo, wanafuata utajiri wetu, hawatupendi, chanjo zao ni Hatari na barakoa zao zimebeba virusi . Ziwesi msikiza mie. Pili Tanzania hamna rona ni changamoto ya nimonia ya kawaida tu maombi yetu ya siku tatu kwa mpigo inatosha!
Mtanzania leo kaleta utafiti kutoka kw beberu km sourceTanzania beberu hatuwamini....niwaongo, wanafuata utajiri wetu, hawatupendi, chanjo zao ni Hatari na barakoa zao zimebeba virusi . Ziwesi msikiza mie. Pili Tanzania hamna rona ni changamoto ya nimonia ya kawaida tu maombi yetu ya siku tatu kwa mpigo inatosha!
Tupo imara tanzania. changamoto ya kupumua iwepo isiwepo tupo ngangari! Rona tu ndio hatuna 😂😂😂!!Ninyi watumwa ndio mnaoamini mabeberu ndio sababu nimekuwekea, ninyi mnaamini wazungu zaidi ya Mungu
Ndio sababu Black Americans wameichagua Tanzania kuwa ndio nchi bora kwa wao kurudi Africa, tunajitawala kimawazo na fikra, hatuendeshwi na wazungu kama ninyi.
Emu rudia tena huo upupu..Ndio sababu Black Americans wameichagua Tanzania kuwa ndio nchi bora kwa wao kurudi Africa, tunajitawala kimawazo na fikra, hatuendeshwi na wazungu kama ninyi.
Kumbe kw mabeberu kavaa wakati katika mkutano flani sijui wa SADC alikataaTupo imara tanzania. changamoto ya kupumua iwepo isiwepo tupo ngangari! Rona tu ndio hatuna !!
View attachment 1709411
Ati mabeberu sie tanzania hatuwafahamu! mnyama gani huyu?
Aneth Stanley
@AnethStanley
Huyu anakuwa na akili akiwa abroad tu, akifika Tanzania tu, anavua Barakoa. Halafu anatukana mabeberu, mtaona nyie tulieni, na ndo mtajua kuwa NJAA HUPOFUSHA FIKRA/AKILI.
Translate Tweet
BARAKOA ni Ufaransa, TUKIFIKA DAR ni waste bin ya kwanza tupaaaa kinyamwezi!!!
Kumbe kw mabeberu kavaa wakati katika mkutano flani sijui wa SADC alikataa
Duh.....Ila sisi tanzania hatuna corona, kubanwa mapavu kiasi tu.....Vp leo mmepima wangapii? Wangapi wamepata? Wangapi wamekufa?
Tanzania sisi ni koloni la waarabu, ila waziri wetu kapotea njia ufaransa na bakuli letu la omba omba....Ndio sababu Black Americans wameichagua Tanzania kuwa ndio nchi bora kwa wao kurudi Africa, tunajitawala kimawazo na fikra, hatuendeshwi na wazungu kama ninyi.
Duh.....Ila sisi tanzania hatuna corona, kubanwa mapavu kiasi tu.....
Robert Alai, HSC
@RobertAlai
Tanzania authorities actually picked a COVID-19 patient and put him in a press conference to prove what point? See the two unprotected medics. Vodoo science is at its peak in TZ.
Turkish citizens infected with COVID-19 airlifted from Tanzania
Turkey's Health Ministry brought three Turkish citizens who were infected with the coronavirus in Tanzania to the country for treatment. The citizens,...www.dailysabah.com
Go to MOH website utapata details on what you are asking for.....btw kwanini watu wanakuwa airlifted out of Tanzania mbona hamna capacity kutibu Corona .?Tell us, how many contracted the viruses in kenya?
Kumbe mnawaogopa mabeberu sanaVp leo mmepima wangapii? Wangapi wamepata? Wangapi wamekufa?
Kumbe mnawaogopa mabeberu sana
Go to MOH website utapata details on what you are asking for.....btw kwanini watu wanakuwa airlifted out of Tanzania mbona hamna capacity kutibu Corona .?