mataifa makubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Anakubalika Duniani Kote Na Ndio Maana Mataifa Yote Yana Balozi na Mabalozi wao wanaoendelea Na Kazi Nchini. Hakuna ubalozi Uliofungwa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa anakubalika Duniani kote kuanzia Marekani mpaka Ulaya, Anaaminika kuanzia Ulaya mpaka Asia ,Anaungwa Mkono kuanzia Asia mpaka Afrika. Anafanya kazi na kushirikiana na serikali zote Duniani kote. Hii ndio sababu ya kuona Mataifa mbalimbali kutoka kila...
  2. Pakome

    JamiiForums Tanzania Tanzania ikisimamia Sheria vizuri itafanikiwa zaidi ya Mataifa makubwa

    Changamoto inayoisumbua Tanzania ni kulega kwa misimamo ya kusimamia Sheria zake na si vinginevyo Tanzania ijikite zaidi kwenye kusimamia Sheria zake itafanikiwa kuliko hata Mataifa makubwa Tanzania ina Sheria nzuri sana za kukuza Uchumi wa Taifa lake lakini bado haijaweka mkazo kwenye...
  3. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Congo nchi inayotamaniwa na mataifa makubwa duniani

    Congo ndo kila kitu. Nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali pengine ndo inaoongoza Dunia nzima.congo ndo njiapanda ya utajiri. Congo ndo chanzo cha Africa kugawanywa ndo chanzo cha mkutano wa Berlin.. Tazama congo ilikuwa under Belgium na hapo hapo makao makuu ya umoja wa ulaya yapo...
  4. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania BRICS 2024: Viongozi wa Mataifa makubwa Duniani wakutana mjini Kazan, Urusi

    Viongozi wa Mataifa makubwa Duniani wakutana Nchini urusi katika mji wa Kazan. BRICKS ilianzishwa kwa lengo la kuvunja mnyororo wa kinyonyaji wa nchi za magharibi zikiongozwa na USA. Malengo ni mengi lakini kwa kuanzia ni biashara baina ya nchi wanachama, matumizi ya mfumo wa malipo wa...
Back
Top Bottom