sorry nilikua namaanisha Iraq nilipokua naishi huko... niliigia jikoni zamu yangu kupika.. nikapika maandazi si mjuzi kivile kama ingekua tanzania ningeishia kuchekwa tu.. ila kule waliyasifia na wakayala hata mezani hayakufika
Hahahahah mpishi weee
Afadhali wewe unahudhuria darsa utakuwa umenizidi sana.
HARUFU.Mimi natoa kasoro tu ila kusema ukweli sijui kupika
Afadhali wewe unahudhuria darsa utakuwa umenizidi sana.
Ndugu mimi hamna kitu linapokuja suala la mapishi ni kutokana na mazingira niliokulia, nilikuwa namsikiaga Mama akitoa kasoro pale ambapo dada zetu wa kazi wakienda tofauti. Kwahiyo na mimi ninavyosikia maelekezo nilikuwa nayabeba kama yalivyo.
Sema baadae wanakuja kuwa wapishi wazuri sana
We only live once Mkuu 🙂