Tanzania iliwahi kuwa nchi ya tatu kwa upelelezi duniani

Maneno Meier

Maneno Meier

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2013
Messages
779
Likes
324
Points
80
Maneno Meier

Maneno Meier

JF-Expert Member
Joined May 12, 2013
779 324 80
Amani anaivuruga nani? Umeshawahi kuona waraka kama huu kabla ya huyo dikteta na dhalimu kuingia madarakani!

Maaskofu nao wanaokota maneno vijiweni? Acha upumbavu wako wewe!

WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari nchini - JamiiForums
Maasakofu ni nani? Ni Mungu wao? Unamwona Mungu anaenda chooni?

Kama wao ni miungu wako ambao unawaamini kwa kila kitu, mbona katika vita kuu ya pili ya dunia walimbariki Hitler? Unajua hiyo? Kabla hujaanza kunitukana bila sababu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
81,964
Likes
121,274
Points
280
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
81,964 121,274 280
Kweli wewe ni mburula wa hali ya juu kwa kuwadharau Maaskofu lakini kumtukuza huyo dikteta , muongo, fisadi , mtekaji, mtesaji anayedhulumu na MUUAJI.

Maasakofu ni nani? Ni Mungu wao? Unamwona Mungu anaenda chooni?

Kama wao ni miungu wako ambao unawaamini kwa kila kitu, mbona katika vita kuu ya pili ya dunia walimbariki Hitler? Unajua hiyo? Kabla hujaanza kunitukana bila sababu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maneno Meier

Maneno Meier

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2013
Messages
779
Likes
324
Points
80
Maneno Meier

Maneno Meier

JF-Expert Member
Joined May 12, 2013
779 324 80
Kweli wewe ni mburula wa hali ya juu kwa kuwadharau Maaskofu lakini kumtukuza huyo dikteta , muongo, fisadi , mtekaji, mtesaji anayedhulumu na MUUAJI.
Mkuu kabla hatujaanza kutukanana na kudharauliana naomba jaribu kuijua History ya dini yako ya kikristo na maana ambayo hiyo dini na maasakofu na ma-pops wake wamefanya katika dunia hii.

Dini ya kikristo ya leo sio ile aliyo ianzisha Yesu. Hii ni dini ya Paulo. Na Paulo hakuwa mfuasi wa Yesu. Hiyo dini imesambazwa na warumi baada ya warumi kutekwa na wakristo.

Cesa wa mwisho wa Warumi, Cesa Kostantin baada ya kushinda vita dhidi ya maadui wake kwa kutumia ishara ya msalaba wa Yesu hatimaye aliwaruhusu wakristo kuwa na haki sawa kama ya Warumi wengine. Na hilo ndilo kosa kubwa Cesa Konstanin alilifanya. Wakristo wakaja kuchukua madaraka baada ya Cesa Kostantin kufa.

Isitoshe msalaba haukugunduliwa na wakristo hiyo ilikuwa methodes za Warumi Jerusalem kuwasulubu watu walio hukumiwa vifo. Kwa vile Yesu naye alihukumiwa kunyongwa ndiyo maana alitundikwa msalabani kusulubiwa.

Katika kipindi cha Middel age wakristo walimwaga damu nyingi sana ya watu kwa kuwa lazimisha wawe wakristo. Hata waislam walinyanyasika sana na wakristo. Katika kumwaaga damu maasakofu na mapaps ndiyo walikuwa watoa hukumu wakubwa kuliko hata majaji leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
81,964
Likes
121,274
Points
280
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
81,964 121,274 280
Acha ujuha wako! Ujuha wako mimi siwezi kuuremba. Kuna Watanzania wasiokuwa na hatia yoyote ile wameuawa na huyo muuaji ambaye wewe unamtukuza.

Maelfu ya Wafanyakazi, Wakulima na Wafanyabiashara wamedhulumiwa billions na huyo dhalimu lakini haya yote huyaoni kwa sababu mkuki kwa nguruwe!

