Maelfu ya mbu waliobadilishwa vinasaba (GMO) wameachiliwa nchini Djibouti katika kukomesha kuenea kwa spishi vamizi malaria

Mathanzua

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
16,269
21,341
CHANZO NI BBC SWAHILI

Mbu dume wasiouma aina ya Anopheles stephensi mbu waliotengenezwa na Oxitec, kampuni ya teknolojia ya kibayoteknolojia yenye makao yake makuu nchini Uingereza, hubeba jeni inayoua watoto wa kike kabla ya kukomaa.

Mbu jike pekee ndio wanaouma na kusambaza malaria na magonjwa mengine ya virusi.

Ni mara ya kwanza kwa mbu wa aina hiyo kutolewa Afrika Mashariki na mara ya pili barani humo.

Teknolojia kama hiyo imetumika kwa mafanikio nchini Brazil, Visiwa vya Cayman, Panama, na India, kulingana na Vituo vya Marekani vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC).

Zaidi ya mbu kama hao bilioni moja wameachiliwa kote ulimwenguni tangu 2019, CDC inasema.

Kundi la kwanza la mbu hao waliachiliwa hewani siku ya Alhamisi huko Ambouli, kitongoji cha jiji la Djibouti.

Ni hatua ya majaribio katika ushirikiano kati ya Oxitec Ltd, serikali ya Djibouti na shirika lisilo la kiserikali la Mutualis.

“Tumetengeneza mbu wazuri wasiouma, wasioambukiza magonjwa. Na tunapowaachilia mbu hawa rafiki, wao hutafuta na kujamiiana na mbu wa kike mbaya,” mkuu wa Oxitec Gray Frandsen aliambia BBC.

Mbu hao wanaozalishwa katika maabara hubeba jeni ya "kujizuia" ambayo huzuia watoto wa mbu wa kike kuishi hadi utu uzima wanapooana.

Ni watoto wao wa kiume pekee wanaosalia lakini hatimaye wangekufa, kulingana na wanasayansi wa mradi huo.

Tofauti na mbu dume aina ya Anopheles colluzzi waliotolewa nchini Burkina Faso mwaka wa 2018, mbu hao rafiki wa stephensi bado wanaweza kupata watoto.

Kuachiliwa kwa mbu hao ni sehemu ya Mpango Rafiki wa Mbu wa Djibouti ambao ulianzishwa miaka miwili iliyopita ili kukomesha kuenea kwa Anopheles stephensi, aina vamizi ya mbu waliogunduliwa kwa mara ya kwanza nchini humo mwaka 2012.

Wakati huo nchi ilikuwa kwenye hatihati ya kutokomeza malaria, wakati ilirekodi karibu visa 30 vya malaria. Tangu wakati huo, kesi za malaria zimeongezeka kwa kasi nchini hadi 73,000 kufikia 2020.

Spishi hiyo sasa ipo katika nchi nyingine sita za Afrika - Ethiopia, Somalia, Kenya, Sudan, Nigeria na Ghana.

MY TAKE:
Naomba niseme yafuatayo bila kupepesa macho na bila kumuogopa yoyote,kwa kuwa huu ni uovu wa kupindukia.
1.Hakuna aliyethibitisha kwamba yaliyo ripotiwa kwenye matokeo ya awali ya utafiti wa mradi huo ni kweli.Hata hivyo kutokana na taarifa za ndani za Oxitec,na tabia ya Oxitec,tunajua matokeo hayo yamepikwa na zipo ajenda ya siri ya mauaji ya halaiki.
2.Viongozi waliokubali kuachiwa kwa mbu hawa ni waovu kupindukia.
3.Viongozi waliokubali kuachiwa mbu hawa wamehongwa pesa nyingi.
4.After all they have always intended to exterminate Africans,and this is another chance come true.
4.Viongozi waliokubali kuachiwa kwa mbu hawa au kwa kujua au kutokujua wanashiriki kwenye mpango mwovu kabisa wa kuwau binadamu kwa wingi kwa njia zifuatazo:-
i)Kuzalisha aina ya Mbu ambao watasambaza Malaria isiyo na tiba.
ii)Kuzalisha aina ya Mbu ambao watasambaza Dengue isiyo na tiba.
3.Mbu hawa watatumiwa kama sindano zinazotembea wakisambaza sumu, magonjwa na chanjo za aina mbali mbali zilizolengwa na Globalists kwa bibadamu ikiwa pamoja na chanjo ya Corona bila ridhaa ya mtu.Sindano hizo zinazo-fly kiufupi zitakuwa janga la Dunia na binadamu.

