Tanzania Ina Vyuo Vikuu Vingapi?

Janja PORI

JF-Expert Member
Jul 31, 2011
825
246
Jamani na rafiki angu ana shule yake anataka iwe Chuo kikuu afanyaje? ? ? Wana JF naskia ni Very simple

toa hoja isiyo na mashiko,..rafiki yako ana shule gani i.e chekechea,pre-primary etc,...na sasa anataka aifanye chuo kikuu,...labda unamaanisha chuo cha madrasa,......njoo utoe hoja ya msingi watu tukuelewe

shule ya sekondari. Unajua kumekuwa na wimbi la sekondari zinageuka vyuo vikuu

Mwambie rafiki yako aende kudesa kwe vyuo vikuu vifuatavyo, ili kufahamu qualification ya chuo kikuu: Melbourne (Australia), Tsinghua (China), Cambridge (UK), Ruprecht-Karls (German), Harvard (US), ETH Zurich (Switzerland), McGill (Canada), SUA (Tanzania). Akipata muundo na ikama ya watumishi hasa maprofesa ndipo rafiki yako awaite mamlaka husika wakague na kumpa kibali.

Kwa mwendo huu, ndio maana nachelea kusema "Chuo kikuu nchi hii ni UDSM tu"

Nasikitika kusikia, ulitumia akili kweli kuandika mkuu?au hisia,think critically before you write or speak,mnaboa watu kujiona mko unique kumbe hamna lolote

Nasikitika kusikia, ulitumia akili kweli kuandika mkuu?au hisia,think critically before you write or speak,mnaboa watu kujiona mko unique kumbe hamna lolote
Hiyo ndo UDSM, full maujiko ni kuanzia madent mpaka walimu wao.

Wa2 mlokosaga sifa za kujiunga na udsm mna tabu sana...

Nani alikuambia mkuu?what is UD by the way?dah wabongo bwana,hapo umedesa sijui umemaliza sijui bado unapigika hapo UD una mbwembwe ungekuwa umesoma HAVARD sijui kama wengine tungelala humu katika JF

Aliyeanzisha mada katika thread alitaka kujua kuna vyuo vikuu vingapi Tz bt akitaka kufahamu procedure ya shule ya jamaa yake kuwa chuo kikuu, tumjibu alichouliza na idadi si kuanza kuleta mbwembwe na majigambo yasiyo na msingi,unataka kusifia chuo chako andika thread yako

naunga mkono hoja!

nashukuruni mfano Eckenford nayo University mtaskia parfect Version nayo chuo

Nani alikuambia mkuu?what is UD by the way?dah wabongo bwana,hapo umedesa sijui umemaliza sijui bado unapigika hapo UD una mbwembwe ungekuwa umesoma HAVARD sijui kama wengine tungelala humu katika JF

udsm ha2na mpinzan bongo hii,mayb sua ndo wana2fukuzia kwa mbaaali,bt hzi colleges uchwara ka hyo uliyosoma au unayosoma wewe zitafikia robo ya ubora wa Ud aftr 50yrz.UDSM school of intelectualls..hutaki kalale.

Back
Top Bottom