Tanzania Kutomtambua Mugabe: Je, Unaunga Mkono Serikali Yetu au Huungi? Piga Kura..

Tanzania kutomtambua Mugabe, unaunga mkono tamko la serikali au hauungi?

  • Haujali, lolote na liwe

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    33
  • Poll closed .

Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,402
1,254
Tusiandikie mate ndugu zangu..... Kwa mara nyingine tena tuisaidie serikali yetu kujua takwimu za maoni ya wananchi wake kuhusiana na tamko lake la kutotambua ushindi wa Mugabe hivyo kutoitambua serikali huko Zimbabwe baada ya uchaguzi hivi karibuni.

Maelezo mengi na sababu mbalimbali zimetolewa na members kuhusiana na swala hili kwenye thread hii: https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=15197.
Kama hitimisho na nyenzo ya kujenga takwimu maridadi, nimeonelea kulipigia kura swala hili kunaweza kuwa jambo chanya na la nyongeza kutoka JF.

Mimi naunga mkono maamuzi ya serikali yetu. Tanzania imeonesha "kusimama dede." Kama zilivyotamaduni zetu, mtoto anaposimama dede, tunampigia makofi na kumwimbia - 'kasimama peke yakeeee, kasimama pekeee yake'.....

Je, wewe:

  • Unaunga mkono na unapongeza tamko la serikali yetu?
  • Hauungi mkono na unalaani tamko hili la serikali yetu?
  • Haujali, lolote na liwe?
Basi, naomba upige kura hapo juu. Akhasnte.

SteveD.
 
Mimi siungi mkono hata kidogo na nimeshapiga kura yangu ya kupinga uamuzi huo wa serikali. Namtambua Mugabe kama kiongozi halali wa zimbabwe.
 
Umesikia wapi Tanzania kutomtambua Mugabe?

Tofautisha Tanzania na African Union.

Niwekee sehemu wanasema "Tanzania haitambui Zimbabwe." Naongelea independent decision ya Tanzania, siyo inayo flow by default as a member of AU.
 
Kuhani, nimeongelea Tanzania kama sovereign entity.... kulinagana na habari zilizo andikwa na magazeti baada ya tamko la Mh. Membe. Sijagusia hata kidogo hapo juu mambo ya AU.

Tangazo gani?

Ninaamini FMES alimaanisha 'tamko.'
 
sasa tunaunga mkono kitu ambacho hakipo ni wapi tanzani imeeleza kuwa haimtambui mugabe ?
 
Kuhani, nimeongelea Tanzania kama sovereign entity.... kulinagana na habari zilizo andikwa na magazeti baada ya tamko la Mh. Membe. Sijagusia hata kidogo hapo juu mambo ya AU.

Umepotoshwa!

Wewe unaekuja hapa JF kuchambua na kujadili habari unaweza kuwa unajua habari kuliko za Magazeti ya Kibongo.

Membe hakusema Tanzania haimtambui Mugabe, bali ni AU haitambui uchaguzi.

Big difference.

Alichosema Membe hiki hapa:

"According to observers from the African Union, SADC and the Pan-African Parliament, the run-off elections in Zimbabwe were neither free nor fair, ....The run-off lacked three important elements that make the results unacceptable."

"The decision not to recognise the Zimbabwean election has been endorsed by the AU and Sadc after adopting the election monitors' reports,"

Big difference. Ni uamuzi wa AU sio Kikwete na Membe. Big, big, big damn difference.

Once again the crummy mirage of a press has done a mockery of that sacred profession.
 
sasa tunaunga mkono kitu ambacho hakipo ni wapi tanzani imeeleza kuwa haimtambui mugabe ?

Umepotoshwa!

Wewe unaekuja hapa JF kuchambua na kujadili habari unaweza kuwa unajua habari kuliko za Magazeti ya Kibongo.

Membe hakusema Tanzania haimtambui Mugabe, bali ni AU haitambui uchaguzi.

