sasa congo watarudi kwenye mifuko ya rambo
kigogo namakulu maki ulumunyangwanda?
sasa congo watarudi kwenye mifuko ya rambo
We kama mimi nilipata jazba ila mwishoni nimemuelewa. Kikubwa hata hao 850 hawatoshi pili tutaungana na majeshi ya S.Africa kwenda mashariki ya Congo kuwatokomeza MR23.
Ila mkuu ujue hapa mgogoro ni mkubwa zaidi ya unavyofikiri. Hapa kuna Rwanda na Uganda ambao M23 ni mtoto wao!
Kuna minyarwanda iko humu inatunga uongo ili kututisha eti ohh wanyarwanda wana vyeo vya juu tpdf mara siri zenu za jeshi zipo kigali mnaleta udaku JF kwenye mambo ya serious hilo halipo,rwanda hawawezi kuipga tz thubutu yao tutawachapa mpaka kigali tumtoe kagame tumkabidhi kibaraka wetu
mkuu si kuingia tu bali hawa jamaa wana backing ya Rwanda na Uganda hivyo kuwafurusha ni kuzifurusha Rwanda na Uganda kutoka DRC ambako wana maslahi kwenye madini mashariki mwa Kongo. Nina shaka na RSA kwa kuwa nao nadhani wana maslahi huko kama ilivyokuwa CAR ambako walienda kumlinda Bozize. Hivyo basi kupeleka majeshi huko hawa jamaa zetu hawatafurahi na hawajafurahi.Hilo ni kweli mkuu na kunauwezekano wa kuzigusa hizi nchi mbili yaani Uganda na Rwanda, ila ni pale tu kama kutakuwa na ulazima wa wakuwafuata waasi MR23 pale watakapovuka mpaka na kuingia Rwanda kuepuka mashambulizi. Na watakapokuwa wakishambulia kutokea ndani ya Rwanda hatuna jinsi zaidi ya Jeshi la umoja [ Tanzania na S. Africa] kuishambulia Rwanda katika location ambayo hao waasi watakuwepo kwa muda huo.
mkuu si kuingia tu bali hawa jamaa wana backing ya Rwanda na Uganda hivyo kuwafurusha ni kuzifurusha Rwanda na Uganda kutoka DRC ambako wana maslahi kwenye madini mashariki mwa Kongo. Nina shaka na RSA kwa kuwa nao nadhani wana maslahi huko kama ilivyokuwa CAR ambako walienda kumlinda Bozize. Hivyo basi kupeleka majeshi huko hawa jamaa zetu hawatafurahi na hawajafurahi.
kuna wanajeshi pale uganda wamekuwa mamilionaire kwa hii vita ya congo..
kama ulikuwepo kichwani kwangu. naona jamaa ameandika kilevi, kwa sababu maswali aliyouliza, majibu yake hayahitaji shule, bali common sense.
alitakiwa tu atupe taarifa ilikuwa inatosha na tungemshukuru.
kigogo namakulu maki ulumunyangwanda?
Kajembe mwidiwe chambu? Abha bhantu bhalatumila muwu mwaka, jewe mva manyaovu, abha bhaloko bhalatumala.
Alieandika alishatangulia kusema hana uelewa wowote na mambo hayo, si vyema kusema kaandika kilevi. Yeye ufahamu wake umefikia hapo, kinachotakiwa ni kumueleweshwa so be positive ktk kumjibu au kumuelewesha. Watu tuko tofauti, kielimu, ki-uelewa, fani tulizobobea, hobi na mengineyo. Nachokijua mimi unaweza kuwa hufahamu hata kidogo na ukiuliza swali na mimi nikiwa na mtazamo wako nitajiuliza huyu jamaa mbona kilaza, kumbe sivyo na wewe waweza kuwa na eulewa ktk nyanja nyingine tofauti. Heshimu kila wazo la mwana JF, ukiona halikuingii unapotezea.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Kwa mujibu wa Membe, Serikali inatarajia kuomba ridhaa ya Bunge kupeleka battalion 1 huko Kongo(Si chini ya wanajeshi 850) kulinda amani. Ikumbukwe kwamba wanajeshi hawa wamepewa mandate ya kupambana na waasi.
Je
1. Wanajeshi wetu wameandaliwaje kupambana na waasi huko Kongo? Any special training?
2.Kwa kuwa Idadi hiyo ni kubwa, je ipo mikakati ya kuhakikisha hatupungukiwi wakati hao wapo huko?
3. Any consideration and special attention to their families?Najua wamekula kiapo cha utii kuilinda mipaka ya Nchi yetu japo cjui kama kiapo hicho kinawalazimu kwenda mission hizi.
Maswali haya yanawezakuwa hayana mantic mana sina ufahamu wakutosha wakijeshi.
Otherwise nawatakia mafanikio mema hasa ukizingati wamekuwa na record nzuri huko Darfur, Syria na Lebanon
Naunga mkono kupeleka batallion.
ushauri wangu ni kuwa wasiende kupigana bali kulinda raia na upande mwingine waanzishe mazungumzo ya kusaka amani. wale jamaa ni wazoefu wa vita na pia ni wenyeji wa mazingira. misitu mingi ya congo drc ni kikwazo kikubwa kwa jeshi lolote la kulinda amani. darfur, lebanon na somalia jiografia yake ni tofauti. baba yangu mdogo aliongoza battalion huko msumbiji enzi za frelimo lakini alirudi na watu si zaidi ya kumi. sasa hivi yupo kambi ya kaboya na anastaafu mwaka huu huku akiwa hana hata nyumba aliyojenga.
wakati mwingine ingetosha kulinda mipaka yetu tu ingawa tunahitaji kujifunza matumizi ya zana za kisasa na mazingira tofauti. la sivyo mabomu yataoza na kutulipukia.
Bora wapelekwe policcm tumeshachoka nao huku kitaaa.