Steve Dii
JF-Expert Member
- Jun 25, 2007
- 6,402
- 1,254
- Thread starter
- #21
At least umekiri kwamba Miafrika iko nyuma sana (kwa kila kitu).....
Ndiyo Nyani nimekiri, lakini naipongeza baadhi ya miafrika hii pale inapoonesha kuchachafywa na yale yanayoizunguka na kuonesha moyo wa kuweza kujikomboa yenyewe... ndiyo maana naiunga mikono na kushiriki katika yote ninayoamini yataisaidia miafrika hii katika kuleta maendeleo yake....
Miafrika mingi iko nyuma Ngabu, lakini iliyo nyuma zaidi ni ile inayokubali kumeza yoyote yale mizungu inayowarushia....na kusema mambo ndiyo yalivyo, kwa vile miafrika myenzetu iliyo mingi haijitambui na haijui kama iko nyuma wala mbele, basi ni bora kujiunga nayo na kukubali hivi ndivyo ilivyo nami ngoja niwe kama hiyo hiyo...