Big difference.

Alichosema Membe hiki hapa:

"According to observers from the African Union, SADC and the Pan-African Parliament, the run-off elections in Zimbabwe were neither free nor fair," he said....The run-off lacked three important elements that make the results unacceptable.

"The decision not to recognise the Zimbabwean election has been endorsed by the AU and Sadc after adopting the election monitors' reports," said Mr Membe, who is also the chairman of the AU foreign affairs ministers.

Big difference. Ni uamuzi wa AU sio Kikwete na Membe. Big, big, big damn difference.

Once again the crummy mirage of a press has done a mockery of that sacred profession.

Moja-- Nimewasoma wakuu, ahsanteni. Kama ni "kweli" tamko hilo halijatolewa na Serikali yetu basi nakubali kupotoshwa

Mbili-- Kuhani, je wewe hiyo habari umeitoa kwenye "press" gani mpaka unaiamini?

Tatu-- Kama "tumepotoshwa" kwa habari za magazetini kuwa na si Tanzania bali tamko hilo linahusiana na AU, basi tuta-improvise kwa kutumia yale "tuliyo yazua".... Kwa mantiki hii basi, hata kama tamko hili kama nilivyoandika hapo juu linakuwa halijatolewa, je msimamo wetu ni upi katika haya maswala? Kwa vile JF ni source ya information na ideas, basi tufanye hilo tamko halijatokea, na hypothetically tunaweza ku-preempt majibu ya tukio kama hilo. Na kwa hypothesis kama hii, swali linabakia pale pale... albeit, hypothetical:

Je, ungeunga mkono tamko
Je, ungepinga na kukemea tamko kama hilo
Au usingejali?

Thanks,

SteveD.
 
Umepotoshwa!

Wewe unaekuja hapa JF kuchambua na kujadili habari unaweza kuwa unajua habari kuliko za Magazeti ya Kibongo.

Membe hakusema Tanzania haimtambui Mugabe, bali ni AU haitambui uchaguzi.

Big difference.

Alichosema Membe hiki hapa:

“According to observers from the African Union, SADC and the Pan-African Parliament, the run-off elections in Zimbabwe were neither free nor fair, ....The run-off lacked three important elements that make the results unacceptable."

"The decision not to recognise the Zimbabwean election has been endorsed by the AU and Sadc after adopting the election monitors' reports,"

Big difference. Ni uamuzi wa AU sio Kikwete na Membe. Big, big, big damn difference.

Once again the crummy mirage of a press has done a mockery of that sacred profession.

But what is the problem with this information? We are a member of AU and even more important we currently hold the chair, and the fact that Membe enthusiastically communicated this message to our press, it goes without saying that we wholeheartdeadly endorse and practically adopt and adapt the AU decision. So, kapige kura kule unaunga mkono au unapinga?
 
huyu membe hana jipya.yeye membe anasema tz haimtambui mugabe kivipi?kama raisi?huyo mugabe si alichaguliwa au ilikuwa kama wao walivyoiba kura zanzibar,mbona hawampingi karume.waache propaganda zao za kumshabikia bush na brown.wao wanafikiri kamanda(mugabe) hajuhi kama matokeo ya uchaguzi kule zanzibar hayakuwa huru?mbona hakusema?au ndio kunya anye binadamu akinya kuku uchafu?
 
Moja-- Kama ni "kweli" tamko hilo halijatolewa na Serikali yetu basi nakubali kupotoshwa
SteveD, another reason why I tremendously respect you. Good job there.

Mbili-- Kuhani, je wewe hiyo habari umeitoa kwenye "press" gani mpaka unaiamini?

