Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,330
au umezoea kuona Eduardo?, Yes ndio miongoni mwa waanzilishi wa FRELIMO , chama cha ukombozi cha wanamsumbuji Kilichoanzishwa hapa Dare Es Salaam,
alikufa baada ya kufungua kifurushi alichotumiwa kama kitabu kumbe lilikuwa ni bomu ilikuwa mwaka 1969 hapa Dar es Salaam
alikuwa ni kingozi muhimu na alikuwa anawindwa sana na Wareno?, iweje kifurushi kipenye na kumfikia bila kuwa noticed na watu wa usalama?