Lissu/Saanane/Gwanda angekuwa Baba yako au ndugu yako wa damu au ungekuwa ni mmoja wa Wakulima wa korosho waliodhulumiwa more than 250 billions shillings au Wafanyakazi waliodhulumiwa nyongeza ya mishahara kwa mwaka wa nne sasa usingethubutu kuandika upuuzi wako huu.

Hapana mkuu sio kujua kwangu hiyo ni fact! Najua ukweli unauma lakini nisamehe kwa hilo.

Mkuu look kama utaniruhusu ningependa kukueleza kitu kimoja, umemtaja Lissu, Lissu yeye ni mwana siasa na mbobeaji mkubwa sana katika sheria. Nampenda sana Lissu, lakini kitu kimoja ambacho Lissu amekosea. Nimeishi nchi za Ulaya ambako kuna demokrasia pure, lakini sijaona wanasiasa wanatenda vitendo ambavyo Lissu wamefanya kwa Rais na watanzania.

Kama mwana siasa na mpinzani hakustahili hata mara moja kumwita Rais hadharani Dikteta Uchwara. Huko ni kumdhalilisha Rais wa nchi ambaye amechaguliwa na watanzania kuongoza nchi.

Kingine ambacho ni kibaya zaidi ni kufanya njama na makampuni ya kigeni ambayo yalifukuzwa nchini kwa kutotenda wajibu wao kiusanifu na hatimaye mikataba yao ya miradi ya ujenzi wakati wa utawala wa Rais Kikwete kustopishwa, kwa kuishtaki nchi yetu ili kumfanya Rais Magufuli ashindwe kuiongoza nchi. Kwa najambo hili hata mimi binafsi nilikuwa niko tayari kumshuti Lissu. Huo ni usaliti wa hali ya juu. Sio ubinadam huo ni matendo na fikra za kinyama.

Sasa yeye anauhujumu uchumi na maendeleo ya nchi akitegemea anamwadhibu nani? Magufuli? Au watanzania? Hajui kitendo alicho kifanya kila mtu kina mwathiri? Hata mama yake na shangazi zake wanahathirika. Huo ni ukosefu wa akili.

Kupotea kwa Beni Saanane sidhani kama Magufuli anahusika. Jambo lolote linaweza likawa limempata. Mbona Mo Dewji naye alitekwa? Je Magufuli alihusika?

Watu wote wanao dai au kulia kuwa wamedhulumiwa mali zao, ukweli wa mambo, ni watu ambao walikuwa wanawadhulumu watanzania wanyonge.

Sijaona nchi zilizoendelea viongozi wa serikali wanakuwa na matajiri wa kupindukia kwa kuwa na miradi mikubwa mikubwa. Kama hao watumishi walikuwa kweli matajiri na wafanya biashara wakubwa mbona sasa hawaendelezi hizo biashara zao? Si wanadai kuwa na mitaji?
Zabuni za miradi mbali mbali ilikuwa ikipewa watu ambao walikuwa hawana Qualifications, maadam kutaka kugawana pesa tu na miradi yenyewe huioni ikikamilika. Yaani nchi iligeuka kuwa "a banana Republic" kila mmoja anafanya anavyo taka.

Sijaona kipindi ambacho watanzania wamefanyiana ubaya kama kipindi cha awamu ya nne. Matatizo kila sehemu. Bandarini kulikuwa ovyo, Airport ovyo, infrastructure ovyo, umeme ovyo, matibabu ovyo, maji hakuna, wizi na rushwa katika kila sekta, kuoneana kwa kupita kiasi. Yaani mkuu wewe acha tu.

Kwa kifupi Sorry kama wewe au mtu katika familia yako amekubwa na msukosuko wa kunyang'anywa Mali ambazo alidai kuwa za kwake wakati sio mali zake, ni mali za umma, ndiyo maana alistahili kunyang'anywa.Sent using Jamii Forums mobile app
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
81,964
Likes
121,274
Points
280
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
81,964 121,274 280
Kupotea kwa hao niliowataja na shambulizi la Lissu pia kuokotwa kwa miili ya Watanzania ufukweni kama huyo muuaji hahusiki kwanini hakuna uchunguzi hadi hii leo? Saa and mwaka wa tatu huu, Lissu zaidi ya mwaka na Azory zaidi ya mwaka kwanini hakuna uchunguzi na yeye yuko kimya?