Nimenukuu yaliyotoka kwenye mdomo wa Membe. Na nimei double check kwenye magazeti mbali mbali hiyo nukuu. Sio tafsiri ya mtu ambaye ni journalist-impostor. Na hakuna habari ya 'kama ni kweli.'
Tatu-- Kama "tumepotoshwa" kwa habari za magazetini kuwa na si Tanzania bali tamko hilo linahusiana na AU, basi tuta-improvise kwa kutumia yale "tuliyo yazua".... Kwa mantiki hii basi, hata kama tamko hili kama nilivyoandika hapo juu linakuwa halijatolewa, je msimamo wetu ni upi katika haya maswala? Kwa vile JF ni source ya information na ideas, basi tufanye hilo tamko halijatokea, na hypothetically tunaweza ku-preempt majibu ya tukio kama hilo. Na kwa hypothesis kama hii, swali linabakia pale pale... albeit, hypothetical:

Je, ungeunga mkono tamko
Je, ungepinga na kukemea tamko kama hilo
Au usingejali?

Kabla hatufanya hivyo, badilisha kichwa cha thread kwanza.

Vinginevyo tunazidi kuwapotosha umma kwa sababu thread inaleta mvuto kana kwamba kweli hicho kitu kimetokea. Na mimi sitataka kukamatwa kwenye hiyo dhambi ya kuwasaidia crummy press ya Bongo kuwa shahidi wa uongo.

Sasa imagine kilichotokea hapa SteveD. Unadhani nina mzizi ninavyosema Tanzania tunahitaji chombo cha habari hata kimoja. Kimoja tuu.

On the biggest story on the day - African Union haitambui uchaguzi wa Zimbabwe - crummy press ya Bongo ime bungle hiyo story. Tena nyumbani kwao, wako ukumbini na Membe, anaongea Kibongo chetu hiki, hiki. Wanamuuliza maswali na anajibu. Halafu kweli you still manage to get that story wrong? Yani wako confused between Tanzania, Mwenyekiti wa Baraza la Foreign Ministers, African Union, Foreign Minister wa Tanzania, Mwenyekiti wa African Union, Mwenyekiti wa Foreign Ministers wa SADC....Yani wako solemba.

Kuna mnyama mmoja wa Kimarekani huwa anagongwa sana na magari kwenye barabara za maporini kwa sababu akikatisha highway, taa ikimmulika, badala ya kukimbia, yeye anaanza kushangalia headlight za gari. Mpaka anakuja anapigwa bunda. Ndio hawa waandishi sasa. Ukianza kuwachanganyia habari za hivyo vyeo, they are like a deer in the headlight. They go nhaaa! Whaaaaat!

On the biggest story on the day, I mean this is not about Zimbabwe and Tanzania, this is watershed development in the crisis, not just in Africa, not in Europe or the Whitehouse. Zimbabwe is a headliner all over the word. But the crummy press in Tanzania can't get half the big story right. Biggest story of the day, of the week, of the year. When our press had a chance to be the first to break it to the world.

And we eff'd up!

Holy Mecca!
 
kwangu it does not matter kasma kuna tamko au tangazo, ninasema kua Tanzania tunapaswa kua hands off on Zimbabwe, tusafishe yetu kwanza!
 
Miafrika bana....yaani hata haieleweki....

Nyani Ngabu, "mizungu" ilikuwa inaandika kwenye vitabu hatua zake zote ilizopitia na kufikia maendeleo tunayoona inayo hivi sasa..... Walau "miafrika" ya hivi sasa inaweza kujadiliana, na ku-document mabishano kuhusiana na matatizo iliyokuwa nayo.... haiishii kusema tuyaache. Mizungu ilipigana vita vya Trafalgar, vita vya wild wild west, vita vya kwanza ili kufikia maafikiano...labda miafrika nayo imeanza kuingia katika vita hivi kiaina yake....basi, tuiunge mikono tu hii miafrika pale inapobidi, pale tunapopingana nayo, napo tuiambie ni kwa sababu zipi.... ili hapo mbeleni ije kuwa ina mireference ya mapambano iliyopitia..
 
At least umekiri kwamba Miafrika iko nyuma sana (kwa kila kitu).....
 
Back
Top Bottom