Tanzania Maajabu Hayaishi

Tanzania Maajabu Hayaishi

Kama mtu hujawahi kupanda ndege ukotoka Tz hapa piga kimya tuu,komaa na bodaboda...ivi izongazi zinashida gani? greti sinkaz!!
 
hii ni ile ndege yet Boeng 737- zilikuwa mbili ambazo Makaburu waliziharibu! Ile ya pili ni Serengeti. Angalia hio rangi ilivyokuwa nzuri.
Ni kweli kulikuwa na ndege hizi mbili Tanzania, je nini kilitokea mpaka ikawa hivyo
 
Kwa hiyo ndege ya Tanzania inatakiwa ibebe ngazi za kushukia kwa kila destination? Yaani kama Air Tanzania inatua Kenya, basi ngazi za kushukia zinatakiwa zitoke wapi na ziwe zimeandikwaje? Aliyesema malofa alikosea?
Hakuna ndege ya Airtanzania inayoenda kenya
 
Hiyo picha ni ya miaka ya 80 wakati Air Tanzania na Kenya Airways zinatumia nembo za zamani.
Pili ndege inapotua uwanja wowote ngazi inayoandaliwa kwa kushukia abiria huwa ni ile inayoendana na ukubwa wa ndege ingawa zipo zinazoweza kurefuka. Suala la ngazi ina nembo gani wala halina uhusiano wowote na ndege inayohitaji kuitumia hiyo ngazi.
Kwa hiyo kwa majibu wa hiyo picha inawezekana ilikuwa Nairobi ambapo karibu ngazi zote ni za Kenya Airways, no big deal at all.
Tusikuze mambo bila ulazima wala utafiti.
Uko na uhakika?
 
Jamani mwenye ufahamu kuhusu hii ndege ambayo ni boeing 737-200 iliyokuwa ikitumiwa na airtanzania kipindi hicho... kwa sasa iko wapi?
 
Mmmmmmh....!! Haya maajabu yanayofanywa na Air Tanzania yanatia kichefu chefu!

Mkuu, samahani sana, lakini ukweli ni kwamba jambo la ajabu hapa ni kwamba wewe huna uzoefu na kusafiri kwa ndege. Katika hii picha ya zamani uliyoweka, hapo ni ATC ilikuwa Uwanja wa Kenyatta Nairobi ambapo ngazi zilizokuwa zikitumika ni za Kenya Airways, kama ambavyo hapa Dar Air Tanzania wanaweza kutumia ngazi imeandikwa Swissport.
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Malofa ya chadema bhana kwanza hiyo picha ya zamani halafu hakuna cha ajabu hapo
Kwa hiyo ulitaka wabebe ngazi kila sehemu?
Najua kilicho kuchanganya ni nembo...
1473091295010.jpg
 
Kwa hiyo ndege ya Tanzania inatakiwa ibebe ngazi za kushukia kwa kila destination? Yaani kama Air Tanzania inatua Kenya, basi ngazi za kushukia zinatakiwa zitoke wapi na ziwe zimeandikwaje? Aliyesema malofa alikosea?
Mbona hiyo ndege ipo bongo tu
 
Kwa hiyo ndege ya Tanzania inatakiwa ibebe ngazi za kushukia kwa kila destination? Yaani kama Air Tanzania inatua Kenya, basi ngazi za kushukia zinatakiwa zitoke wapi na ziwe zimeandikwaje? Aliyesema malofa alikosea?
Kwani ndege hiz zimeshaanza safari nje ya nchi
 
Back
Top Bottom