Nimalizie kwa kusema hivi,Shetani ameamua "total onslaught" on humanity.Kwa hiyo nitoe rai kwamba sasa msaada wetu kama binadamu unatoka kwa Mungu tu.Kwa hiyo kila mmoja wetu kama binadamu, amgeukie Mungu na kumlilia kwa msaada.
 
Wewe jamaa unapenda conspiracy theories sana,
Hiyo infirio complex uliyonayo utakuja kufa kihoro,
Sasa hapo cha kuogopa ni kipi?
Au wewe ni agent wa Ibilisi kutia watu hofu ili adui ashambulie vizuri mioyo yao?

You believe in God but still fear Satan?

GTFOH!
😁😁
Kichwa chako kimejaa makamasi mkuu,so you find releasing GMO mosquitoes into the environment normal.Wewe either ni kihiyo or part of the problem.Poyoyoyo wewe kwa kweli.Sio normal kwa kuwa hujui how they will react in the natural environment.Then nime eleza wazi kwamba Oxitec and the Globalists cannot be trusted for anything.Anyway niachane na wewe kwa kuwa it seems ni kilaza.

Finally nikukumbushe kwamba warning people of dangers ahead is one of the most moral things to do.Jesus Christ did the same.It is only Satan who hides things so that he may catch people by surprise so that they do not have time to prepare and kill them.God does not do that he alerts people,and that is exactly what I have done.
 
This is pure nonsense and stupidity👉Mtoa hoja unzingua.
Mbona unatumia.

Kwa hiyo kwa kuwa tunatumia tekinolojia zao,tukukubali watuue!!!!????Usingekuwa mjinga zaidi mkuu.Labda ungesoma MY TAKE vizuri uone implications za hiyo technology.Usiwaamini tu kama "zombie," that is very wrong.
Hakuna kitu kikakosa negative effect mkuu, wewe umefanya utafiti gani kuona hizo nadharia zako zipo sahihi!

Kwa mantiki hiyo unataka watu wasifanye uvumbuzi sababu ya shetani! Wewe unayeonekana unamjua Mungu umeisaidia vipi jamii yako?

Au kazi ya kukesha unakemea mapepo jamii tumefaidika na nini?
Nyie wafia dini mnamatatizo sana nadhani pengine huyo Mungu mnayemuabudu hammjui na hamna Imani naye
 
Hii kitu ni vile kuna watu hawajui mfumo unavyoendesha dunia, baadhi tunadhani tunavyoishi ndivyo hivi hivi na hawa viongozi wetu wa CCM.

Nakumbuka wkt fulani pale Dar Es Salaam eneo la jangwani kuliwahi kuwepo na project kama hii na sijui ilifua wapi?.

Wadadisi wa deep issues huwa wanaelewa sana kifuatacho ila wakina conspiracy huwa wapo gizani.

Issue ya corona hapa watu walimpinga bwana yule but leo wanashindwa kusema ila ukweli upo wazi.
 
CHANZO NI BBC SWAHILI

Mbu dume wasiouma aina ya Anopheles stephensi mbu waliotengenezwa na Oxitec, kampuni ya teknolojia ya kibayoteknolojia yenye makao yake makuu nchini Uingereza, hubeba jeni inayoua watoto wa kike kabla ya kukomaa.

Mbu jike pekee ndio wanaouma na kusambaza malaria na magonjwa mengine ya virusi.

Ni mara ya kwanza kwa mbu wa aina hiyo kutolewa Afrika Mashariki na mara ya pili barani humo.

Teknolojia kama hiyo imetumika kwa mafanikio nchini Brazil, Visiwa vya Cayman, Panama, na India, kulingana na Vituo vya Marekani vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC).

Zaidi ya mbu kama hao bilioni moja wameachiliwa kote ulimwenguni tangu 2019, CDC inasema.