Huuoni udikteta wa huyo muuaji wa kudharau katiba, Bunge, mahakama na taratibu mbali mbali Serikalini na anajichotea trillions hazina bila idhini ya Bunge.

Fact kuhusu mambo ya dini ya mwaka 47 wakati hizi facts za miaka mitatu iliyopita hutaki kuziona? Akili za wapi hizi??

Kununua wanasiasa wachumia tumbo kwa rushwa na kutumia zaidi ya 80 billions kwa uchaguzi uchwara, kudhulumu wafanyakazi, wakulima na wafanyabiashara hizi facts zote huzioni mburula wewe bali unaziona zile uzitakazo wewe!

Lissu hakukosea chochote kile kama Mtanzania na pia kama Mbunge alikuwa akitumia haki yake ya kikatiba kumkosoa huyo dhalimu na muuaji.

Hata siasa za nje huzijui vinginevyo ungejua kwamba kuna Rais anayeitwa dikteta wazi wazi mitandaoni na kwenye vyombo vya habari.

Wewe ni mpumbavu wa kutupa kwa kuamini uongo wa huyo muongo wa Ikulu kwamba Lissu anafanya njama eti kuhujumu uchumi wa Nchi

Na kwa taarifa yako mimi sijaathiriwa na chochote kutokana na udhalimu na dhuluma za huyo dikteta na muuaji, lakini sihitaji kusubiri kuathiriwa ndiyo nione kwamba huyo dhalimu aliye Ikulu hastahili kuwepo Ikulu hata kwa sekunde moja tofauti na mburula wewe.

Wapumbavu kama wewe ni hasara kubwa sana kwa Taifa letu na ndiyo mnamvimbisha kichwa huyo kichaa na hivyo kuendelea kuididimiza Tanzania kwenye kila sekta.

kama kazz

kama kazz

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2015
Messages
1,030
Likes
457
Points
180
kama kazz

kama kazz

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2015
1,030 457 180
Usalama wa taifa ukitaka kumjuwa unamjuwaje ? Kutokana na kazi yao ilivyo hawaruhusiwi kabisa hata kujitambulisha hovyo hovyo ndiyo mana ni ngumu sana kuwajuwa watu Wasiojulikana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Richard irakunda

Richard irakunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2018
Messages
1,627
Likes
1,425
Points
280
Richard irakunda

Richard irakunda

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2018
1,627 1,425 280
Wacha kuonyesha ujuha wako hadharani!! Hii post ni ya 2013. 2013 huyo dhalimu na dikteta alikuwepo madarakani? Usikurupuke vinginevyo UTAUMBUKA.
duh kwaiyo jamaa kakurupuka kutetea buku saba yake bila kujua ni post ya mda gan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maneno Meier

Maneno Meier

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2013
Messages
779
Likes
324
Points
80
Maneno Meier

Maneno Meier

JF-Expert Member
Joined May 12, 2013
779 324 80
Kupotea kwa hao niliowataja na shambulizi la Lissu pia kuokotwa kwa miili ya Watanzania ufukweni kama huyo muuaji hahusiki kwanini hakuna uchunguzi hadi hii leo? Saa and mwaka wa tatu huu, Lissu zaidi ya mwaka na Azory zaidi ya mwaka kwanini hakuna uchunguzi na yeye yuko kimya?

Huuoni udikteta wa huyo muuaji wa kudharau katiba, Bunge, mahakama na taratibu mbali mbali Serikalini na anajichotea trillions hazina bila idhini ya Bunge.

Fact kuhusu mambo ya dini ya mwaka 47 wakati hizi facts za miaka mitatu iliyopita hutaki kuziona? Akili za wapi hizi??

Kununua wanasiasa wachumia tumbo kwa rushwa na kutumia zaidi ya 80 billions kwa uchaguzi uchwara, kudhulumu wafanyakazi, wakulima na wafanyabiashara hizi facts zote huzioni mburula wewe bali unaziona zile uzitakazo wewe!

