Tanzania Maajabu Hayaishi

Tanzania Maajabu Hayaishi

Mbn kila kitu mnashangaa n kip is kupost,n mambo mazur muwe mnapost
 
Mmmmmmh....!! Haya maajabu yanayofanywa na Air Tanzania yanatia kichefu chefu!
Mkuu unaonekana kama kichwani haunazo... Picha hii ni ya kitambo Hizo Ndege hazipo tena kwenye huduma Boeing za ATC kitambo sana na hapo inaonesha ni uwanja wa ugenini Hata watu waliovaa nguo naona mabwanga so ni Picha ya Miaka ya 80's au 90's sio za sasa acha kuponda vyako vya nyumbani... Mkeo msifie kwa jamii mkemee chumbani kwenu
 
Maandalizi ya viwanda maana vitakuja na ndege
Mmmmmmh....!! Haya maajabu yanayofanywa na Air Tanzania yanatia kichefu chefu!
 
Mmmmmmh....!! Haya maajabu yanayofanywa na Air Tanzania yanatia kichefu chefu!

Na wewe umekuwa kama mange kimambi sasa,kila bandiko unatupiamo tu😀
Hebu tuambie hiyo picha imepigwa lini na hapo palikuwa ni kiwanja gani kabla hatujaendelea.
 
Back
Top Bottom