Kundi la kwanza la mbu hao waliachiliwa hewani siku ya Alhamisi huko Ambouli, kitongoji cha jiji la Djibouti.

Ni hatua ya majaribio katika ushirikiano kati ya Oxitec Ltd, serikali ya Djibouti na shirika lisilo la kiserikali la Mutualis.

“Tumetengeneza mbu wazuri wasiouma, wasioambukiza magonjwa. Na tunapowaachilia mbu hawa rafiki, wao hutafuta na kujamiiana na mbu wa kike mbaya,” mkuu wa Oxitec Gray Frandsen aliambia BBC.

Mbu hao wanaozalishwa katika maabara hubeba jeni ya "kujizuia" ambayo huzuia watoto wa mbu wa kike kuishi hadi utu uzima wanapooana.

Ni watoto wao wa kiume pekee wanaosalia lakini hatimaye wangekufa, kulingana na wanasayansi wa mradi huo.

Tofauti na mbu dume aina ya Anopheles colluzzi waliotolewa nchini Burkina Faso mwaka wa 2018, mbu hao rafiki wa stephensi bado wanaweza kupata watoto.

Kuachiliwa kwa mbu hao ni sehemu ya Mpango Rafiki wa Mbu wa Djibouti ambao ulianzishwa miaka miwili iliyopita ili kukomesha kuenea kwa Anopheles stephensi, aina vamizi ya mbu waliogunduliwa kwa mara ya kwanza nchini humo mwaka 2012.

Wakati huo nchi ilikuwa kwenye hatihati ya kutokomeza malaria, wakati ilirekodi karibu visa 30 vya malaria. Tangu wakati huo, kesi za malaria zimeongezeka kwa kasi nchini hadi 73,000 kufikia 2020.

Spishi hiyo sasa ipo katika nchi nyingine sita za Afrika - Ethiopia, Somalia, Kenya, Sudan, Nigeria na Ghana.

MY TAKE:
Naomba niseme yafuatayo bila kupepesa macho na bila kumuogopa yoyote,kwa kuwa huu ni uovu wa kupindukia.
1.Hakuna aliyethibitisha kwamba yaliyo ripotiwa kwenye matokeo ya awali ya utafiti wa mradi huo ni kweli.Hata hivyo kutokana na taarifa za ndani za Oxitec,na tabia ya Oxitec,tunajua matokeo hayo yamepikwa na zipo ajenda ya siri ya mauaji ya halaiki.
2.Viongozi waliokubali kuachiwa kwa mbu hawa ni waovu kupindukia.
3.Viongozi waliokubali kuachiwa mbu hawa wamehongwa pesa nyingi.
4.After all they have always intended to exterminate Africans,and this is another chance come true.
4.Viongozi waliokubali kuachiwa kwa mbu hawa au kwa kujua au kutokujua wanashiriki kwenye mpango mwovu kabisa wa kuwau binadamu kwa wingi kwa njia zifuatazo:-
i)Kuzalisha aina ya Mbu ambao watasambaza Malaria isiyo na tiba.
ii)Kuzalisha aina ya Mbu ambao watasambaza Dengue isiyo na tiba.
3.Mbu hawa watatumiwa kama sindano zinazotembea wakisambaza sumu, magonjwa na chanjo za aina mbali mbali zilizolengwa na Globalists kwa bibadamu ikiwa pamoja na chanjo ya Corona bila ridhaa ya mtu.Sindano hizo zinazo-fly kiufupi zitakuwa janga la Dunia na binadamu.

Nimalizie kwa kusema hivi,Shetani ameamua "total onslaught" on humanity.Kwa hiyo nitoe rai kwamba sasa msaada wetu kama binadamu unatoka kwa Mungu tu.Kwa hiyo kila mmoja wetu kama binadamu, amgeukie Mungu na kumlilia kwa msaada.
Umeongea kitoto sana...Toa takwimu madhara halisi ya hao Mmbu na sio kuhisi tu...apo ulipo unatumia simu za wazungu, dawa za wazungu na vitu kibao kutoka kwao...Next time uje Na Data za kutosha
 
Back
Top Bottom