Lissu hakukosea chochote kile kama Mtanzania na pia kama Mbunge alikuwa akitumia haki yake ya kikatiba kumkosoa huyo dhalimu na muuaji.

Hata siasa za nje huzijui vinginevyo ungejua kwamba kuna Rais anayeitwa dikteta wazi wazi mitandaoni na kwenye vyombo vya habari.

Wewe ni mpumbavu wa kutupa kwa kuamini uongo wa huyo muongo wa Ikulu kwamba Lissu anafanya njama eti kuhujumu uchumi wa Nchi

Na kwa taarifa yako mimi sijaathiriwa na chochote kutokana na udhalimu na dhuluma za huyo dikteta na muuaji, lakini sihitaji kusubiri kuathiriwa ndiyo nione kwamba huyo dhalimu aliye Ikulu hastahili kuwepo Ikulu hata kwa sekunde moja tofauti na mburula wewe.

Wapumbavu kama wewe ni hasara kubwa sana kwa Taifa letu na ndiyo mnamvimbisha kichwa huyo kichaa na hivyo kuendelea kuididimiza Tanzania kwenye kila sekta.
Kupotea kwa hao niliowataja na shambulizi la Lissu pia kuokotwa kwa miili ya Watanzania ufukweni kama huyo muuaji hahusiki kwanini hakuna uchunguzi hadi hii leo? Saa and mwaka wa tatu huu, Lissu zaidi ya mwaka na Azory zaidi ya mwaka kwanini hakuna uchunguzi na yeye yuko kimya?

Huuoni udikteta wa huyo muuaji wa kudharau katiba, Bunge, mahakama na taratibu mbali mbali Serikalini na anajichotea trillions hazina bila idhini ya Bunge.

Fact kuhusu mambo ya dini ya mwaka 47 wakati hizi facts za miaka mitatu iliyopita hutaki kuziona? Akili za wapi hizi??

Kununua wanasiasa wachumia tumbo kwa rushwa na kutumia zaidi ya 80 billions kwa uchaguzi uchwara, kudhulumu wafanyakazi, wakulima na wafanyabiashara hizi facts zote huzioni mburula wewe bali unaziona zile uzitakazo wewe!

Lissu hakukosea chochote kile kama Mtanzania na pia kama Mbunge alikuwa akitumia haki yake ya kikatiba kumkosoa huyo dhalimu na muuaji.

Hata siasa za nje huzijui vinginevyo ungejua kwamba kuna Rais anayeitwa dikteta wazi wazi mitandaoni na kwenye vyombo vya habari.

Wewe ni mpumbavu wa kutupa kwa kuamini uongo wa huyo muongo wa Ikulu kwamba Lissu anafanya njama eti kuhujumu uchumi wa Nchi

Na kwa taarifa yako mimi sijaathiriwa na chochote kutokana na udhalimu na dhuluma za huyo dikteta na muuaji, lakini sihitaji kusubiri kuathiriwa ndiyo nione kwamba huyo dhalimu aliye Ikulu hastahili kuwepo Ikulu hata kwa sekunde moja tofauti na mburula wewe.

Wapumbavu kama wewe ni hasara kubwa sana kwa Taifa letu na ndiyo mnamvimbisha kichwa huyo kichaa na hivyo kuendelea kuididimiza Tanzania kwenye kila sekta.
Mkuu kama una zijua facts naomba anza na upelelezi wa vitu viwili kuhusu mtukufu wako Tundu Lissu kwanza.

Tanzania tuna left hand Drive but right Hand Driver that means dereva wa gari ambalo lilimwendesha Lissu alikuwa kulia kwake wakati yeye alikaa kushoto kwa dreva. Sasa maajabu yaliyo tokea ni kwamba Lissu ameumizwa zaidi kulia kuliko kushoto, ilikuwaje dreva wake ambaye alikuwa kulia kwake asijeruhuwe badala yake hayo maafa ya kumiminiwa risasi yampate yeye tu?

Mbona wana CHADEMA toka tukio tukio litokee mmeficha dreva asihojiwe na vyombo vinavyo husika? Inakujaje wewe unahoji utekelezaji wa serikali kuhusu kujeruhiwa kwake badala ya kuhoji maelezo kutoka kwa der ja wake ambaye anaushahidi wa kutosha ambao ungeweza saidia kujua wahusika wa hilo tukio ni nani?

