waltham
JF-Expert Member
- Jan 23, 2014
- 2,522
- 1,045
😂 😂 😂 😂 msijali wadau. akili zetu hapa tz tumepekua tukamkabidhi store keeper!! tatizo la kupumua ni corona lakini hatuwezi tukatamka mpaka mfalme wetu akubali kwanza!!Sisi hatujashikiwa akili kama nyie ambao mzungu akisema basi ni kama sheria. Sisi wataalam wetu wanajua kwamba changamoto ya kupumua haisababishi na uviko-19 pekee. Kuna magonjwa mengi sana yanayosababisha changamoto za upumuaji, na ndiyo maana ventilator hazijaanza kipindi cha uviko-19. zilianza muda mrefu. Ukitaka kujua magonjwa nitafute kwa muda wako.