Mkuu.. Kwa ground kila kitu kipo sehemu yake. Tanzania inaenda shangaza ulimwengu tukutane hapa November mkuu.. tukiwa na Tanzania mpya, kuanzia kesho tunazidi kasi kitaaniTanzania huru depends on Gen Z. If they decide, they can change this autoritarian regime.
Astalavista simpreeTanzania huru ( Tanzani ambayo inarudi mikononi mwa wanchi kwa kuitoa mikononi mwa waovu wasiotakia mema nchi hii ).
Ndugu! Rocket π haina reverse, tumefikia 98% ya kukamilisha mission ya ukombozi wa taifa, kwa wasio na ufahamu wataona mizaha, ila set up za jambo hili limekamilika.
29 October, tunatoka kuisafisha nchi na kuthibitisha ukombozi ambao tunao hadi sasa kwa 98%..
Mafwele anza kuandaa mambo ya nyumbani pako.. Namna ile ambayo ulimwaga damu , ni kwa namba hiyo hiyo inakuja kwako.. mtu huvuna alichopandaa.
Mpaka muda huu ccm wana back up ya policcm. Na Gen Z wana back up ya jeshi. Kuna wajinga watapinga hiki nilichosema hapa. Lakini ukweli ndiyo huo. Asilimia kubwa ya wanajeshi wahamuungi mkono huyo mtekaji na genge lake la wahuni.Mkuu.. Kwa ground kila kitu kipo sehemu yake. Tanzania inaenda shangaza ulimwengu tukutane hapa November mkuu.. tukiwa na Tanzania mpya, kuanzia kesho tunazidi kasi kitaani
Nilibahatika jana kukaa na mabaka ( 100 % ) hawamtaki , Na kuna Police pia wana snitch polisi wenzao, kuna mtu nilikuwa naongea nae comredi kweli kweli ila ameisha kata tamaa ni wa upande wa mama.. nchi ni yetu.. Na utaona mafwele anakula vyuma vya kifuaMpaka muda huu ccm wana back up ya policcm. Na Gen Z wana back up ya jeshi. Kuna wajinga watapinga hiki nilichosema hapa. Lakini ukweli ndiyo huo. Asilimia kubwa ya wanajeshi wahamuungi mkono huyo mtekaji na genge lake la wahuni.
asante kwa kuchangia lakini bakisha maneno kiasi kaka..Binafsi nakatisha viunga mbalimbali vya Jiji la dsm,sioni huo utayari,Jamii yetu utayari upo chini sana