Nikupe siri kwenye fuko za bahari karibu kila leo maiti ya watu inaokotwa. Tatizo huzisikii hizo habari kwa sababu hakuna mtu ambaye anazizungumzia. Lakini hizi za Tanzania viongozi wako na watu waliokusudia kumchafua Magufuli waliamua kufanya hivyo ili wakoko na wakoma kama wewe mwone na kukubali kuwa kweli Magufuli nikatili na anaua watu. Watu wanao weza buy hizo hadithi za Abunuawasi ni vichaa ambawo wamekuwa admitted kwenda Milembe na Mazombi wa kwenye Michael Jackson Thriller kama wewe, lakini sio wanaume walio kiona kitabu na kukariri herufi za kurumi na kigiriki na kuzielewa namba za kiarabu kama sisi. Use your common sense please!

Mpaka leo Scotland YARD wa Uingereza wanamtafuta Msichana wa Uingereza Madeleine Beth McCann, aliyeitwa Maddie (aliyezaliwa Mei 12, 2003 katika Leicester), alipotea Mei 3, 2007 kutoka kwenye nyumba ya likizo Praia da Luz ya Ureno mpaka leo hajaonekana wakati kesi yake ilijulikana duniani kote kwa njia ya habari za vyombo vya habari, sembuse Beni Saanane na primitive devices na technic kama za kwetu?

Mkuu kwa jinsi ninayo kusoma wewe ni kijana sana na kwa hali hiyo ningeomba badala ya kupoteza mda wako kulumbana na mimi katika maswala ambayo wewe na mimi hatuwezi kuyatatua ningekuomba kufanya kitu kimoja; tumia ujana wako, akili na nguvu ambazo mungu kakujalia wewe mwenyewe kufight ili uje okoa jahazi ambayo wewe unadhani linazamishwa na Rais Magufuli, kwani Rais Magufuli naye alifanya hivyo hivyo wakati akiwa waziri.

Huo udikteta wa Magufuli mimi binafsi si uoni na hayo mauaji na kitendo cha kudharau katiba mimi siuoni na sikioni pia. Wapinzani wako Bungeni na wanafanya matakwa yao kama kawaida; wanapinga kupitisha bajeti ya matumizi ya fedha kwa ajili ya miradi mbali mbali kama ya maji, umeme, barabara na kadhalika, miradi ambayo wao wenyewe, ndugu zao na hata wapiga kura wao yanawasaidia. That is crazy!

Mahakama mbona inafanya kazi yake kama inavyo paswa? Rushwa imepungua sana na baadhi ya vigogo walio kuwa wamejificha kwenye chama cha Mapinduzi CCM wako kizimbani na wengine wanakuja. Kitu gani kingine unakihitaji zaidi ya hayo? Huna sababu ya kumsifu na kumshukuru Magufuli kwa jitihada zake za kuchukua maamuzi magumu?

Serikali chini ya uongozi wake mbona inatenda kazi zake mbali mbali vizuri kulingana na taratibu za katiba na mujibu wa Chama Cha Mapinduzi na hizo trillions za fedha unazo dai anajichotea kutoka hazina bila idhini ya Bunge wewe unadhani anazitumia kwa ajili gani? Kwa jambo hili mimi nakusihi kuchukua mda wako na kuangalia mambo na matatizo yaliyo ipata nchi yetu siku za nyuma badala ya kuangalia miaka hii mitatu ya utawala wa Rais Magufuli.

