YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,908
- 51,907
mleta mada acha uongo Tanzania sasa hivi ina mainjinia wa migodi kibao kuanzia open pit na underground pit
Wao wakianza kuchimba ni kutangaza vijana kibao wanaingia kazini
Kuhusu kuchimba afadhali wamekuja kuchimba.Teknolojia inabadilika haraka sana tukisubiri ikabadilika tutakuja jikuta tumebaki ardhini na takataka.Ndio maana nashauri serikali ichimbe haraka chuma na makaa ya mawe pia visije vikatutudodea kwa mabadiliko ya teknolojia tukajikuta tulichonacho ni useless na hopelss