Pakome
JF-Expert Member
- Dec 8, 2024
- 1,541
- 916
Changamoto inayoisumbua Tanzania ni kulega kwa misimamo ya kusimamia Sheria zake na si vinginevyo
Tanzania ijikite zaidi kwenye kusimamia Sheria zake itafanikiwa kuliko hata Mataifa makubwa
Tanzania ina Sheria nzuri sana za kukuza Uchumi wa Taifa lake lakini bado haijaweka mkazo kwenye kusimamia Sheria
Sheria inapaswa kufundishwa kuanzia darasa la awali hadi ngazi ya juu ili Wananchi wake waishi kwa kufuata Sheria
Tanzania ijitathmini sana kuhusiana na Sheria ihakikishe haiwekezi nguvu tu kwenye kuadhibu wakosefu bali iwekeze nguvu zaidi kwenye kuzuia Uhalifu kabla ya kutendeka na hii ni kwasababu kuna uhalifu mwingine ambao unaingiza hasara kubwa sana kiasi kwamba adhabu kwa aliyetenda uhalifu huo haiwezi kufidia hasara iliyotokea
Miundombinu ya nchi ikiwemo barabara, Reli, Anga, Maji, Mawasiliano, Afya, Umeme, Maji na miundombinu yote nyeti inatakiwa kuongeza makali ya Adhabu kwasababu hasara zake nikubwa sana hata zisizoweza kufidiwa
Taifa linaweza kufilisika moja kwa moja endapo kama halitaweka mkazo kwenye Sheria hivyobasi kuna haja ya kuwekeza nguvu kubwa zaidi kwenye kusimamia Sheria
Taifa likiweza kusimamia Sheria vizuri basi ndani ya miaka mitano au zaidi Tanzania itakuwa nchi bora na ya kuigwa mfano duniani