Tanzania iliwahi kuwa nchi ya tatu kwa upelelezi duniani


RungulaBwana

RungulaBwana

Member
Joined
Dec 12, 2018
Messages
34
Likes
23
Points
15
RungulaBwana

RungulaBwana

Member
Joined Dec 12, 2018
34 23 15
Ndugu wana bodi,wakati nikiwa mdogo enzi za mwalimu kuliwahi kuwa na uvumi kuwa Tanzania ilikuwa na idara nzuri sana ya TISS hata ikawa nchi ya Tatu kwa upelelezi duniani.

Kwa upande mmoja naweza kuona ukweli wa hili nikijaribu kulinganisha TISS ya enzi za Nyerere na TISS ya ezi hizi,nakumbuka wapelelezi wa enzi hizo wengine waliweza hata kuwa kama vichaa kwa kuvaa nguo chafu ili waweze kukamilisha upelelezi na wakafanikiwa hata kuwakamata makaburu waliokuwa wanakuja nchini kutoka Afrika kusini kwa njia za pori,lakini siku hizi wasomali wanaingia nchini na kutoka wachache ndo kuwa wanakamatwa tena na polisi kwa kupewa taarifa na raia wema na sio TISS.

Naomba michango yenu wana bodi kuhusu jambo hili ukilinganisha na haya matukio yanayotokea kwa sasa.

.
Mkuu kwenye hii field ya ujasusi kuna wakina MOSAD, CIA, KBG, FBI nk nk halafu unasema Tanzania ilikuwa ya tatu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
coscated

coscated

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Messages
1,989
Likes
699
Points
280
coscated

coscated

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2010
1,989 699 280
Ndugu zangu,ili nchi iwe nafasi za juu ki intelgesia kuna vitu vingi wanangalia aisee,mojawapo ni technologia na umahiri au uwezo wa taifa husika au watu wapelezi kimataifa,.Tanzania haipo hata top 100,kwanza Tanzania haina maslai nje ya nchi kama wengine au kitisho kikubwa na uchumi mbovu. Sikia niwaambie
nchi ya kwanza kwa ujasusi duniani ni1.Pakistan(ISM)
YA PILI 2.U.S.A (CIA)
YA TATU BRITAIN .M16
YA NNE NI FSB YA URUSI
YA TANO NI MSS YA CHINA
YA KUMI NI MOSAD YA ISRAEL.
Urusi ni KGB, vipi ile ya Uingereza ni M16 au MI6?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,250,078
Members 481,222
Posts 29,720,091