Baba wa Taifa Mwalim Nyerere alifanya kitendo hicho hicho ambacho Magufuli amekifanya cha kutumia hela za umma katika kugharamia mambo ambayo yeye aliyaona yanatija katika maendeleo yetu sote. Nakupa mfano, baada ya Wakenya mwaka 1977 kuamua kwa hiari yao bila makubaliano na sisi kuvunja umoja wa East African Community na kuamuru ndege zote ambazo zilikuwa zinamilikiwa na umoja huo kutua Kenyatta Airport, isipokuwa moja tu ambayo iliokolewa na mzalendo wetu Mapunda ambaye hivi karibuni amezawadiwa TZS Milion kumi na Rais Magufuli katika shamra shamra za kupokea ndege yetu ya kisasa ulimwenguni Airbus A220-300, Rais Nyerere aliagiza ndege 14 Cash bila kupata idhini ya Bunge. Kirahisi kuelewa kuwa kuna maamuzi mengine ambayo Rais wa nchi ana mamlaka kuyachukua ikibidi ili kuyaweka mambo sawa. Mpaka sasa naona kelele zote za akina Tundu Lissu zimeisha au kupungua.

View attachment 984573

Hizi facts za miaka mitatu iliyopita naziona sana na ndiyo maana nakusisitiza kuwa facts zinazo husu mambo ya dini ya mwaka 47 kulingana na na maelezo yako au miaka 315 baada ya kuzaliwa Yesu Christo au Karne ya 6 mpaka 15 ni za kuzizingatia pia kwani impact zake katika maisha yetu leo ni kubwa sana. Kwani tukijifunza makosa ya wakati ule tunaweza kugarantii amani ya maisha yetu ya sasa na baadae nchini.

Nikupe mfano, wakati wa Middle Age binadam hasa katika bara la Ulaya walisahau maisha ya enzi za warumi, wagiriki, wakatago na ya wa-Agypt matokeo yake walipigana vita vya kinyama na kuuana wenyewe kwa wenyewe kana kwamba sio watu ambao wakati wa Antic walikuwa tayari wameshapata civilization. Dini hapa hasa ya kikristo zili play a major role.

Baada ya kukumbuka maisha ya kidemokrasia ya warumi na wagiriki ya kipindi cha Ancient time diyo walikuja kuunda utaratibu wa kujali haki za maisha ya binadam na kuheshimu mipaka ya nchi zao tena mpaka leo. Na hapo maendeleo yali ibuka tena na kuendelea mpaka leo.

Kwa hiyo hizo ni akili za kuelewa matukio ya ulimwengu ambayo nakusihii wewe kujaribu kuyaiga kwani yanaweza kuja kukusaidia sana kuondoa frustrations zako za maisha. Amka mkuu usitumiwe na wana siasa ambao hawana lolote katika maisha yao bali ni kuwakatishana tamaa nyie vijana wetu na wajenga nchi ya baadae kwa ulafi wa madaraka.

Wewe katika maisha yako unakubali uozo unao lishwa wa kuwa Magufuli anatoa pesa kuwanunua wapinzani kweli? Kwenye uchaguzi wake alikataa hela ya michango ya wafanya biashara ya kutaka kusaidia kampeni yake ya urahisi, sembuse za wabunge na madiwani? Kama una amini hayo basi utakuwa hutumii akili yako katika kuchangia hoja zako. Utakuwa unatumiwa maana ningependa utambue kuwa Magufuli ni mwanamme asiye teteleka kama akina Mkwawa na Mangi Meli, yuko tayari kuweka rehani ya maisha yake kuliko kubabaishwa na huo upuuzi wa kuwanunua wapinzani. Ili Iweje sasa?

Yeye kwa taarifa yako anawaona watanzania wote sawa. Yeyote yule ambaye ana legitimate ya kushika madaraka katika ofisi ya serikali atashika anachotaka utendaji wa kazi kwa ufanisi kwa manufaa ya watanzania wote.

Sasa naomba nikuulize kitu, hivi wewe na mimi nani ni mburula? Yaani unathubutu kuniita mimi ni Mburula wakati wewe hujui hata unacho kiandika kina maanisha nini? Kuchangia hoja kwa mambo ambayo unayarudia rudia kwako ndiyo akili hiyo? Mimi nakuona kama kijana ambaye huna msimamo. Hujui nini unataka. Frustration pure zimekujaa. Wewe kwa ujumla una umasikini wa roho ya upendo kwa nchi yako na watanzania wenzako.

