Tanzania kuwakilishwa na wanariadha 3 Olympic kule Tokyo, huku Kenya ikiandaa kutuma zaidi ya 100

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,760
48,408
Ndugu zetu wa Kusini haya mambo yamewashinda kabisa, wameambulia vigodoro tu. Hehehe

=======

Only three athletes to represent Tanzania at Tokyo Olympic games

Tanzania will be represented by only three athletes in the Tokyo’s Olympic Games after three runners failed to secure qualifying marks in Cape Town marathon yesterday.

The runners who will represent the country in the event scheduled to start on July 23rd to August 8th are Failuna Matanga, Alphonce Simbu and Gabriel Geay.

The runners who failed to qualify during Langa marathon in South Africa are Agostino Sulle, Faraja Lazaro and Jackline Sakilu.

In the event, Sulle finished seventh after clocking 2:13:52 while Lazaro finished ninth after clocking 2:15:40 whereas Jackline Sakilu clocked 2:37:54.

Sulle, who had high hopes for victory after securing sponsorship from China and Dubai-based shipping company Silent Ocean, failed to maintain his 2:07:45 marathon record at Toronto marathon in Canada last year.

Silent Ocean sponsored a round trip ticket and allowance to participate in the race recognized by the World Athletics Federation.
Qualifying marks for men runners is 2:11:30 and 2:29:30 for women. The race saw Elroy Gelant of South Africa winning gold medal after clocking 2:11:21 while Lesotho’s runners won the second and third position.

The winners in the women race were Naheng Khatala of Lesotho who clocked 2:28:05 and was followed by Zimbabwe’s Fortunete Chidzivo with 2:35:18 and Namibian, Lavinia Haitope who recorded 2:36:39.

Source: The Citizen
 
Ata wakienda TZ itaonea medali kwa ndoto,Kuna race flani Niliona kijana yao aliyeitwa Motokaa, Makimbizi yalipoanza Motokaa alikimbia Kama ndege, akapigwa Picha Mingi akiwa anapiga Smile mbaya sana Mpaka nikathani ako karibu na Finishing😃Walipofika Mahali flani, Motoka kalihema Sana na kalipitwa Kama upepo, ikabidi watu wa Camera wamtafute akaoneka huko Nyuma😂🏃🏃🏃Alithani yeye ni Motoka(Gari) hehehe, hakujua wakimbizi wa masaa marefu wanaendaga na Pace flani🙆🤣🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥
 
Hakuna tatizo. Wakenya tuwakilisheni east Africa huko marathon. Watanzania watawawakilisha kwenye football na ngumi. Mbona mambo yako even? Hatuweze kuwa sawa wote.so hakuna sababu ya kuchekana. Kama wanariadha wangekuwa wananunuliwa kama wachezaj wa mpira wa miguu tanzania ingenunua mastaa wenu wote ili waiwakilishe.
Wacha Zako ATI wat??? football na Ngumi😆Ebu kwanza kachunguze kabla uongee ambacho hukijui🔥🇰🇪🔥🔥
 
Kwanza Boxing ntakupea Jina moja tu🇰🇪🔥 zarika🔥🔥🔥Huyo anakunyoa ndevu nanii
 
Zarika ndio nani acha ujinga,
Tunazungumzia professional boxing na football,
Mtazame Hassan hapa kwa Video.

Huyo hutaki😛Shika Hawa Basi,Kenya Hit Squad~Heavy weight champ(Dayton Okwiri),Nick Okoth(Feather),Christine Ongare(Fly), Elizabeth Akinyi(Welter), Ebu search Kazi Yao uone Maajabu,nilikuambia utangolewa ndevu😆🍼Hao nmeawataja walikuwa wameenda Russia for EUBC international Boxing Tournament"Konstatin Koroktov memorial 2021,Na pia walikuwa Qualified In Tokyo Olympics🔥🇰🇪🔥👊👊Bongo mshawaifika hapo😭Mpaka kuota hamjawai🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tafakari hayo
 
Tukisema TZ mko Lazy, Tunamaanisha Kabisa🙆Mpaka mbio Tunashinda, kuogelea, Chess, Golf, Safari rally, Etc 🔥🇰🇪🔥Dunia inatambua
 
Siyo lazima tushiriki kila kitu jombaaa, hebu na nyie kashirikini ngumi basi.

Halafu hicho kicheko kinatia mashaka, utadhani unatoka ile pwani ya fulani mzeee, jikaze hata kidogo.
 
