Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,098
- 871
Mrembo Miss Global Tanzania 2026 ROSSIE UISSO
Leo anasafiri Kuelekea Nchini Thailand kuiwakilisha Tanzania Kwenye Mashindano Ya urembo kimataifa
Rosemary Uiso, mshindi wa Miss Global kwenye shindano la Miss Grand Tanzania, ameondoka nchini kuelekea Thailand ambapo October 10,2026, anatarajiwa kushindania Miss Global.
Rosemary amesema kupitia jukwaa hilo atalitumia kutangaza Utamaduni, ukarimu na juhudi za mwanamke wa kitanzania.
Akizungumza Kwenye Na Waandishi Wa Habari mrembo huyo pia amezungumza Namna Mashindano hayo yatakavyokua na ameomba Watanzania wampigie kura @missgrandtanzania_2026_2027