Jifunze kujenga hoja yenye substance na inayo leta maana kwa msomaji. Usitumie kipaji chako cha kuandika maneno mengi ambayo ni irrelevant kwa kudhani kuwa una akili kuliko wengine. Unajidanganya mwenyewe. Kama watu wako wa kijiweni ndiyo wakueleza uozo huo, basi jiulize mara tatu kwa nini watu hawakuelewi na wewe huwaelewi?

Wito wangu kwako, tumia kipaji chako kuandika vitu ambavyo vitakupa mwangaza wa kutambua ulimwengu ulivyo ili ule leta maendeleo yako binafsi, familia yako na nchi yetu. Kwa upande wangu naona history yako ya maisha na mtazamo wa mwenendo wa maisha ya binadam kwako uko narrow sana kwa sababu mara nyingi unapenda hoja ya confrontation na members wenzako wa JF badala ya hoja za kujifunza vitu.

Nikupe Tips, ukipata au kusikia kitu ambacho hukijui toka kwa mtu jaribu fanya research ili ukielewe kwa undani zaidi badala ya kuandika pumba na kuanza kutukana watu. Mimi hata ukiniita Mburula hainiumizi kitu na wala haini saidii kitu, kwani najua uwezo wangu upo wapi na nini nimekifanya kwangu na kwa binadam mwenzangu wanao nizunguka, nikianza na familia yangu, ndugu, jamaa zangu wengine na marafiki.

Kwa vile nina upendo na watanzania wenzangu kama wewe, nakupa nafasi hapa ya kuondoa frustrations zako za maisha kwa kukuambia kuwa kama una qualifications za uhakika hasa za ufundi na uwezo wa kujifunza mengi ya dunia basi angalia hiyo Clip hapo chini na uone kama ina weza ikakuamsha na kuanza peleka maombi yako ya kazi Ubalozi wa Ujerumani ili upate bahati yako. Pengine iko siku utakuja kuwa Rais wetu na kufanya mambo ya ajabu ya kutuletea maendeleo yetu sisi kuliko hata Magufuli. Jitahidi na jaribu bahati yako!!Sent using Jamii Forums mobile app
 
U

UCD

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2012
Messages
5,090
Likes
3,512
Points
280
U

UCD

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2012
5,090 3,512 280
Kweli wewe ni mburula wa hali ya juu kwa kuwadharau Maaskofu lakini kumtukuza huyo dikteta , muongo, fisadi , mtekaji, mtesaji anayedhulumu na MUUAJI.
Umerudi tena wewe mbeba mabox wa wazungu. Kumbe hatukukushughulikia vizuri wakati wa maandamano yako na Da Mange! Itabidi tubadilishe mbinu za medani.
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
81,964
Likes
121,274
Points
280
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
81,964 121,274 280
Simply rubbish and full of nonsense.

Mkuu kama una zijua facts naomba anza na upelelezi wa vitu viwili kuhusu mtukufu wako Tundu Lissu kwanza.

Tanzania tuna left hand Drive but right Hand Driver that means dereva wa gari ambalo lilimwendesha Lissu alikuwa kulia kwake wakati yeye alikaa kushoto kwa dreva. Sasa maajabu yaliyo tokea ni kwamba Lissu ameumizwa zaidi kulia kuliko kushoto, ilikuwaje dreva wake ambaye alikuwa kulia kwake asijeruhuwe badala yake hayo maafa ya kumiminiwa risasi yampate yeye tu?

Mbona wana CHADEMA toka tukio tukio litokee mmeficha dreva asihojiwe na vyombo vinavyo husika? Inakujaje wewe unahoji utekelezaji wa serikali kuhusu kujeruhiwa kwake badala ya kuhoji maelezo kutoka kwa der ja wake ambaye anaushahidi wa kutosha ambao ungeweza saidia kujua wahusika wa hilo tukio ni nani?

