Tanzania itafute waekezaji wajenge kiwanda cha kuchakata (smelter) chuma sababu madini ya iron ore na makaa ya mawe yapo nchini

Tanzania itafute waekezaji wajenge kiwanda cha kuchakata (smelter) chuma sababu madini ya iron ore na makaa ya mawe yapo nchini

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
4,124
Reaction score
6,141
Wilaya ya Ludewa kwenye milima ya mchuchuma na liganga una madini ya chuma (Iron ore) ni vizuri ikatafuta waekezaji ili watengeneze smelter za kuchakata iron ore mpaka kuwa malighafi chuma ambayo itatumiwa na viwanda vya upili kwa ajili ya kutengeneza chuma kwa matumizi mbalimbali ya mtumiaji wa mwisho
 
Smelter ya chuma sio lazima itumie umeme huu wakawaida kwa sababu umeme ni mdogo kwa sasa, smelter za chuma zinaweza tumia makaa ya mawe kwenye kuzalishia chuma kutumia blast furnance ni vizuri hii fursa ikatumika vizuri
 
Tanzania ndio nchi pekee kanda ya ziwa kuna madini mengi ya shaba ila wamekazana nankutafuta dhahabu.
 
Naunga mkono Kampeni. Ludewa kuna makaa ya mawe, kuna chuma pia kuna mto Ruhuhu unaoweza kuzalisha karibu MW 300. Ukiwekeza hapo utamaliza shida zote za chuma na utakipata kwa bei cheap sana. Maana makaa, ore na umeme vipo tu hapo hapo. Imagine China ananunua ore Australia na Brazil. Anasafirisha hadi China kutengeneza chuma na steel. Kisha anasafirisha kuja kutuuzia sisi.
 
Kama tuko serious tunatakiwa tuwe na smelter ya steel
 
Back
Top Bottom