Huyo hutakiShika Hawa Basi,Kenya Hit Squad~Heavy weight champ(Dayton Okwiri),Nick Okoth(Feather),Christine Ongare(Fly), Elizabeth Akinyi(Welter), Ebu search Kazi Yao uone Maajabu,nilikuambia utangolewa ndevuHao nmeawataja walikuwa wameenda Russia for EUBC international Boxing Tournament"Konstatin Koroktov memorial 2021,Na pia walikuwa Qualified In Tokyo OlympicsBongolala mshawaifika hapoMpaka kuota hamjawaiTafakari hayo
Umecheki hiyo video?
 
Siyo lazima tushiriki kila kitu jombaaa, hebu na nyie kashirikini ngumi basi.
Halafu hicho kicheko kinatia mashaka, utadhani unatoka ile pwani ya fulani mzeee, jikaze hata kidogo.
Mkuu, hivi kwanini huwa mnakua goigoi hivi kama kitenda mimba hata kujituma hamutaki?
 
Hakuna tatizo. Wakenya tuwakilisheni east Africa huko marathon. Watanzania watawawakilisha kwenye football na ngumi. Mbona mambo yako even? Hatuweze kuwa sawa wote.so hakuna sababu ya kuchekana. Kama wanariadha wangekuwa wananunuliwa kama wachezaj wa mpira wa miguu tanzania ingenunua mastaa wenu wote ili waiwakilishe.
Hapa hakuna cha even wala nini.

Zile Olympics za 2016 kule Brazil Kenya ilikua ndo nchi pekee kutoka Africa ndani ya top 20 countries.

Kwa ujumla, tangu michezo ya Olympic ianze, Kenya inaongoza kwa kushinda medali nyingi zaidi kuliko nchi yoyote Africa! Na hizo medali za Ethiopia ni za Kitambo, sikuhizi hawaonani tena wanashindwa na SA. Mo Farah wa UK hua anachukua medal za 5k na 10k ambayo Kitambo zilikua ni za Ethiopia, kwahivyo hakuna nchi ya kiafrica ambayo itatufikia any time soon, labda baada ya kama miaka 50 hivi.

Sports-01-724x1024.png

Tanzania imeshawai kushinda medali mbili pekee kwa historia yake yote olimpiki.
 
Hapa hakuna cha even wala nini....

Zile Olympics za 2016 kule Brazil Kenya ilikua ndo nchi pekee kutoka Africa ndani ya top 20 countries.

yfkzmn1t7rsladmxab157b9de0ab0637.jpg

Kwa ujumla, tangu michezo ya Olympic ianze, Kenya inaongoza kwa kushinda medali nyingi zaidi kuliko nchi yoyote Africa! Na hizo medali za Ethiopia ni za Kitambo, sikuhizi hawaonani tena wanashindwa na SA. Mo Farah wa UK hua anachukua medal za 5k na 10k ambayo Kitambo zilikua ni za Ethiopia, kwahivyo hakuna nchi ya kiafrica ambayo itatufikia any time soon, labda baada ya kama miaka 50 hivi.
Sports-01-724x1024.png

Tanzania imeshawai kushinda medali mbili pekee kwa historia yake yote olimpiki.
Hao wawili kutoka Tanzania walishinda tuzo ya umbea ama uchawi?
 
Hao wawili kutoka Tanzania walishinda tuzo ya umbea ama uchawi?

Hawa wanaongoza kwenye ushirikina wa kuzuia mvua ila sports arena imewashinda kujenga, msklize mbunge wao.

Hapa hakuna cha even wala nini.

Zile Olympics za 2016 kule Brazil Kenya ilikua ndo nchi pekee kutoka Africa ndani ya top 20 countries.

Kwa ujumla, tangu michezo ya Olympic ianze, Kenya inaongoza kwa kushinda medali nyingi zaidi kuliko nchi yoyote Africa! Na hizo medali za Ethiopia ni za Kitambo, sikuhizi hawaonani tena wanashindwa na SA. Mo Farah wa UK hua anachukua medal za 5k na 10k ambayo Kitambo zilikua ni za Ethiopia, kwahivyo hakuna nchi ya kiafrica ambayo itatufikia any time soon, labda baada ya kama miaka 50 hivi.

Sports-01-724x1024.png

Tanzania imeshawai kushinda medali mbili pekee kwa historia yake yote olimpiki.
Bongo bahati mbaya. 😆😆😆
 
Back
Top Bottom