Tanzania kuibuka mabingwa wa AFCON 2025

Tanzania kuibuka mabingwa wa AFCON 2025

Hizo goli hazipo Nigeria amechoka sana siku hizi

Usijitoe JF bado tunahitaji michango yako
Anaenda kufungwa 2+ hii naweza kubet chochote(Wewe usiweke chochote Tanzania akifungwa chini ya goli mbili kesho nidai ten)
 
Amka usije ukakojoa kitandani
Comments zote naquote ili msije kuedit baadae

Nigeria,Uganda na Tunisia wamechoka sana sio wale wa kipindi kile, hao wanigeria kwanza ndani ya kikosi Chao hiko hiko kuna makundi makundi ambayo yanaleta migogoro na kutoelewana baina ya wachezaji

Leo wanaenda kukutana na Simba mwenye njaa kali chamoto watakiona
 
Jamaa yangu hizi ni ndoto asee usianze kutupanga na habari za analysis.Sema tu tukipata angalau point moja kwenye kundi labda(hii yenyewe ni ngumu ndio tukabebe kombe)
Sasa hili kundi lina ugumu gani? Yaani Tunisia,Uganda na Nigeria waliojichokea ndo mnawahusudu hivi?

Hao wanigeria ambao kila siku wananuniana mazoezini ndo watusumbue sisi?
 
Acha ndoto wewe.. subiri uone leo unavokula chuma za kutosha[emoji28]

Mwamnyato leo atalala na viatu maana yule ushimane sio ni kipande
 
Na beki wenu mwamnyato?? Amka usingizini wewe
Umemuona huyo tu??

Kuna Bacca na Dickson Job hawa waking'ata meno unajua shughuli yao

Striker aliyekamilika kama Serhou Guirasy anayetesa Bundersliga hakuambulia hata Off target dakika 90
 
Hello

Kupitia analysis fupi niliyofanya nimekuja na majibu kwamba Tanzania tuna asilimia kubwa 99% kubeba kombe hili

Timu nyingi za Taifa ambazo ni magiant round hii zinacheza mpira wa ovyo na hazina ubora ule tuliouzoea siku zote

Viwango vya wachezaji havipishani sana baina ya yale mataifa makubwa kisoka na mataifa madogo

Hapa Tanzania tukichanga karata zetu vizuri mwali anarudi nyumbani mchana kweupe, mpaka sasa sijaona timu ambayo inayocheza mpira wa kutisha kiasi kwamba tuwe na hofu nayo

Group letu la kawaida sana hakuna team ya kuisumbua Tanzania wote tunaocheza nao tunawafahamu vyema na wamechoka kisoka siku hizi

Naitakia kila la kheri Taifa stars, tuungane pia kuliombea Taifa letu

Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Taifa Stars

Hivi TBC wataonesha hii mechi?

Wachambuzi wa Supersport wa DSTV wametabiri Tanzania itaishia kwenye Makundi na leo Nigeria wataifunga Tanzania goli 2 bila
 
Wachambuzi wa Supersport wa DSTV wametabiri Tanzania itaishia kwenye Makundi na leo Nigeria wataifunga Tanzania goli 2 bila
Na mimi nimetabiri tunabeba ubingwa na leo hatufungwi
 
Sasa hili kundi lina ugumu gani? Yaani Tunisia,Uganda na Nigeria waliojichokea ndo mnawahusudu hivi?

Hao wanigeria ambao kila siku wananuniana mazoezini ndo watusumbue sisi?
Nigeria hata bila kocha timu yao inatufunga,Tunisia bila kocha pia tunafungwa.Uganda ndio timu pekee tunaweza kujaribu
 
Back
Top Bottom