Nikupe siri kwenye fuko za bahari karibu kila leo maiti ya watu inaokotwa. Tatizo huzisikii hizo habari kwa sababu hakuna mtu ambaye anazizungumzia. Lakini hizi za Tanzania viongozi wako na watu waliokusudia kumchafua Magufuli waliamua kufanya hivyo ili wakoko na wakoma kama wewe mwone na kukubali kuwa kweli Magufuli nikatili na anaua watu. Watu wanao weza buy hizo hadithi za Abunuawasi ni vichaa ambawo wamekuwa admitted kwenda Milembe na Mazombi wa kwenye Michael Jackson Thriller kama wewe, lakini sio wanaume walio kiona kitabu na kukariri herufi za kurumi na kigiriki na kuzielewa namba za kiarabu kama sisi. Use your common sense please!

Mpaka leo Scotland YARD wa Uingereza wanamtafuta Msichana wa Uingereza Madeleine Beth McCann, aliyeitwa Maddie (aliyezaliwa Mei 12, 2003 katika Leicester), alipotea Mei 3, 2007 kutoka kwenye nyumba ya likizo Praia da Luz ya Ureno mpaka leo hajaonekana wakati kesi yake ilijulikana duniani kote kwa njia ya habari za vyombo vya habari, sembuse Beni Saanane na primitive devices na technic kama za kwetu?

View attachment 984534

wingatereza

wingatereza

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2016
Messages
819
Likes
882
Points
180
wingatereza

wingatereza

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2016
819 882 180
Akili mbovu za kulishwa utotoni hizi. Tumedanganywa sana kwamba Tanzania INA mali nyingi mpaka watu wa ulaya wanaililia kumbe ovyo kabisa. Uwe wa tatu kumzidi nani na nani? Yaani uwazidi ulaya kwa marefu na mapana yake,america na asia?

Na mpaka Leo tunadanganywa kwa namna tofauti za ajabu ajabu. Ref. Issue ya mo dewji
 
Mkuu umeandika maneno ya busara sana hongera sana!! Tatizo unahangaika na mtu ambaye hajitambui kabisa mwenye fikra potovu.
 
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Messages
23,001
Likes
11,325
Points
280
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2010
23,001 11,325 280
Ndugu wana bodi,wakati nikiwa mdogo enzi za mwalimu kuliwahi kuwa na uvumi kuwa Tanzania ilikuwa na idara nzuri sana ya TISS hata ikawa nchi ya Tatu kwa upelelezi duniani.

Kwa upande mmoja naweza kuona ukweli wa hili nikijaribu kulinganisha TISS ya enzi za Nyerere na TISS ya ezi hizi,nakumbuka wapelelezi wa enzi hizo wengine waliweza hata kuwa kama vichaa kwa kuvaa nguo chafu ili waweze kukamilisha upelelezi na wakafanikiwa hata kuwakamata makaburu waliokuwa wanakuja nchini kutoka Afrika kusini kwa njia za pori,lakini siku hizi wasomali wanaingia nchini na kutoka wachache ndo kuwa wanakamatwa tena na polisi kwa kupewa taarifa na raia wema na sio TISS.

Naomba michango yenu wana bodi kuhusu jambo hili ukilinganisha na haya matukio yanayotokea kwa sasa.
Story za Vijiwe vya kahawa hizo,
Kwanza Upelelezi ni mambo ya siri, ni ngumu kuyapanga kwa ranks.
 
Kituko

Kituko

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2009
Messages
9,557
Likes
7,452
Points
280
Kituko

Kituko

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2009
9,557 7,452 280
Ulisikia MABOMU na Kulipuliwa kwa WATU kama Jirani zetu KENYA? Na Unajua tulikuwa tunaadua MAKABURU; Wakimtumia BANDA; WARENO; MOBUTU na CIA... Lakini TUlikuwa hatupigwi Mabumu nchini kwetu hata kidogo...

Na IDD AMIN Maeneo ya KAGERA na alitaka kweli kuilipua Hospitali ya BUGANDO

Au Unataka kutuambia ni AMANI TOKA kwa MABABU ZETU??
hivi Edward Mondlande alifia wapi, na nini kilimuua?
 
kaffir

kaffir

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2018
Messages
465
Likes
234
Points
60
kaffir

kaffir

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2018
465 234 60
Umeshauita uvumi ni UVUMI TU elewa hivo

sent from this unknown device
 
Forum statistics

Threads 1,250,085
Members 481,224
Posts 29,720,455