Tanzania kuibuka mabingwa wa AFCON 2025

Tanzania kuibuka mabingwa wa AFCON 2025

Bendera ya TANZANIA ina nuka damu
Rais wa TANZANIA amemwaga damu nyingi zisizo na hatia
TANZANIA ina dhambi ya kumwaga damu

TANZANIA ITAKUWA YA MWISHO KWA KILA KITU MPAKA TOBA YA KWELI ITAKAPO FANYIKA

CC : WAFUATAO WAME LAANIWSA NA UKOO ZAO ZOTE ,Damu kutoka ardhini inanena juu yao

Ritz HAYA LAND HOV Ertugrul Bey kavulata naliwe KERATO MOMBAA Sela Son pronto. Dakarai Chibike Dr wa Manesi Makebo Kimbesa11 Tlaatlaah GENTAMYCINE Lucas mwashamba
Hatutawapa nafasi hata kidogo
Mkitoa mguu tu na sisi tunaweka
 
KARIBUNI SANA

RISASI HUJIBIWA NA RISASI ,kwa sasa hatiti sisi tuko vizuri mtaani
tukutane tarehe 24/12/2025 usiku na tarehe 25/12/2025
Ukiwa unaongea kama vile mtu..
Tarehe zenyewe sasa zikifka unakunja matako na ki tecno chako na aquas used
 
Tanzania inacheza leo kila mTanzania ana furaha

Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Taifa Stars
 
Leo tunamfunga Uganda then Tunisia anamfunga Nigeria

Mechi ya mwisho tunakutana na Tunisia ambaye anakuwa ameshafuzu tayari kwahiyo hatopanga kikosi chake kamili so naye tutamfunga
 
Ni suala la muda tu

Tanzania Mabingwa Afcon 2027
 
Back
Top Bottom