Tanzania Maajabu Hayaishi

Tanzania Maajabu Hayaishi

Mbona hii ni picha ya zamani hata kabla mkaburu hajinunua?
 
Mmmmmmh....!! Haya maajabu yanayofanywa na Air Tanzania yanatia kichefu chefu!
Tatizo elimu....hii ni ndege ya zamani ya tanzania hapo uwanja wa jomo kenyata...kenya......tumia akili dogo....jivunie nchi yako hata kama mnatumbuliwa majipu
 
Hiyo picha ujaielewa.... Hapo hiyo ni ndege ya Air Tanzania imetua uwanja wa ndege wa jomo Kenyatta na ngazi/stair ya Kenya airways ndio itakayotumika kushushia abiria sasa ulitaka ya jk. Nyerere ipelekwe jomo Kenyatta
NAWALETEA PICHA OBAMA ALIVYOKUJA ALITUMIA NGAZI YA UBT
 
Mi nilijua maajabu labda hapo ni kutoka kwenye kumiliki marcopolo bus mpaka kuja kuanza na coaster labda. Ambayo nayo si mbaya tunapoanzia kuliko kushindwa kabisa
 
Aisee sisi wabongo noma wazee wa kukosoa bila kujua tunakosoa nini.
 
Hivi tuna ndege yenye uwezo wa kufika Kenya..??
I think unasababu zako za kuposit hio picha.
1. Hio picha na hio ndege unafahamu ni vya mwaka gani?

2. Je na huo uwanja wa ndege una fahamu ni wapi (nchi gani)?

3. Je ni kweli na unataka kuthibitisha kila shirika la ndege, say KLM, Emirates, KQ, etc zina ngazi kila nchi zinapotua?

4. Unahitaji kujifunza sana
 
Sasa hapo shida ni nini?kweni unadhani hako kagari kako TZ?hapo ilitua Kenya

Anafikiri hiyo ni ile ndege mpya imetua kutoka Canada!!!!. Hapo ni Jomo Kenyatta International Airport, Nairobi na hiyo ni moja ya Boeing 737 ya Air Tanzania ya Mwl Nyerere.
 
Nimeelewa ngazi ya Kenya ndege ya bongo inamaana wanayo pesa ya kununua ndege lakini ya ngazi wameishiwa?
Kweli wewe ni mazabe.

Hio picha unafahamu ni lini? Je hio ndege ipo uwanja gani?
 
Cjaona maajabu km ndege ipo kenya ......au ulitaka iende na ngazi yake
 
Mmmmmmh....!! Haya maajabu yanayofanywa na Air Tanzania yanatia kichefu chefu!
Hii Ndege ilishakuwa skrepa kule kenya, ina mahali hadi pa kuwekwa mafuta ya taa ili iwake.
 
Back
Top Bottom